Dr. Slaa: Kukimbia bunge hakusaidii

Dr. Slaa: Kukimbia bunge hakusaidii

Dr Slaa amelonga kutoka huko Canada aliko.

Amesema kulikimbia bunge kwa mbinu za kulikwepa, ati kumpinga Dr Tulia Ackson kwa uonevu, hakusaidii upinzani katika malengo mapana.

Kulingana na gazeti la Raia Mwema toleo la June29~July2, 2016, Dr Slaa amesema msimamo huo ungekuwa na maana kama UKAWA ungekuwa na nguvu ya wingi bungeni.

Dr Slaa amesema alikuwa KUB katika bunge la Tisa na Kumi, na amekuwa bungeni toka bunge la Nane.

Amesema,
"Kambi rasmi ya upinzani daima tulitambua uchache wetu, na hivyo kwa kutambua hili, hatukuwahi kufanya maamuzi, kwa mfano ya kumsusia Spika, kwa kutambua kuwa hata kama hatumtaki, hatuna wingi wa kutosha kumkataa"

Dr Slaa amesema mbaya zaidi ni tamko la Mbowe ati kupambana na serikali, tamko alilolitoa Kahama, Shinyanga, hivi karibuni.

Matamshi hayo, Dr Slaa amesema si ya kisiasa kwa mwanasiasa makini.
Dr Slaa amesema tangazo la mapambano na serikali haliko katika shughuli za kawaida za kisiasa, kulingana na Sheria na 5/1992, na hivyo basi ukianza mapambano na dola mtu utegemee consequences.

MY TAKE
UKAWA huo ushauri wa bure toka kwa "kichwa" wa upinzani nchini.
Sasa hivi UKAWA hakuna uelekeo unaoeleweka, kazi kwenu.
Slaa kumbe yupo, huyu mzee amepotea kabisa ktk local politics. Naona anaendelea kula pensheni kutoka upande wa pili. Billion 3
 
yeye mbona alikimbia kanisa,akaona aitoshi akakimbia mke pia akaona haitoshi,,akakimbia ccm,akaona haitoshi akakimbia chadema............kilichobaki akae kimyaaa kama mihogo imemuishia aseme.
 
Huyu naye hajitambui kabisa labda naye anataka ukuu wa wilaya maana njaa inazidi kumsumbua. Kuna faida gani ya Wabunge wa upinzani kuwemo Bungeni huku kila wanachotaka kukizungumza ndani ya Bunge wanazuiliwa kukizungumza kwa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu. Kufukuzwa kwa Wanafunzi 7,802 tukio ambalo lilistahili kabisa kujadiliwa Bungeni jipu tulia akazuia mjadala huo. Hotuba ya waziri kivuli wa mambo ya ndani ikazuiliwa pia kisa tu kuna suala la lugumi na MACCM wakaitaka kwanza waisome na kuamua nini kibaki katika hotuba ile na nini kiondolewe. Ni bora kukaa nje ya Bunge haramu kuliko kuwemo ndani huku mkiwa mmedhibitiwa na jipu Tulia akisaidiwa na polisiccm.

Dr Slaa amelonga kutoka huko Canada aliko.

Amesema kulikimbia bunge kwa mbinu za kulikwepa, ati kumpinga Dr Tulia Ackson kwa uonevu, hakusaidii upinzani katika malengo mapana.

Kulingana na gazeti la Raia Mwema toleo la June29~July2, 2016, Dr Slaa amesema msimamo huo ungekuwa na maana kama UKAWA ungekuwa na nguvu ya wingi bungeni.

Dr Slaa amesema alikuwa KUB katika bunge la Tisa na Kumi, na amekuwa bungeni toka bunge la Nane.

Amesema,
"Kambi rasmi ya upinzani daima tulitambua uchache wetu, na hivyo kwa kutambua hili, hatukuwahi kufanya maamuzi, kwa mfano ya kumsusia Spika, kwa kutambua kuwa hata kama hatumtaki, hatuna wingi wa kutosha kumkataa"

Dr Slaa amesema mbaya zaidi ni tamko la Mbowe ati kupambana na serikali, tamko alilolitoa Kahama, Shinyanga, hivi karibuni.

Matamshi hayo, Dr Slaa amesema si ya kisiasa kwa mwanasiasa makini.
Dr Slaa amesema tangazo la mapambano na serikali haliko katika shughuli za kawaida za kisiasa, kulingana na Sheria na 5/1992, na hivyo basi ukianza mapambano na dola mtu utegemee consequences.

MY TAKE
UKAWA huo ushauri wa bure toka kwa "kichwa" wa upinzani nchini.
Sasa hivi UKAWA hakuna uelekeo unaoeleweka, kazi kwenu.
 
Dr Slaa amelonga kutoka huko Canada aliko.

Amesema kulikimbia bunge kwa mbinu za kulikwepa, ati kumpinga Dr Tulia Ackson kwa uonevu, hakusaidii upinzani katika malengo mapana.

Kulingana na gazeti la Raia Mwema toleo la June29~July2, 2016, Dr Slaa amesema msimamo huo ungekuwa na maana kama UKAWA ungekuwa na nguvu ya wingi bungeni.

Dr Slaa amesema alikuwa KUB katika bunge la Tisa na Kumi, na amekuwa bungeni toka bunge la Nane.

Amesema,
"Kambi rasmi ya upinzani daima tulitambua uchache wetu, na hivyo kwa kutambua hili, hatukuwahi kufanya maamuzi, kwa mfano ya kumsusia Spika, kwa kutambua kuwa hata kama hatumtaki, hatuna wingi wa kutosha kumkataa"

Dr Slaa amesema mbaya zaidi ni tamko la Mbowe ati kupambana na serikali, tamko alilolitoa Kahama, Shinyanga, hivi karibuni.

Matamshi hayo, Dr Slaa amesema si ya kisiasa kwa mwanasiasa makini.
Dr Slaa amesema tangazo la mapambano na serikali haliko katika shughuli za kawaida za kisiasa, kulingana na Sheria na 5/1992, na hivyo basi ukianza mapambano na dola mtu utegemee consequences.

MY TAKE
UKAWA huo ushauri wa bure toka kwa "kichwa" wa upinzani nchini.
Sasa hivi UKAWA hakuna uelekeo unaoeleweka, kazi kwenu.
Yuko wapi huyu MTU? Nilidhani watu wenye elimu watatutoa hola, huyu msomi mwoga, alinunulika kwa kipande cha nnkate kakimbia ati, alitarajia nini?
 
yeye mbona alikimbia kanisa,akaona aitoshi akakimbia mke pia akaona haitoshi,,akakimbia ccm,akaona haitoshi akakimbia chadema............kilichobaki akae kimyaaa kama mihogo imemuishia aseme.
Du!
 
Dr Slaa amelonga kutoka huko Canada aliko.

Amesema kulikimbia bunge kwa mbinu za kulikwepa, ati kumpinga Dr Tulia Ackson kwa uonevu, hakusaidii upinzani katika malengo mapana.

Kulingana na gazeti la Raia Mwema toleo la June29~July2, 2016, Dr Slaa amesema msimamo huo ungekuwa na maana kama UKAWA ungekuwa na nguvu ya wingi bungeni.

Dr Slaa amesema alikuwa KUB katika bunge la Tisa na Kumi, na amekuwa bungeni toka bunge la Nane.

Amesema,
"Kambi rasmi ya upinzani daima tulitambua uchache wetu, na hivyo kwa kutambua hili, hatukuwahi kufanya maamuzi, kwa mfano ya kumsusia Spika, kwa kutambua kuwa hata kama hatumtaki, hatuna wingi wa kutosha kumkataa"

Dr Slaa amesema mbaya zaidi ni tamko la Mbowe ati kupambana na serikali, tamko alilolitoa Kahama, Shinyanga, hivi karibuni.

Matamshi hayo, Dr Slaa amesema si ya kisiasa kwa mwanasiasa makini.
Dr Slaa amesema tangazo la mapambano na serikali haliko katika shughuli za kawaida za kisiasa, kulingana na Sheria na 5/1992, na hivyo basi ukianza mapambano na dola mtu utegemee consequences.

MY TAKE
UKAWA huo ushauri wa bure toka kwa "kichwa" wa upinzani nchini.
Sasa hivi UKAWA hakuna uelekeo unaoeleweka, kazi kwenu.
Well said
 
Wewe ukikuwa mmoja wao, umejitoa lini? Aaah kumbe wewe cdm masalia! Huyo slaa ni kati ya wanafiki10 bora duniani na ni mfuasi wa Yuda Isiariot aliyemsaliti Yesu. Dua za uliowasakiti itamchafua daima. Amewafanya wasomi watengwe na kutoaminiwa tena na jamii. Aibu yake na huyo anayemzuzua. Kama kweli kidume arudi ayaseme haya anayotumwa na ccm wenzake apime upepo wa wataka demokrasia utakavyompulizia mbali.
Kama Dr Slaa niliulaza CDM baada ya mafisadi kuingia na kupiga kambi.
 
Ni yeye ndo alosababisha watu kuuawa Arusha kwa maandamano ya kijinga eti nchi haitotawalika! Naona laana ya JK juu yake inazidi kumtafuna, kwa sasa hana tena ule umaarufu na heshima alokuwa nayo kutoka kwa wana mageuzi na watanzania kwa ujumla. Aliamini JPM atamkumbuka kwa kujipendekeza sasa imekula kwake.
Nafikiri dr slaa alisahau falsafa ya ccm kuwa wakishakutumia kuhujumu upinzani na lengo lao likafanikiwa basi wanaachana naye mara moja na mifano ipo wazi na wana jf wanawakumbuka kina ............... ambao leo hawajulikan walipo. Wao ccm wanaamini ukikubali kusaliti wenzio kwa fedha basi ipo siku utatumika kuwageuzia kibao hivyo dawa ni kukutupa kabisa. Namshauri asirud kwani atapata aibu
 
Dr Slaa amelonga kutoka huko Canada aliko.

Amesema kulikimbia bunge kwa mbinu za kulikwepa, ati kumpinga Dr Tulia Ackson kwa uonevu, hakusaidii upinzani katika malengo mapana.

Kulingana na gazeti la Raia Mwema toleo la June29~July2, 2016, Dr Slaa amesema msimamo huo ungekuwa na maana kama UKAWA ungekuwa na nguvu ya wingi bungeni.

Dr Slaa amesema alikuwa KUB katika bunge la Tisa na Kumi, na amekuwa bungeni toka bunge la Nane.

Amesema,
"Kambi rasmi ya upinzani daima tulitambua uchache wetu, na hivyo kwa kutambua hili, hatukuwahi kufanya maamuzi, kwa mfano ya kumsusia Spika, kwa kutambua kuwa hata kama hatumtaki, hatuna wingi wa kutosha kumkataa"

Dr Slaa amesema mbaya zaidi ni tamko la Mbowe ati kupambana na serikali, tamko alilolitoa Kahama, Shinyanga, hivi karibuni.

Matamshi hayo, Dr Slaa amesema si ya kisiasa kwa mwanasiasa makini.
Dr Slaa amesema tangazo la mapambano na serikali haliko katika shughuli za kawaida za kisiasa, kulingana na Sheria na 5/1992, na hivyo basi ukianza mapambano na dola mtu utegemee consequences.

MY TAKE
UKAWA huo ushauri wa bure toka kwa "kichwa" wa upinzani nchini.
Sasa hivi UKAWA hakuna uelekeo unaoeleweka, kazi kwenu.
ndio nani?(in jotis voice)
 
e e! bado kuna mtu wa kumsikiliza huyu mkimbizi!! naye aonege aibu!
 
Back
Top Bottom