Dr. Slaa: Kukimbia bunge hakusaidii

Dr. Slaa: Kukimbia bunge hakusaidii

Sijui greenhouse yake anayolima mihogo kule inaendeleaje!
 
Acheni kumsemea Slaa maneno akati anakula Mihogo sio vizuri.
 
Nyie makapi ya ccm mnatoa wapi ujasiri wa kumkebehi Dr Slaa ??

Mmeikuta chadema imesimama juu ya damu ya Slaa, alafu mnaleta visebengo vyenu Vya kuijua sana chadema??

Nani kati yenu aliyevuja damu kwa ajili ya chadema??..


Leo chadema imekuwa chama cha kutetea mafisadi, majambazi, watukana matusi na wakwepa kodi Laana ya kubadili gia angani inawatafuna na bado.
 
Tangu lini mwana ccm akatoa ushauri mzuri na wenye anufaa kwa wapinzani wake kisiasa?huyo slaaa ni ccm na sasa anatafuta gia ya kuingilia bongo baada ya mpunga kumuishia

Hivi mchango wote aliotoa Dr Slaa CHADEMA leo hii hamuoni? Kweli shukrani ya punda ni mateke.
 
Bora hata hawa wanakimbia bunge lakini tupo nao nchini sasa huyu kakimbia na nchi anatupia picha akiteleza kwenye barafu ughaibuni nae anatoa ushaur
 
Mkimbizi wa KISIASA na aliyesusia Naibu spika nani zaidi. wenzake wamekomaa nchini yeye hatujui kama anaosha vyombo vya wadhungu!?; maana kazi ya upadre aliishaiasi.
Mzee wangu mmoja aliniambia, "mwanangu, hata siku moja usije kusadiki ahadi ya mfungwa hata siku moja".
Si kafungwa!?..........mwachie uone. Masikini SLAA!
Wahaya wangemwambia, "Silaaaa!!!!!!!"
 
anyway mkuu mimi nadhani upinzani naweza kuulinganisha na variable resistor kwenye electric circuit which means we can produce the desired voltage by adjusting that resistor and so my point is serikali inaweza kucheza na wapinzani kama inavyotaka ili kufikia malengo na kwa hilo hawajawai kushindwa na hawatokuja kushindwa maana wapinzani wapo tu kukosoa serikali na sio kuizuia serikali kufanya kile kinachotakiwa.
 
cjui we unayeongea haya chama kinakutambua Kwa mazuri gani uliyowahli kuyafanya au unaahabikia chama ambacho kimejengwa na huyo unaempinga at "tunakuchinjia " huna hata heshima kumtukana aliyekufanya ukaijua chadema pole sana ndo jwa kutohitambua kama viongozi wako .
 
Dr Slaa amelonga kutoka huko Canada aliko.

Amesema kulikimbia bunge kwa mbinu za kulikwepa, ati kumpinga Dr Tulia Ackson kwa uonevu, hakusaidii upinzani katika malengo mapana.

Kulingana na gazeti la Raia Mwema toleo la June29~July2, 2016, Dr Slaa amesema msimamo huo ungekuwa na maana kama UKAWA ungekuwa na nguvu ya wingi bungeni.

Dr Slaa amesema alikuwa KUB katika bunge la Tisa na Kumi, na amekuwa bungeni toka bunge la Nane.

Amesema,
"Kambi rasmi ya upinzani daima tulitambua uchache wetu, na hivyo kwa kutambua hili, hatukuwahi kufanya maamuzi, kwa mfano ya kumsusia Spika, kwa kutambua kuwa hata kama hatumtaki, hatuna wingi wa kutosha kumkataa"

Dr Slaa amesema mbaya zaidi ni tamko la Mbowe ati kupambana na serikali, tamko alilolitoa Kahama, Shinyanga, hivi karibuni.

Matamshi hayo, Dr Slaa amesema si ya kisiasa kwa mwanasiasa makini.
Dr Slaa amesema tangazo la mapambano na serikali haliko katika shughuli za kawaida za kisiasa, kulingana na Sheria na 5/1992, na hivyo basi ukianza mapambano na dola mtu utegemee consequences.

MY TAKE
UKAWA huo ushauri wa bure toka kwa "kichwa" wa upinzani nchini.
Sasa hivi UKAWA hakuna uelekeo unaoeleweka, kazi kwenu.

Bunge la katiba katibu mkuu wa chadema alikuwa nani?
 
Laughing out loud! Slaa anakosoa mbinu za kisiasa ambazo alikuwa anazibariki au kuzitumia yeye mwenyewe wakati akiwa katibu mkuu CHADEMA. He is a perfect example of a confused politician. Anyways, namtakia kila la heri maisha yake yaliyobaki; he is, indeed, getting too old. Angefuata mfano wa wananchi wa nchi aliko angestaafu siasa kabisa na kuachana na matamko tata. Aangalie afya yake na mustakabali wa familia yake tu sasa, kama ana busara hata kidogo iliyobaki.
 
Nivema kusimamia unachokiamini hata kama you are in minority of one...kunawakati ukweli Wako utasimama hata kama hutokuwepo duniani.
Anyway mtu ukikwama usitafute ushauri kwa aliyeshindwa, kunajamaa mmoja alikimbia kazi kanisani,akakimbiza mke wamtu,akakimbia chamachake baada ya kukimbiaga kile cha awali,akakimbia nchi akaoe ughaibuni...nmemsahau jina ILA Mkimbizi laweza mfaa!!
 
....ila kukimbilia Canada ndio uzalendo mkubwa sana kwenye siasa za upinzani! Huyo Babu atulie kama hela zime zime aanzish kanisa kama Gwajima ataishi tu! Ametumika kama mwenzake Prof....sasa hela zinaisha tu hakuna kuingia hela anaweweseka!
 
Nivema kusimamia unachokiamini hata kama you are in minority of one...kunawakati ukweli Wako utasimama hata kama hutokuwepo duniani.
Anyway mtu ukikwama usitafute ushauri kwa aliyeshindwa, kunajamaa mmoja alikimbia kazi kanisani,akakimbiza mke wamtu,akakimbia chamachake baada ya kukimbiaga kile cha awali,akakimbia nchi akaoe ughaibuni...nmemsahau jina ILA Mkimbizi laweza mfaa!!
Ni vema nyie mlio na akili nyingi mkafanya tathmini ya matokeo ya kukimbia bunge mpaka sasa imeisaidia vipi Ukawa.
 
With due respect kwa Dr Slaa anamuonea Mbowe ambaye siku hizi ni zombie, non-entity. Mchokozi ni Mbatiya aliyeteuliwa ubunge na Kikwete sijui wamemtoa wapi, anaapiza kupambana na Magufuli huku akitoka mijasho. Nadhani wapinzani wamechanyikiwa.
 
Mkuu Ukawa wajiuzulu kabisa ubunge kuonyesha udhati wao kumpinga Dr Ackson.
Kwa sasa wanacheza makida makida, mchezo wa kitoto.
Kwa kweli kama ni wwazalenmdo wajizulu wafuate mfano wa MWANAUMER wa uingereza sio kulia lia hapa./ Siasa wameifanya Ajira ndio maana!
 
Back
Top Bottom