bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,709
- 24,496
baki kwenye point ya hapaAliesema anaenda kuchunga ng'ombe amebaki kwenye point Yake?
baki kwenye point ya hapaAliesema anaenda kuchunga ng'ombe amebaki kwenye point Yake?
nchi hii ni yetu sote kwel, lakin hatuwezi kumkabidhi fisadi atuongoze, aende akachunge ng'ombe wake huko elkasmet, tena mumwambie awahi kwa maana ugonjwa wa BONDE LA UFA uko karibu kurud, asije shangaa akapoteza hata hao ng'ombe wote.Hakuna mwenye leseni ya kuitawala tanzania,hilo lazima likae vichwani mwenu,nchi hii ni yetu sote
Aaah!!;pole sana hivi unanijua Mimi vizuri wewe Mimi siyo wewe wa LUMUMBA UNAYEISHI KWA KUTEGEMEA BUKU 3!! Mimi Nina kazi yangu ya MAANA hata mshahara wangu huyo mwenykt HD raic wwn hanifikii!!hebu muwe mnahifadhi maneno yenu . dr slaa anaweza kurudi hata kesho chadema na still akawa na cheo kikubwa chamani, haraf akakukuta ww na kile cheo chako cha kufagia ofisi ya makene kwa maana ww hapo ufipa huna hata hadhi ya kufagia ofisi ya mbowe. muwe mnatunza maneno wafipa. jifunzeni kwa wenzenu cuf waliyemwita msaliti amerudi na anataka kiti chake na keshokutwa anakabidhiwa kiti.
Mufilisi sio Slaa ni hawa hapa
[/Q![]()
UOTE]
umemaliza kazi mkuu
Mufilisi sio Slaa ni hawa hapa
![]()
mkuu kwani nani amekataa kuwa kufagia ofcni kwa makene hapo ufipa kunalipa vizuri kuliko kazi yangu mm hapa lumumba? hongera sana mkuu msalimie boss wako makene but nipigie pande na mm nipate day waka hapo ufipa tuje tusaidiane kupga deki. HIYO OFISI NI KUBWA HUUMII MGONGO?Aaah!!;pole sana hivi unanijua Mimi vizuri wewe Mimi siyo wewe wa LUMUMBA UNAYEISHI KWA KUTEGEMEA BUKU 3!! Mimi Nina kazi yangu ya MAANA hata mshahara wangu huyo mwenykt HD raic wwn hanifikii!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo sasa!
Fisadi kamkimbiza nchi.
Wewe ni mtoto kifikra umejaa chiki busara zeroAsituletee ya Ulipumba Hapa! Mbona yeye Kipindi Chake Walikuwa Wanatoka?! Nakwataarifa Yako Siye Siyo Kama CUF Hukija tena tunakuchinjia Baharini Nenda Ukawa shauri WALUMUMBA jinsi ya KUWANUNUA Viongozi Wenzako Uchwara Na WAJALI MATUMBO YAO Wa UKAWA
Hivi Raia Mwema/ Raia Tanzania wana maslahi gani na Dk Slaa kwa habari zinazohusu Ukawa? Katika upeo wao (wahariri) wanadhani Mzee Slaa anaweza kuzungumza kitu positive kwa Ukawa. Inashangaza Raia Mwema wanamkariri Dk Slaa leo aki crash kauli ya Mbowe ya kupambana na serikali ilhali kauli kama hiyo ilikuwa kama kifungua kinywa kwake! Btw nani hajui kama mpinzani wa kweli ni lazima atarajie consequences?Dr Slaa amelonga kutoka huko Canada aliko.
Amesema kulikimbia bunge kwa mbinu za kulikwepa, ati kumpinga Dr Tulia Ackson kwa uonevu, hakusaidii upinzani katika malengo mapana.
Kulingana na gazeti la Raia Mwema toleo la June29~July2, 2016, Dr Slaa amesema msimamo huo ungekuwa na maana kama UKAWA ungekuwa na nguvu ya wingi bungeni.
Dr Slaa amesema alikuwa KUB katika bunge la Tisa na Kumi, na amekuwa bungeni toka bunge la Nane.
Amesema,
"Kambi rasmi ya upinzani daima tulitambua uchache wetu, na hivyo kwa kutambua hili, hatukuwahi kufanya maamuzi, kwa mfano ya kumsusia Spika, kwa kutambua kuwa hata kama hatumtaki, hatuna wingi wa kutosha kumkataa"
Dr Slaa amesema mbaya zaidi ni tamko la Mbowe ati kupambana na serikali, tamko alilolitoa Kahama, Shinyanga, hivi karibuni.
Matamshi hayo, Dr Slaa amesema si ya kisiasa kwa mwanasiasa makini.
Dr Slaa amesema tangazo la mapambano na serikali haliko katika shughuli za kawaida za kisiasa, kulingana na Sheria na 5/1992, na hivyo basi ukianza mapambano na dola mtu utegemee consequences.
MY TAKE
UKAWA huo ushauri wa bure toka kwa "kichwa" wa upinzani nchini.
Sasa hivi UKAWA hakuna uelekeo unaoeleweka, kazi kwenu.
Hilo swali kamuulize mbowe alilamba bei gani toka kwa fisadi mkuuNa yeye kukimbia kuwakomboa Watanzania kwa tamaa za tumbo lake hajajua ni usaliti unaostahili apigwe mawe mpaka afee???
Huyu hana cha kushari upinzani. Aendelee kulelewa na Ccm. Tumesha msahau na kumpuuza