Dr. Slaa: Kukimbia bunge hakusaidii

Sa
Unajua ukizungumzacho kweli wewe?

Well, Tulia yuko pale kwa mujibu wa sheria.

Hawa usiowataka wewe wapo pale kwa mujibu wako kwani?...Watoe sasa!!

Jishughulishe kidogo kufahamu chanzo cha mgogoro wa wabunge hao na NS halafu uje tujadiliane

Vinginevyo naona kama tunabishana na mtu mwenye mahaba yasiyo na macho wala ufahamu asiyeona wala kuelewa chochote!!
sa aliyena mahaba hapa ni mimi au wewe. Sasa kama wakokwa mujibu wa shereia kwanini hawaingii Bungeni na mind yiu mimi sijasema Wabunge hawako kisheria hata kidogo.Ila nimesema wanatupotezea our precious time. Wakae Pembeni watupishe kwani sisis tunachotaka ni maendeleo nao wanaturudisha nyuma!
 
Dr. Slaa anatuhusu nini sisi? Hatuna haja na ushaur hewa au yeye amesahau nin waliikfanya kpndi akiwa katibu mkuu wa chama? Si aendelee tu kuuza butcher Canada
 
Mkuu acha uongo, serikali ni lini ilimzuia Mbowe kuandamana jimboni kwake?
Anachukua mtatizo ya chama chadema na kufanya fujo Kahama!
Hizo mbinu ni mjinga tu hawezi kudadavua.

Hivi na wewe ni mchuuzi wa huo upuuzi kwamba eti mbunge afanye siasa jimboni kwake tu? fine, umetolea mfano wa Mbowe. Mbowe ni mwenyekiti wa chama cha siasa chenye nguvu hapa nchini, bungeni anapewa hadhi inayoendana na ya Waziri Mkuu, ambaye ni Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni. sasa huyo kwa mujibu wa katiba, ambayo inahakikisha uhuru wa kujumuika na uhuru wa kueleza mawazo kwa mtu yeyote, lakini kwake Mbowe, kwa mujibu wa sheria ya vyama vingi, amehakikishiwa uhuru wa kufanya kazi ya siasa katika mipaka ya Jamhuri ya Muungano, ikiwa ni pamoja na Zanzibar. unakumbuka kwamba sheria yetu inalazimisha kwamba chama cha siasa lazima kiwe na sura ya muungano. sasa hiyo amri ya kuzuia wanasiasa wasifanye kazi yao, eti watakwamisha wale waliochaguliwa kutekeleza majukumu yao, inasimama katika vifungu gani vya katiba, na sheria ipi?

Ni kwamba, chama chenu kinatetemeka sana kusikia mtu wa upinzani anaunguruma mtaani. kama siyo hivyo kwa nini mnawazuia? mna yepi ya kuficha? na mko tayari kuvunja sheria na kutumia ubabe?
 
Mahali pa kuongea hayo yote na ukaeleweka ni bungeni tu.
Sasa mtu umechaguliwa na nyumbu wenzio ili uonyeshe njia ya kupita hao nyumbu, wewe unaingia miti.
Mbaya zaidi unaingia miti usiyo na ujuzi nayo, nyumbu wanapotea na kupigwa virungu badala ya kwenda kunywa maji mazuri.

Sasa hapo ni jukumu lako, nyumbu, kujua unakoelekea, si jukumu la yule anayekufukuza kukuokoa.
Ukiliwa na mamba poa tu.

Bunge mnalikwepa hakafu mnategemea polisi wawaelewe, mi sijui akili ya wapi hiyo.
 
bunge lijalo wasiende kabisaaa bungeni hizo gharama za suti nyeusi na plaster pamoja na gharama za usafiri kwenda dom wachangie madawati hapo kwa mbaaaali tutawaelewa
 
Yupo sahihi kabisa. Kwa sasa wanafanya biashara ya kupiga kelele zisizo na msingi wowote. Wamepoteza kila kitu, hawana jipya. Mheshimiwa Magufuli amewanyoosha vilivyo ndiyo maana wamekosa cha kuongea.
 
Back
Top Bottom