masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Dr Slaa amelonga kutoka huko Canada aliko.
Amesema kulikimbia bunge kwa mbinu za kulikwepa, ati kumpinga Dr Tulia Ackson kwa uonevu, hakusaidii upinzani katika malengo mapana.
Kulingana na gazeti la Raia Mwema toleo la June29~July2, 2016, Dr Slaa amesema msimamo huo ungekuwa na maana kama UKAWA ungekuwa na nguvu ya wingi bungeni.
Dr Slaa amesema alikuwa KUB katika bunge la Tisa na Kumi, na amekuwa bungeni toka bunge la Nane.
Amesema,
"Kambi rasmi ya upinzani daima tulitambua uchache wetu, na hivyo kwa kutambua hili, hatukuwahi kufanya maamuzi, kwa mfano ya kumsusia Spika, kwa kutambua kuwa hata kama hatumtaki, hatuna wingi wa kutosha kumkataa"
Dr Slaa amesema mbaya zaidi ni tamko la Mbowe ati kupambana na serikali, tamko alilolitoa Kahama, Shinyanga, hivi karibuni.
Matamshi hayo, Dr Slaa amesema si ya kisiasa kwa mwanasiasa makini.
Dr Slaa amesema tangazo la mapambano na serikali haliko katika shughuli za kawaida za kisiasa, kulingana na Sheria na 5/1992, na hivyo basi ukianza mapambano na dola mtu utegemee consequences.
MY TAKE
UKAWA huo ushauri wa bure toka kwa "kichwa" wa upinzani nchini.
Sasa hivi UKAWA hakuna uelekeo unaoeleweka, kazi kwenu.