Mo-TOWN
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,721
- 515
Mpuuzi. Unafikiri Dr Slaa ni mtu wa kuandaliwa maswali kama viongozi wa chama chako? Mdahalo ni LIVE hakuna kuchakachua. Nikufahamishe kuwa jukwaa hili lina option ya kuwa msomaji tu si lazima uchangie kama huna uwezo wa kujenga hoja za msingi. Nikukumbushe pia hapa si pa watu wa wakushikiwa akili.