Elections 2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

Sema wewe ndiye utakayempuuza na sababu zake tunafahamu. Tumia ubongo kufikiri badala ya tumbo. Kwa taarifa yako kila mtanzania aliyesikia kwamba Rais Mtarajiwa atahojiwa, ameanza mikakati ya kuhakikisha hakosi tukio hilo la kihistoria. Wewe endelea kula (kuliwa) vya mafisadi.

Pipooooooooooooooooooooooooooooooooooz .................
 
Watanzania walio wengi wameonyeshwa kukerwa na kitendo cha Dr slaa kuandaliwa mahojiano maaalumu ITV ambayo yanatajwa kuwa ni moja ya mbinu ya propaganda kwani kuna tetesi kuwa hata watakaopiga simu kuuliza maswali katik kipindi hiko watakuwa wafuasi wake , kutokana na hilo watanzania wengi wanasema watampuuza Dr slaa ambaye anaonyesha kutapatapa baada ya kura zote za maoni kuonyesha yupo nyuma ya kikwete na hata upepo wakisiasa unamvumia vibaya kwani anaonekana ni rais wa magazetini tu lakini hawezi kushinda hivyo watanzania wamepania kumpuuza padre huyo wa kanisa katoliki.

Hivi wewe bingwa wa kulopoka uko nchi gani kweli?mbona Kiwete wako hata DEBATE anaogopa?Wewe utakuwa Ridhiwani nwewe au chizi Milaji....
Vote for Dr Slaa wa ukweli.
 
Watanzania walio wengi wameonyeshwa kukerwa na kitendo cha Dr slaa kuandaliwa mahojiano maaalumu ITV ambayo yanatajwa kuwa ni moja ya mbinu ya propaganda kwani kuna tetesi kuwa hata watakaopiga simu kuuliza maswali katik kipindi hiko watakuwa wafuasi wake , kutokana na hilo watanzania wengi wanasema watampuuza Dr slaa ambaye anaonyesha kutapatapa baada ya kura zote za maoni kuonyesha yupo nyuma ya kikwete na hata upepo wakisiasa unamvumia vibaya kwani anaonekana ni rais wa magazetini tu lakini hawezi kushinda hivyo watanzania wamepania kumpuuza padre huyo wa kanisa katoliki.

Utafiti wako huu wa Watanzania wengi kusema kwamba watampuuza Dr Slaa uliufanya lini? au ndiyo tumbo joto linavyozidi kuongezeka kadri siku zinavyokaribia? Kazi kweli kweli! Safari hii imekula kwenu thithiem. Eti unajiita bingwa wa hoja!!! bora ubadilishe jina tu na kujiita zezeta/kilaza wa hoja hilo litakufaa sana.
 
Asante kwa kunikumbusha, ngoja niweke na alamu kwenye simu yangu, hivi itakuwa saa ngapi vileee
 
unajua unanishangaza sana we mtu sijui kama ulicho kiandika unamaanisha ama ni ili mradi tu umetumia maneno ya waingereza (If not now when? And if not me who?),usije ukaishi kwa tetesi utabaki masikini kama umasikini ulioridhi toka kwa mababu zako na wazazi wako,jaribu kuwa sure mda wote kwani tetesi huzaa umbeya na umbeya huzaa kusutwa na kama kweli ni mwana mapinduzi ogopa sana kufanyia kazi kitu kinachoitwa tetesi,mara kwa mara ufikiliavyo sivyo inavyo kuwa kwani haupo miyoyoni(xin) mwa hao binadamu na sidhani kama unaweza kupata fikra za wabongo milioni 19 na ukaziweka ktk msaafu kuwa ni jambo la kulifanyia kazi,
ukisemacho hakipo na waache wapiga kura wafanye kile wakifikiliacho
 
Watanzania walio wengi wameonyeshwa kukerwa na kitendo cha Dr slaa kuandaliwa mahojiano maaalumu ITV ambayo yanatajwa kuwa ni moja ya mbinu ya propaganda kwani kuna tetesi kuwa hata watakaopiga simu kuuliza maswali katik kipindi hiko watakuwa wafuasi wake , kutokana na hilo watanzania wengi wanasema watampuuza Dr slaa ambaye anaonyesha kutapatapa baada ya kura zote za maoni kuonyesha yupo nyuma ya kikwete na hata upepo wakisiasa unamvumia vibaya kwani anaonekana ni rais wa magazetini tu lakini hawezi kushinda hivyo watanzania wamepania kumpuuza padre huyo wa kanisa katoliki.

Welcome back
 
Hizo si siasa bali ni si HASA.
 
Wewe acha kuongea kama debe, ume uliza watu wangapi na wapi kupata msimamo wa Watanzania kuwa watasusia? Au ndo utafiti wako huo wa SYNOVATE na REDET?
 
Watanzania walio wengi wameonyeshwa kukerwa na kitendo cha Dr slaa kuandaliwa mahojiano maaalumu ITV ambayo yanatajwa kuwa ni moja ya mbinu ya propaganda kwani kuna tetesi kuwa hata watakaopiga simu kuuliza maswali katik kipindi hiko watakuwa wafuasi wake , kutokana na hilo watanzania wengi wanasema watampuuza Dr slaa ambaye anaonyesha kutapatapa baada ya kura zote za maoni kuonyesha yupo nyuma ya kikwete na hata upepo wakisiasa unamvumia vibaya kwani anaonekana ni rais wa magazetini tu lakini hawezi kushinda hivyo watanzania wamepania kumpuuza padre huyo wa kanisa katoliki.
Ni kweli watanzania wamekerwa kwani wanataka MDAHALO na JK, please ITV ikiwezekana JK awe pembeni naye atoe hoja zake, ndo watz tutafurahi. nimaoni tuu sema namuonea huruma kuzimia!
 
Watanzania walio wengi wameonyeshwa kukerwa na kitendo cha Dr slaa kuandaliwa mahojiano maaalumu ITV ambayo yanatajwa kuwa ni moja ya mbinu ya propaganda kwani kuna tetesi kuwa hata watakaopiga simu kuuliza maswali katik kipindi hiko watakuwa wafuasi wake , kutokana na hilo watanzania wengi wanasema watampuuza Dr slaa ambaye anaonyesha kutapatapa baada ya kura zote za maoni kuonyesha yupo nyuma ya kikwete na hata upepo wakisiasa unamvumia vibaya kwani anaonekana ni rais wa magazetini tu lakini hawezi kushinda hivyo watanzania wamepania kumpuuza padre huyo wa kanisa katoliki.
CCM inatapatapa.........

Liangalie na hili limetumwa

Join Date Thu Oct 2010
Posts 11
Thanks 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power 0
 
bado siku 9 CCm hawakosi la kuongea , wakiongea wapinzani mnaambiwa wanalalamika, Tena kama JK ndio namwonea huruma kabisa sababu January Makamba anamdanganya kweli, Halafu hata huyo anayemwandikiaga kamwandikia makusudi hizo ahadi ili mradi Jk awe kioja tu mbele ya watu, wenyewe wanamcheka pembeni tu, sababu wanajua kabisa wameshamaliza kila kitu, huyo jamaa Dokita Kikwete atakiona cha moto
 
Watanzania walio wengi wameonyeshwa kukerwa na kitendo cha Dr slaa kuandaliwa mahojiano maaalumu ITV ambayo yanatajwa kuwa ni moja ya mbinu ya propaganda kwani kuna tetesi kuwa hata watakaopiga simu kuuliza maswali katik kipindi hiko watakuwa wafuasi wake , kutokana na hilo watanzania wengi wanasema watampuuza Dr slaa ambaye anaonyesha kutapatapa baada ya kura zote za maoni kuonyesha yupo nyuma ya kikwete na hata upepo wakisiasa unamvumia vibaya kwani anaonekana ni rais wa magazetini tu lakini hawezi kushinda hivyo watanzania wamepania kumpuuza padre huyo wa kanisa katoliki.

Nilikuwa Sina Taarifa Mkuu, Asante sana ngoja niwapigie simu ndugu zangu na marafiki zangu hasa wale wabishi wa mabadiliko

Mungu akubariki sana Bingwa wa Hoja kwa kutuletea Taarifa hii Mujarad Kabisa
 
Unatia huruma jinsi ulivyo masikini! Kwa tathimini ya haraka haraka ni kwamba wewe mfurukutwa wa chama mtu wa ndio mzee unayetarajia miujiza kushuka toka mbinguni! wewe wale wanasema amani inatosha mengine majaliwa! Pathetic!!

Eti watanzania wengi wajiapanga kupuuzia mahojiano ya Slaa, Unaongea kinyume au ndio unatamani iwe hivyo! Jibu ni kwamba umechelewa mwaka huu hatudanganyiki!
Tunasubiri nondo za ukweli kutoka kwa dr wa ukweli! Halafu this time matangazo hayakatiki kama mlivyofanya na TBC. Kimsingi Dr atawaanika!!
 
Vichwa vingine bwana, yaani wewe unaona ndo dili kuingiza mambo ya dini kwenye uchaguzi, anyway tumesikia kapumzike mkuu.
 
Sio siri unatia huruma! Umasikini wa mawazo ulio nao na upeo wako wa kuainisha mambo kwa kifupi ni mdogo! Kinacho kusumbueni ni hofu ya kuanikwa hadharani! Na kawa taarifa yako ni kwamba this tome matangazo hayakatiki kama mlivyo fanya TBC channel zitakuwa clear bila chenga!
Tunajiaandaa kula nondo za ukweli kuoka kwa Dr wa ukweli! Sio huyo wenu anayejificha uvunguni kihiyo asiyeweza kutetea hata alichokifanya katika utawala wake. What a pathetic prick!
 
Watanzania walio wengi wameonyeshwa kukerwa na kitendo cha Dr slaa kuandaliwa mahojiano maaalumu ITV ambayo yanatajwa kuwa ni moja ya mbinu ya propaganda kwani kuna tetesi kuwa hata watakaopiga simu kuuliza maswali katik kipindi hiko watakuwa wafuasi wake , kutokana na hilo watanzania wengi wanasema watampuuza Dr slaa ambaye anaonyesha kutapatapa baada ya kura zote za maoni kuonyesha yupo nyuma ya kikwete na hata upepo wakisiasa unamvumia vibaya kwani anaonekana ni rais wa magazetini tu lakini hawezi kushinda hivyo watanzania wamepania kumpuuza padre huyo wa kanisa katoliki.

"watanzania walio wengi" umefanya utafiti gani?
 
LKIONGOZI BWM Vs JK
MWAKA 2000 -2004 Vs 2005-2009

Unga 460 Vs 1000 = 217%
Mchele 600 Vs 1500 = 200%
Sukari 760/kg Vs 1600/kg = 210%
Mkate 250 Vs 700 = 280%
Maharagwe 360/kg Vs 1400/kg = 277%
Mafuta ya taa 450/lt Vs 1050/lt = 233%
Mafuta ya uto 178/lt Vs 720/lt = 404%
Nazi 100 Vs 550 = 550%
Mchicha/tembele 50 Vs 150 = 300%

Unalipwa 100,000/-kwa mwezi kwa jedwali la hapo juu kila siku lazima ununue unga robo 400, mchele nusu 300, uto kibaba 125, mafta taa kipimo 300, sabuni nusu kipande 50, sukari robo 400, maharagwe robo 250, mkaa nusu kisado 300, nauli go & return 500, maji ya kunywa 500, hapo ni bachalor kwa siku ni 3,125 mara 30 = 93,750 kwa mwezi. Okay kodi kwa mwezi 20,000/- umeme 6000 kwa mwezi =total kwa mwezi ni 120,000/- je hiyo 20,000/- ziada katoa wapi????? ndo hizo mwisho wa siku zina wapeleka jela au kuwanaachishwa kazi. Je maisha bora hapo atoe wapi? Na je angekuwa na mtoto wa shule au watoto wawili? hapo hajaumwa, hajatembelewa na mgeni akamnunulia soda, hajanunua nguo nyingine!!!! Huyu mnaempigia kura hayajui hayo na hatambui kama una familia kijijini pia. wao wanatibiwa na serikali, mafuta ya magari kwao ni sawa na kumuuliza bibi akupigie story ya sungura. wenzie
wakitaka ongezo la mshahara wanajadiliwa in 2Hrs jibu tayari ila waalimu na wenzao.........! 3 years.

Yeye huyu JeyKey na hao wapambe wake na hao wanajipendekeza kama Shigongo waulizeni watoto zao ni akinani? utaambiwa mbunge, mara yuko BOT mara yule wa mwisho yuko ulaya kamtembelea shangazi yake, mara yuko busy na tenda ya kusuply komputa Wizarani. Wewe je unae mpigia kura tupe wasifu wako hata hao watoto wako na wategemezi wako. Hata baiskeli kule kijijini huna wala wazazi wako ndo unakesha kuwaombea wasiumwe kwa kuwa gharama za hospitali zitakuwa zako.

Muulize kesi za mafisadi vipi? Na je wanampango gani? utaambiwa yuko busy na harakati ya kutafuta ulaji kwa mara ya pili.

Hao wapambe wake na mawaziri wanaendesha magari gani utaambiwa aah wana tano tano kila wizara VBV8, uliza bei zake kila moja, inatumia mafuta kiasi gani kwa mwezi, na majukumu yake ni yapi? Na je zinakoenda akina RAV4, Suzuki, BMW ndogondogo hawafiki? Utaambiwa wanawahi kuwasilisha agenda. KWEEELI?

Na je hizo gharama za uendeshaji fedha zinatoka wapi? Utajibiwa kwenye mfuko wa serikali. Waulize serikali ina miradi gani ya kuweza kuendesha hayo magari tu achana na posho zao na mengineyo? Jibu ni KODI ZENU wananchi waungwana tulio na amani na utulivu kwetu. KWEELI kwa mshahara wa laki mbili zangu/zako?

FUNGUENI MACHO NA AKILI ZENU WAUNGWANA. Wenzenu Zenji wameshaliona
hili wameamua kujichorea MIPAKA yao Mapema.

MTAENDELEA KUZUBAISHWA NA STORI ZA KUTUNGA NA UDAKU NA KUSHANGILIA
MISAFARA MIREFU YA KAMPENI INAYOUNDWA KWA KODI ZENU.

TUKIZUBAA TUNARUDI KULEKULE.EEH MUNGU OKOA WATANZANIA.
 
ccm ni chama cha waleta MIZAHA , ni chama cha watu wenye mawazo duni, MAANA WAMEZOEA fAKING ,WANADHANI KILA MTU ANAFAKE,
wana rais muoga wakukabilianana uso kwa uso na watu makini, wana rais legelege.
CHADEMA WANAKUJA NA MTU MBADALA, MZALENDO, MTU MAKINI, MWENYE UCHUNGU NA TAIFA LAKE.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom