Elections 2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Jumamosi, Oktoba 23 Mgombea Urais wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa atajibu maswali ya wananchi moja kwa moja (live) kupitia ITV Televisheni, kuanzia saa moja jioni hadi tatu usiku.

Mwambie rafiki yako na wadau wote wa uchaguzi wasiokuwa kwenye mtandao huu, kwa njia ya simu au ujumbe mfupi wa maandishi, ni wakati murua wa kumuuliza maswali na kumbana kujua anataka kuifanyia nini hasa nchi hii, maana midahalo ndio kama hiyo ya urais hatuoni kama itakuwapo tena.

Tufunge huo mjadala wote tumeletwa na mwenyezi mungu hapa duniani. Mungu awajua walio wake na atawapigania katika mabaya yote. Tuendelee kumtumaini mungu tutashinda tu kwa uwezo wake.

Mengine tutajiumiza vichwa bure tufikirie kulinda kura kwa kwa akili zetu zote na kwa msaada wa mungu.

tutavuka salama Dr.Slaa ni Musa wetu.
 
Nashauri asifanye hivyo kabisa atajimaliza,hakuna sababu ya kuendelea kutia chumvi Dr.Slaa tayari amekubalika hana haja ya kuendelea kujiuza, hiyo strategy haitakuwa tofauti na ya JK ya kueneza mabango nchi nzima, SLAA ni bidhaa inayouzika kwa wateja ni bidhaa adimu, anatakiwa aendelee na za majukwaa zinatosha sana, magazeti yanafanya kazi kubwa sana pia.

Chonde chonde asifanye hivyo nawaomba washauri wake wabadilishe, the strategy is not healthy, ile aliyofanya juzi pale ITV na Masako inatosha sana wa watu waliizungumzia karibu nchi nzima.TAFADHALIU TUSIZIDISHE CHUMVI MBOGA ITAHARIBIKA.
 
Tunaweza kubishana sana kuhusu kuingizwa kwa kura hizo ama kutoingizwa kwake. IGP Mwema jana alisema hivi walifanya ukaguzi kwa kushirikiana na wadau wote wakiwemo waliotoa madai ya kuona kura hizo lakini hawakubaini kuwepo kwa kura hizo.Hapa polisi na hasa IGP Mwema tunamdai maelezo ya ziada.
Mallaba, nijuavyo mimi, Karatasi za kura uchaguzi wa muungano ndizo zinazotoka Uingereza lakini zile za Uchaguzi wa Zanzibar, zinatoka Afrika Kusini.

Kunauwezekano ni kweli hilo hilo 40 ft contena ndio limeleta mzigo wa ZEC na ofisa TRA amesema kweli, polisi wameamua kufunika kwa vile njia hiyo waliyoitumia sio ile iliyopendekezwa na walitoa fedha zao. Inabidi wayamalize kuitu uzuma tuu.
 
Nashauri asifanye hivyo kabisa atajimaliza,hakuna sababu ya kuendelea kutia chumvi Dr.Slaa tayari amekubalika hana haja ya kuendelea kujiuza, hiyo strategy haitakuwa tofauti na ya JK ya kueneza mabango nchi nzima, SLAA ni bidhaa inayouzika kwa wateja ni bidhaa adimu, anatakiwa aendelee na za majukwaa zinatosha sana, magazeti yanafanya kazi kubwa sana pia.

Chonde chonde asifanye hivyo nawaomba washauri wake wabadilishe, the strategy is not healthy, ile aliyofanya juzi pale ITV na Masako inatosha sana wa watu waliizungumzia karibu nchi nzima.TAFADHALIU TUSIZIDISHE CHUMVI MBOGA ITAHARIBIKA.
Hapa Dr slaa ni muhimu kujiuza kupitia television kwa sana tu. Mimi nafikiri hii ni nafasi muhimu sana kwa CHADEMA na DR slaa kuuza sera kwa watanzania walio wengi kwa muda mmoja. Kwani kuna wagombea wangapi wa uraisi? Na kwa nini Dr slaa apate nafasi hio pekee?

Nafikiri kwa uwezo mkubwa wa DR Slaa katika kuongea hii ni nafasi muhimu sana kwake. Mara nyingi vyama vya upinzani vinalaumu vyombo vya habari kwa kutowapatia muda wa hewani, lakini mwaka huu wanapewa halafu wakatae, haitaleta picha nzuri hasa kwa vyombo vya habari ambavyo vimejitoa sana kumkubali Dr Slaa. Watanzania wengi wanapenda kumsikia Dr Slaa kwa sasa.

Ni wakati ambao watanzania wengi wanatafakari maamuzi yao ya kupiga kura.
 
Nashauri asifanye hivyo kabisa atajimaliza,hakuna sababu ya kuendelea kutia chumvi Dr.Slaa tayari amekubalika hana haja ya kuendelea kujiuza, hiyo strategy haitakuwa tofauti na ya JK ya kueneza mabango nchi nzima, SLAA ni bidhaa inayouzika kwa wateja ni bidhaa adimu, anatakiwa aendelee na za majukwaa zinatosha sana, magazeti yanafanya kazi kubwa sana pia.

Huu ni ugonjwa wa watz wengi, kutojiamini. Unaimani na DR. Slaa kwamba anaweza, sasa vipi unakuwa na hofu na uwezo wake. Dr. Slaa anafahamu ni nini anataka kwenda kuwafanyia wananchi wake pale ikulu, hivyo hawezi kuhofia maswali ya wananchi wake kwani anawatumikia wao. Yeye aliye mwoga, hajui uzito wa vita iliyo mbele yake na namna ya kuishinda.
 
Mpwa asante kwa hoja za kifalsafa kabisa, but sasa mbona title haiendani na content??
 
Nimesikia leo StarTV wakati wa mapitio ya Magazeti leo asubuhi, waandishi "wakisoma kama waliotumwa" maoni ya mhariri ya gazeti la kuchambia la RAI.

Lakini kwa post hii, naweza kuendelea kuamini kuwa JF is the home of Great Thinkers.
 
Nashauri asifanye hivyo kabisa atajimaliza,hakuna sababu ya kuendelea kutia chumvi Dr.Slaa tayari amekubalika hana haja ya kuendelea kujiuza, hiyo strategy haitakuwa tofauti na ya JK ya kueneza mabango nchi nzima, SLAA ni bidhaa inayouzika kwa wateja ni bidhaa adimu, anatakiwa aendelee na za majukwaa zinatosha sana, magazeti yanafanya kazi kubwa sana pia.

Chonde chonde asifanye hivyo nawaomba washauri wake wabadilishe, the strategy is not healthy, ile aliyofanya juzi pale ITV na Masako inatosha sana wa watu waliizungumzia karibu nchi nzima.TAFADHALIU TUSIZIDISHE CHUMVI MBOGA ITAHARIBIKA.

No. Acha Dr. aruke hewani.

Cha msingi tu: "HAKUNA KUPIGA SIMU"

Maswali yote aulizwe na mwandishi atakayekuwa akifanya naye show, na apewe(Dr.) mapema ayapitie na kuyahariri.
 
kwa hiyo hicho kipindi ni leo? kama nin hivyo pls tupe muda kamili kama vipi tuage kazini asa tuondoke fasta tukasubirie
 
Uchaga una uhusiano gani na kinachosemwa??? Poor minded
 
Nashauri asifanye hivyo kabisa atajimaliza,hakuna sababu ya kuendelea kutia chumvi Dr.Slaa tayari amekubalika hana haja ya kuendelea kujiuza, hiyo strategy haitakuwa tofauti na ya JK ya kueneza mabango nchi nzima, SLAA ni bidhaa inayouzika kwa wateja ni bidhaa adimu, anatakiwa aendelee na za majukwaa zinatosha sana, magazeti yanafanya kazi kubwa sana pia.

Chonde chonde asifanye hivyo nawaomba washauri wake wabadilishe, the strategy is not healthy, ile aliyofanya juzi pale ITV na Masako inatosha sana wa watu waliizungumzia karibu nchi nzima.TAFADHALIU TUSIZIDISHE CHUMVI MBOGA ITAHARIBIKA.

aaaa you! muache rais agongomelee msumari wa mwisho kabla kukizika kabisa kichichi m.
kuna watu ambao ni wavivu wa kusoma magazeti,na pia hawasikilizi radio,hawaendi kwenye mikutano....wamestack na kusema hawapendi siasa bila kujua kuwa siasa ni kitu ambacho umo unwillingly, huwezi kuexist bila siasa,siasa zinadrive almost everything kokote duniani.
Dr atawawin dakika za mwisho wale ambao bado hawajaamua kupiga ili wakapige na wawe na hamu ya kusubiri matokeo.....kwa kipindi cha jumamosi anaweza akapata kura millioni mbili.
 
zaidi ya alizonazo mpaka sasa
 
CCM hawakubali Slaa azungumze na wananchi kwa masaa matatu.

Kwa taarifa yenu umeme wa grid ya taifa utazimwa kwa visingizio vya ajabu, Watanzania wengi wasipate furusa hiyo.
 
Jamani habari za kuaminika ni kwamba Rais mtarajiwa Dr Wilbroad Slaa atanguruma kwenye mdahalo kama ule wa vijana pale moven pick ambao CCM walikimbia jumamosi oktoba 23 na nasikia unarushwa live masaa mawili. Nasikia waandaji wanoko wakina Jenerali kuingia kwa kadi sasa nani mwenye taarifa za mahali kwa kupata kadi? Jamani huu sio wa kukosa piga ua uliopita kadi zilinipita pembeni jamani tusaiidianeeeeeeeeeee wapi kadi wajameni?
 
JK please, may you join him. we have some questions for you mkuu!

Confidence ya kuhojiwa aitoe wapi hali anajua uwezo wake na walichokifanya ndani ya 5 years...!!!...??? Atapigwa maswali achukie kesho yake usikie hiyo hoteli imefungiwa, mara hailipi kodi n.k. Tushawazoea, wakibanwa angle wanaanza kurusha mawe ya kutumia ubabe wa dola badala ya facts. Mfano mzuri ni gazeti la Mwananchi.
 
Back
Top Bottom