Dr.Slaa is the 'Man of the year 2010'

Dr.Slaa is the 'Man of the year 2010'

Wana JF,
i) Nawashukuru sana wote. Wenye kusifu na wenye kutukana. Katika yote kuna jambo la kujifunza.
ii) Namshukuru sana zaidi Mwenyezi Mungu aliyetuwezesha kufikia mwisho wa 2010. Natumaini atatufikisha dakika ya mwisho ya 2010 na kutuchagua kuona 2010.
iii) Wakati huu ni wakati wa kutafakari, nini nitalifanyia Taifa langu na watu wake. Haya mengine yote ni ya ziada. Nisingelipenda sana kusifiwa kwani Mungu tu ndiye mwenye kujua nafsi ya Mtu, na ndiye mwenye kuona yote hata yaliyojificha chini ya Ardhi.
iv) Kwa wote wenye kutumia muda wao kuandika mawazo yao, mazuri au vinginevyo, Mungu awabariki, awape afya na nguvu tele kutekeleza mapenzi ya Mungu. Sina baya na yeyote na nisingelipenda kufikiria baya kwa yeyote kwa vile wote ni watoto wa Mungu mmoja, mwema, mjua yote na mkarimu kwa kila mmoja wetu. Heri sana kwa wana JF wote kwa 2011.
Naona leo umekumbuka fani yako ya awali....
 
Tunakushukuru Dr. kwa kuwa pamoja nasi. Katika forum ya namna hii ni lazima uwe kiongozi mvumilivu. Na hiyo ndiyo sifa yako. Ningependa watanzania wengi wakuone ukitoa heri ya mwaka mpya maana wengi walikupigania wakatumia muda wao na fedha zao na bado wanakuunga mkono natumai itakuwa ni zawadi kubwa ktk mkesha wa mwaka mpya. Pia rejea sera za CHADEMA tekeleza kile kilichopo ndani ya uwezo wako na chama. Mfano elimu; ile nia ya kusoma pamoja na wanafunzi tafadhali itekeleze kwa mwaka 2011. Itaongeza morale ya wanafunzi, uwekezaji zaidi huko vijijini na kutoa fulsa kwa chama kujikita miongoni mwa watanzania wa umri huo wa shule. Tafadhali Dr.
 
Anaweza kuwa na sifa ya kuwa everywhere ni Mungu tu.

Kutoka kwa ujumbe wa Dr.Slaa nilichokielewa ni kuwa hapendi kupewa sifa asizostahiki, hiyo ya kuwa everywhere ni moja wapo.
Ni vizuri kutoa kasoro lakini pia ni vyema kuukubali ukweli na kama ukweli huu juu ya Dr. haukubaliki kwako tambua kuwa kura zenu hazikutosha zikachakachuliwa zikatosha lakini bado ushindi ulipungua kwa asilimia 25%. Pia tambua dhambi uzaa dhambi. Umea Arusha, Tanga na Mwanza ni matokeo mwisho wa yote ni maisha ya watanzania hayaeleweki na hata nyinyi wenyewe mmeanza kuchakachua mawazo yenu ili yatoshe ndo maana tunaona comment za namna hii.
 
Ukweli wa kuwa yupo everywhere haukubaliki kwangu wala hauwezi kukubalika kwa sio kuhusiana na Dr.Slaa tu, ni kwa mtu yoyote. Sifa hiyo ni ya Mungu.

Hayo mengine ni hot air tu hayana uhusiano na thread hii

Ni vizuri kutoa kasoro lakini pia ni vyema kuukubali ukweli na kama ukweli huu juu ya Dr. haukubaliki kwako tambua kuwa kura zenu hazikutosha zikachakachuliwa zikatosha lakini bado ushindi ulipungua kwa asilimia 25%. Pia tambua dhambi uzaa dhambi. Umea Arusha, Tanga na Mwanza ni matokeo mwisho wa yote ni maisha ya watanzania hayaeleweki na hata nyinyi wenyewe mmeanza kuchakachua mawazo yenu ili yatoshe ndo maana tunaona comment za namna hii.
 
dr slaa is the HERO-for Tanzanians. Waberoya na wanafiki wengine chupi zinawabana but the truth Slaa(PhD). Slaa ni lulu.
 
Man of God

Hivi unaweza kumpima vipi mtu kuwa ni Man of God?

U have many religious books there i see, u r a Farisayo mkubwa, nyani halioni kundule, & that is who u r & most human being with mindshortness,
u r too low, pretending man of god, crap
 
Anha

Basi anza kwa kutueleza everywhere uloikusudia ni wapi?

Na Man of God ina maana ipi.

this is problem of kukariri, Myopia of mind, man of god, man of God........ who r u? do u know god kuliko wengine? this is Devils behaviour u possess, i hate u, GOD....GOD......... peleka unabii wa uongo huko.
 
Wana JF,
i) Nawashukuru sana wote. Wenye kusifu na wenye kutukana. Katika yote kuna jambo la kujifunza.
ii) Namshukuru sana zaidi Mwenyezi Mungu aliyetuwezesha kufikia mwisho wa 2010. Natumaini atatufikisha dakika ya mwisho ya 2010 na kutuchagua kuona 2010.
iii) Wakati huu ni wakati wa kutafakari, nini nitalifanyia Taifa langu na watu wake. Haya mengine yote ni ya ziada. Nisingelipenda sana kusifiwa kwani Mungu tu ndiye mwenye kujua nafsi ya Mtu, na ndiye mwenye kuona yote hata yaliyojificha chini ya Ardhi.
iv) Kwa wote wenye kutumia muda wao kuandika mawazo yao, mazuri au vinginevyo, Mungu awabariki, awape afya na nguvu tele kutekeleza mapenzi ya Mungu. Sina baya na yeyote na nisingelipenda kufikiria baya kwa yeyote kwa vile wote ni watoto wa Mungu mmoja, mwema, mjua yote na mkarimu kwa kila mmoja wetu. Heri sana kwa wana JF wote kwa 2011.
Sisi wengine tunakushukuru kwa kupoteza muda wako kuwasiliana nasi moja kwa moja. Ni jambo la furaha kwetu kuwa pamoja na RAIS wa mioyo yetu( sio wa NEC) katika mijadala mbalimbali. Kwangu mimi you are the man of the year 2010, wapo watu watakukebehi aitha kwa utashi wao au kwa kutumwa ili kukukatisha tamaa ila wewe songa mbele maana unawakilisha kilio cha waTZ walio wengi ambao wamebakia kidogo kufikia kukufuru kuwa kwa nini walizaliwa katika nchi hii. 2011 make it double.
 
Tumia Kiswahili ueleweke

U have many religious books there i see, u r a Farisayo mkubwa, nyani halioni kundule, & that is who u r & most human being with mindshortness,
u r too low, pretending man of god, crap
 
Raving like a madman.

this is problem of kukariri, Myopia of mind, man of god, man of God........ who r u? do u know god kuliko wengine? this is Devils behaviour u possess, i hate u, GOD....GOD......... peleka unabii wa uongo huko.
 
Hakuna kitu hapa umempamba sana.
Hizi sifa ni za manabii tu sio Slaa hafikii hata robo ya robo ni mtu wa kawaida tu tena ana dhambi sana kuchukua mke wa mtu ni dhambi kubwa sana.
huyu ni Moto tu kwa Mungu.

Ni kweli na unauhakika na unachosema?Sidhani kama ni busara kumjudge mtu na kutoa judgment juu yake.
 
Raving like a madman.

That is spiritual insult to Dr. Slaa, as if ur a saint & asking if Dr Slaa is man of God, u r religious prostitute even physically i hope so.
This shows how hypocrite u r, idiotism dominates ur mind & soul till to hell, pure & simple
 
Wengi wenu mngekutana nae uso kwa uso wala msingekuwa na ubavu wa kumwambia mnayoandika hapa! Yeye na mwenzake wameweka majina yao halisi basi na nyie mfanye hivyo hivyo ili kukata mzizi wa fitna. Mnatia aibu sana.

Amandla.......
 
Wana JF,
i) Nawashukuru sana wote. Wenye kusifu na wenye kutukana. Katika yote kuna jambo la kujifunza.
ii) Namshukuru sana zaidi Mwenyezi Mungu aliyetuwezesha kufikia mwisho wa 2010. Natumaini atatufikisha dakika ya mwisho ya 2010 na kutuchagua kuona 2010.
iii) Wakati huu ni wakati wa kutafakari, nini nitalifanyia Taifa langu na watu wake. Haya mengine yote ni ya ziada. Nisingelipenda sana kusifiwa kwani Mungu tu ndiye mwenye kujua nafsi ya Mtu, na ndiye mwenye kuona yote hata yaliyojificha chini ya Ardhi.
iv) Kwa wote wenye kutumia muda wao kuandika mawazo yao, mazuri au vinginevyo, Mungu awabariki, awape afya na nguvu tele kutekeleza mapenzi ya Mungu. Sina baya na yeyote na nisingelipenda kufikiria baya kwa yeyote kwa vile wote ni watoto wa Mungu mmoja, mwema, mjua yote na mkarimu kwa kila mmoja wetu. Heri sana kwa wana JF wote kwa 2011.
:thumb:
 
usimshobokee ana mchumba tayari anaitwa josephine! tafuta wengine! hana lolote slaa!
 
Ndio mana Slaa amewapotosha viongozi wetu wa dini KKT,ROMAN CATHOLIC na ANGLICAN siku hizi tukienda kanisani wanahubiri ujinga wa siasa za Slaa wamesahau majukumu yao na kuwa makuhuhani wenye majoho yaliyojaa uchafu! I hate Slaa na Viongozi hao wa dini wanamfuata mtu muuongo,mchafu! Umri wa Slaa hadi leo hana mke! Leo wanatuambia a MAN OF GOD! what kind of GOD??? msimuhusishe MUNGU na huyu mchafu na mwenye kutuharibia dini zetu! I hate u Slaa,I hate u!
 
I hate you Dr Slaa,umewarubuni viongozi wetu wa dini na kuleta udini ndani ya nchi yetu,unataka kubagua watu kwa ukiristo na uislam. I hate you!
 
Back
Top Bottom