Dr.Slaa is the 'Man of the year 2010'

Dedicated to the people of Tanzania,
Raised people's self awareness,
Raised his political party from bottom to second top,
First person from opposition party to get more than 2mil. votes in a single election,
He fears no body except God-list of shame,
Man of the Bunge (2010),
Making ruling party work, sleepless,
He is ready for change,
He loves Tanzania and its people 'from his heart',
Man of peace,
Man of no tribe,
Man of no religion,
Man of no groups,
Man of no classes,
He is everywhere-reachable-even here,
Loves wealth of his nation,
He wants all people of Tanzania to share its wealth and fruits,
Forgiveness,
...........
...........

Man of God.

l dont think he does not deserve to be MAN OF THE YEAR.

I concur! Great personality and my role model, we are behind you Dr Slaa, walk the walk and be sure to see us besides you
 
Anaweza kuwa a man kwa baadhi yenu lakini si kwetu sote.Yeye kama Padri wa Kikatoliki na kale kamchezo inawezekana akawa mwanaume wa wanaume wengine lakini mimi na wenzangu hatumo
 
Man of coveting someone's wife!

Luteni is this an issue we should be discussing here? you want debate in this matter or just information!

ok, I agree with you a man of the year! kupora mke wa mwanaume mwenzake wazi wazi yahitaji ungangari ati! padre!

Pamoja na yote,Siangalii sana majadiliano yenu,my point ni kwa watu wanaoendelea kushikilia bango kuwa ameiba mke wa mtu.

i don't beg you to stop it but you should mind your own business on this,hakuna mtu anayeyajua vizuri maisha yangu ya ndoa except me.

Swala la kuibiwa mnalizungumza ninyi,am not a child kuibiwa and i have wright to decide my own life and as a woman am not ready to allow mgandamizo katika maisha ati kwa sababu ya sheria ya ndoa.

I told you i decided to quite and i will continue with my new love.NO Body can change this.

Kabla hujahukumu toa boriti kwenye jicho lako mwenyewe.
 
1.Ana hasira.eg ona alivyomfania Kafulila
2.Mzinzi.eg kapora mke wa mtu,kazaa na mke bila ndoa,aliwahi fumaniwa gest na malaya etc
3.Mpayukaji,eg kontena la kura,jk kafanya mkutano hotelini
4.Anatishia kumwaga damu.watz hatukuzoea
5.Analumbana na vyombo vya ulinzi na usalama
6.Anaamua bila kufikiria.eg anadi hakujua josephine alikuwa ameolewa.kwanini asifanye uchunguzi kwanza?
7.Hajui uchumi.eg eti mfuko wa simenti 5000 wakati garama za ulishaji ni 8500 kabla ya kodi
8.Elimu bure.eg wafadhili wake UK wanalipia yeye anamdagnya nani?
9.Orodha ni ndefu ngoja nnishie hapo
 
Pamoja na yote,Siangalii sana majadiliano yenu,my point ni kwa watu wanaoendelea kushikilia bango kuwa ameiba mke wa mtu.

i don't beg you to stop it but you should mind your own business on this,hakuna mtu anayeyajua vizuri maisha yangu ya ndoa except me.

Swala la kuibiwa mnalizungumza ninyi,am not a child kuibiwa and i have wright to decide my own life and as a woman am not ready to allow mgandamizo katika maisha ati kwa sababu ya sheria ya ndoa.

I told you i decided to quite and i will continue with my new love.NO Body can change this.

Kabla hujahukumu toa boriti kwenye jicho lako mwenyewe.
Kwa hiyo ni kweli uliibiwa? Au ulimcheat mumeo kabla ya kuamua kuendelea na huyo Slaa?

Je kwa Slaa upo mwaminifu? Au naye ategemee kutorokwa siku moja?
 
Hakuna anae kunyima uhuru wako lakini uhuru bila utaratibu sio uhuru.Kumbe hufai kuwa 1st lady.Kama hujali sheria ya ndoa bila shaka hata sheria zingine huzijali.Ungekwenda ikulu yangekuwa ni maangamizi kwetu
 
Kwa hiyo ni kweli uliibiwa? Au ulimcheat mumeo kabla ya kuamua kuendelea na huyo Slaa?

Je kwa Slaa upo mwaminifu? Au naye ategemee kutorokwa siku moja?

Nafikiri amesema hapo juu.unatakja kujua nini zaidi?mind your businbess ndungu.Ndoa ni ya wawili.
 
Ulishawahi kuja hapa ukaandika hivi miongoni mwa mengine uliyosema nakunukuu

Nilikuwa na Uhuru kumpenda mtu aliyenipa amani na faraja.Na sikuwanasababu ya kujifunga katika shimo lisilokuwa na matumaini hati kwasababu ya ahadi au kiapo.Ni watu wangapi wamepoteza maisha sababu ya kuishi ndani ya viapo visivyo na matumaini?

Pamoja na yote,Siangalii sana majadiliano yenu,my point ni kwa watu wanaoendelea kushikilia bango kuwa ameiba mke wa mtu.

i don't beg you to stop it but you should mind your own business on this,hakuna mtu anayeyajua vizuri maisha yangu ya ndoa except me.

Swala la kuibiwa mnalizungumza ninyi,am not a child kuibiwa and i have wright to decide my own life and as a woman am not ready to allow mgandamizo katika maisha ati kwa sababu ya sheria ya ndoa.

I told you i decided to quite and i will continue with my new love.NO Body can change this.

Kabla hujahukumu toa boriti kwenye jicho lako mwenyewe.

Hivi wewe unaona ahadi na viapo na sheria za ndoa ni vitu vya kupuuzwa? Na ikiwa kila mtu achukue hatua mkononi na kupuuza zile sheria anazoona zinamgandamiza hao akina Slaa wanapiga kelele utawala wa sheria wa kazi gani?
 
Man of coveting someone's wife!

Luteni is this an issue we should be discussing here? you want debate in this matter or just information!

ok, I agree with you a man of the year! kupora mke wa mwanaume mwenzake wazi wazi yahitaji ungangari ati! padre!
Too low kwa mtu kama wewe Waberoya kuandika hivi haya waachie kina MS, Dar Es salaam, Mwanamageuko, Sokomoko, yaya, jeykey lakini wewe unajidhalilisha.
 
Watu wengine ma-saddist wa kufa, kila topic wanaitafutia negativity response. Sick! :plane:
 
Umesahau moja. Husband of other men's wives. Hee na lingine mpenda wake za watu. Mwongo anaejua kujenga hoja. Ghiliba ndiyo tabia yake.
 
Hakuna kitu hapa umempamba sana.
Hizi sifa ni za manabii tu sio Slaa hafikii hata robo ya robo ni mtu wa kawaida tu tena ana dhambi sana kuchukua mke wa mtu ni dhambi kubwa sana.
huyu ni Moto tu kwa Mungu.

Wivu utakuua, ukiesabu wanaokula wake za watu ni wangapi, je wewe muadilifu, na mkuu wako je, si huyo ni zaidi ya hatari maana hata Mtoto mdogo ukimuuliza anasema
 
Hapo mimi mwenyewe niliposoma niliguna kidogo...!! Pengine mwandishi aliandika kishabiki zaidi, ni vigumu sana ku verify objectively baadhi ya wasifu aliouelezea mwandishi!!
Ni wasifu gani nimepamba, kama ni kupambwa anapambwa na magazeti ambayo katika nchi nyingi ndiyo hutumika kumpata man of the year.
 
Kwa hiyo ni kweli uliibiwa? Au ulimcheat mumeo kabla ya kuamua kuendelea na huyo Slaa?

Je kwa Slaa upo mwaminifu? Au naye ategemee kutorokwa siku moja?

Unauliza jibu?....once a cheater always a cheater!!
 
Kama wote ni Man of God kwanini iwekwe kwenye qualities zinazomtambulisha kama Man of the Year?

Sawa na kuandikwa Slaa ni Man of the Year kwa sababu ana macho mawili.

If at all hiyo ndo maana ilokusudiwa na mtoa hoja Luteni

Kama wote ni Man of God kwa nini unapinga Slaa asiwe Man of God nilitegemea uhoji mengine lakini si hili.
 
Ni wasifu gani nimepamba, kama ni kupambwa anapambwa na magazeti ambayo katika nchi nyingi ndiyo hutumika kumpata man of the year.

Kwa hiyo ile list si maneno yako ni ya magazeti au?

Kupamba kumoja ni

"he is everywhere reachable" for real?

Everywhere ni wapi?
 
Back
Top Bottom