Dr.Slaa is the 'Man of the year 2010'

Kwa hiyo ile list si maneno yako ni ya magazeti au?

Kupamba kumoja ni

"he is everywhere reachable" for real?

Everywhere ni wapi?
Nafikiri hata list za magazetini huwa zinatolewa na watu is not a computerized research.
 
Dr Slaa ni namba tatu yangu baada ya Mungu na Utatu Mtakatifu na mke wangu! I like this man!
 
mie na mshaka inawezekana hata mke huna nakama unae ulitafutiwa huwezi kuweka pumba zako hapa,
 
DR W. P. SLAA (PHD) IS A TRUE PATRIOT OF OUR NATION TANZANIA. MAY GOD GIVE HIM THE STRENGTH AND COURAGE TO CONTINUE DEFENDING OUR MOTHER LAND (TANZANIA) FROM HYPOCRITES :embarrassed:.
 
Pamoja na yote,Siangalii sana majadiliano yenu,my point ni kwa watu wanaoendelea kushikilia bango kuwa ameiba mke wa mtu.

i don't beg you to stop it but you should mind your own business on this,hakuna mtu anayeyajua vizuri maisha yangu ya ndoa except me.

Swala la kuibiwa mnalizungumza ninyi,am not a child kuibiwa and i have wright to decide my own life and as a woman am not ready to allow mgandamizo katika maisha ati kwa sababu ya sheria ya ndoa.

I told you i decided to quite and i will continue with my new love.NO Body can change this.

Kabla hujahukumu toa boriti kwenye jicho lako mwenyewe.
Big up first lady. Umewapatia jibu la ukweli. Jamaa wacha ajidhalilishe kwa kusikiliza mashauri ya ccm hayatamsaidia kitu. Mbona hawamsemi Kikwete aliyejaza wake na vimada kila kona ya nchi hii. Yaani hata vianafunzi!
 
Thank you saaaaaaaana, ila hapo kwenye red, He got more than 10mil votes, tuliibiwa, hizi 2mil baada ya uwizi wa NEC & CCM, no dought he is the Greatest ever leader no one can change that, he is a hero in genaral

He is our real President throughout our mind and in our Heart....! Mwingine yeyote ni ' just a white elephant' au 'plastic lion' au 'emptiness'...ndio maana nchi inamshinda kutawala...!

Naota kama kuna 'anguko kubwa' litatokea ila sijaweza kuhisi ni lini na itakuwaje! Imagine; kama PM vs Attoney General + Kombani, then kila mtu anaongea kivyake as if hakuna Kiongozi wa juu ('Rais') anayeongoza nchi! Kama vile tunaelea-elea kivile!! Ni hatari iliyoje??
 
Wana JF,
i) Nawashukuru sana wote. Wenye kusifu na wenye kutukana. Katika yote kuna jambo la kujifunza.
ii) Namshukuru sana zaidi Mwenyezi Mungu aliyetuwezesha kufikia mwisho wa 2010. Natumaini atatufikisha dakika ya mwisho ya 2010 na kutuchagua kuona 2010.
iii) Wakati huu ni wakati wa kutafakari, nini nitalifanyia Taifa langu na watu wake. Haya mengine yote ni ya ziada. Nisingelipenda sana kusifiwa kwani Mungu tu ndiye mwenye kujua nafsi ya Mtu, na ndiye mwenye kuona yote hata yaliyojificha chini ya Ardhi.
iv) Kwa wote wenye kutumia muda wao kuandika mawazo yao, mazuri au vinginevyo, Mungu awabariki, awape afya na nguvu tele kutekeleza mapenzi ya Mungu. Sina baya na yeyote na nisingelipenda kufikiria baya kwa yeyote kwa vile wote ni watoto wa Mungu mmoja, mwema, mjua yote na mkarimu kwa kila mmoja wetu. Heri sana kwa wana JF wote kwa 2011.
 
Dedicated to the people of Tanzania,
Raised people's self awareness,
Raised his political party from bottom to second top,
First person from opposition party to get more than 2mil. votes in a single election,
He fears no body except God-list of shame,
Man of the Bunge (2010),
Making ruling party work, sleepless,
He is ready for change,
He loves Tanzania and its people 'from his heart',
Man of peace,
Man of no tribe,
Man of no religion,
Man of no groups,
Man of no classes,
He is everywhere-reachable-even here,
Loves wealth of his nation,
He wants all people of Tanzania to share its wealth and fruits,
Forgiveness,
...........
...........

Man of God.

l dont think he does not deserve to be MAN OF THE YEAR.

To low to any great thinker! ha

He is great man to cdm funs and not more than that unajua wako wangapi kati ya watu Mil 40?

Anafaa kuwa st. Willbroad as per your classification wtf?
 
Wana JF,
i) Nawashukuru sana wote. Wenye kusifu na wenye kutukana. Katika yote kuna jambo la kujifunza.
ii) Namshukuru sana zaidi Mwenyezi Mungu aliyetuwezesha kufikia mwisho wa 2010. Natumaini atatufikisha dakika ya mwisho ya 2010 na kutuchagua kuona 2010.
iii) Wakati huu ni wakati wa kutafakari, nini nitalifanyia Taifa langu na watu wake. Haya mengine yote ni ya ziada. Nisingelipenda sana kusifiwa kwani Mungu tu ndiye mwenye kujua nafsi ya Mtu, na ndiye mwenye kuona yote hata yaliyojificha chini ya Ardhi.
iv) Kwa wote wenye kutumia muda wao kuandika mawazo yao, mazuri au vinginevyo, Mungu awabariki, awape afya na nguvu tele kutekeleza mapenzi ya Mungu. Sina baya na yeyote na nisingelipenda kufikiria baya kwa yeyote kwa vile wote ni watoto wa Mungu mmoja, mwema, mjua yote na mkarimu kwa kila mmoja wetu. Heri sana kwa wana JF wote kwa 2011.

Unapenda kusifiwa sana pole..

Wanaokusifiwa wanakupoteza, tunaomba msije leta vita na die hard cdm funs ok!

Pole pole mkuu, Tanzania ni kubwa kuliko cdm!
 
Wana JF,
i) Nawashukuru sana wote. Wenye kusifu na wenye kutukana. Katika yote kuna jambo la kujifunza.
ii) Namshukuru sana zaidi Mwenyezi Mungu aliyetuwezesha kufikia mwisho wa 2010. Natumaini atatufikisha dakika ya mwisho ya 2010 na kutuchagua kuona 2010.
iii) Wakati huu ni wakati wa kutafakari, nini nitalifanyia Taifa langu na watu wake. Haya mengine yote ni ya ziada. Nisingelipenda sana kusifiwa kwani Mungu tu ndiye mwenye kujua nafsi ya Mtu, na ndiye mwenye kuona yote hata yaliyojificha chini ya Ardhi.
iv) Kwa wote wenye kutumia muda wao kuandika mawazo yao, mazuri au vinginevyo, Mungu awabariki, awape afya na nguvu tele kutekeleza mapenzi ya Mungu. Sina baya na yeyote na nisingelipenda kufikiria baya kwa yeyote kwa vile wote ni watoto wa Mungu mmoja, mwema, mjua yote na mkarimu kwa kila mmoja wetu. Heri sana kwa wana JF wote kwa 2011.
Asante sana Dr.Slaa kwa comment yako hasa nilipo-bold "Don't ask what your country can do for you, ask instead what you can do for your country" ,Ingawa umesema hupendi kusifiwa but i think you deserve.

Niliposema you are everywhere kuna mtu aliniuliza 'everywhere ni wapi' nafikiri jibu kalipata, thanks.
 
Hakuna kitu hapa umempamba sana.
Hizi sifa ni za manabii tu sio Slaa hafikii hata robo ya robo ni mtu wa kawaida tu tena ana dhambi sana kuchukua mke wa mtu ni dhambi kubwa sana.
huyu ni Moto tu kwa Mungu.

We naye kimeo, hivi huyo mfalme Daudi aliyemchungulia mwanamke wa mtu akioga kisha akalamba na hata baada ya kunogewa kampachika mimba mama huyo na kuagiza Mume wake atoke vitani ili akapate kulala na mkewe ionekane kuwa si ya Daudi huku Mfalme akijua kuwa kitendo hicho si halali wakati wa vita. Urio alipokataa alirudi vitani na kuwekwa mstali wa mbele na kuuwawa kwenye mapambano kisha Daudi akajitwalia Mke na kupata mwana mwingine aitwae Selemani huyo aliyepewa hekima kuliko wote, pamoja na yote hayo Mungu alikuwa pamoja naye sembuse Dr. Slaa aliyependwa na mama wa kihaya tena anayejivunia kuitwa mke wa Dr eti leo hii anadhambi kubwa na tena si mtu wa Mungu. Hakika Dr. anafaa kuwa mwanasiasa wa decade, wa mwaka kwa kitu kimoja kikubwa juu ya sifa alizopewa, Kaitesa CCM na mabilioni yake kupindukia. Yaani kafanya CCM kutumia mabilioni mengi kisha kuambulia kura kiduchu hatimaye kuchakachua zaidi ya historia ya chama hicho. Kumbuka hata kura za waislam kwa Dr Slaa nazo pia zilichakachuliwa. Hapo CCM hawakuangalia udini lakini walishindwa kwenye kambi za jeshi na polisi. Ilikuwa mbaya, sitokaa nisahau.
 
Dedicated to the people of Tanzania,
Raised people's self awareness,
Raised his political party from bottom to second top,
First person from opposition party to get more than 2mil. votes in a single election,
He fears no body except God-list of shame,
Man of the Bunge (2010),
Making ruling party work, sleepless,
He is ready for change,
He loves Tanzania and its people 'from his heart',
Man of peace,
Man of no tribe,
Man of no religion,
Man of no groups,
Man of no classes,
He is everywhere-reachable-even here,
Loves wealth of his nation,
He wants all people of Tanzania to share its wealth and fruits,
Forgiveness,
...........
...........

Man of God.

l dont think he does not deserve to be MAN OF THE YEAR.

He is just a human being!! kama ana hizo qualities kwa nini apambwe kwa mapambo meengi. a genuine rose itanukia harufu ya rose!! you do not to convince any one that it is a genuine rose!!! and as I know him he will be disgusted to read that crap!
 
Anaweza kuwa na sifa ya kuwa everywhere ni Mungu tu.

Kutoka kwa ujumbe wa Dr.Slaa nilichokielewa ni kuwa hapendi kupewa sifa asizostahiki, hiyo ya kuwa everywhere ni moja wapo.

Asante sana Dr.Slaa kwa comment yako hasa nilipo-bold “Don’t ask what your country can do for you, ask instead what you can do for your country” ,Ingawa umesema hupendi kusifiwa but i think you deserve.

Niliposema you are everywhere kuna mtu aliniuliza 'everywhere ni wapi' nafikiri jibu kalipata, thanks.
 
Back
Top Bottom