Dr.Slaa is the 'Man of the year 2010'

Ila wewe mwanamke huna aibu,uzuri mumekutana wote tabia zenu zinafanan,I mean hata huyo boy freind wako nae kaacha sana! jamaa angekuwa rais angekutema,wakatolik wangemtafutia kimwana!
 
Man of coveting someone's wife!

Luteni is this an issue we should be discussing here? you want debate in this matter or just information!

ok, I agree with you a man of the year! kupora mke wa mwanaume mwenzake wazi wazi yahitaji ungangari ati! padre!

The brain that GOD gave you has some mulfunction somehow mkuu. Utamtambuaje mke wa mtu? Alikuwa anatembea na kitambulisho? behave na uheshimu privacy za watu.
 
Wengi wenu mngekutana nae uso kwa uso wala msingekuwa na ubavu wa kumwambia mnayoandika hapa! Yeye na mwenzake wameweka majina yao halisi basi na nyie mfanye hivyo hivyo ili kukata mzizi wa fitna. Mnatia aibu sana.

Amandla.......

Hawa pimbi wa CCM hawana ubavu huo.
 
tunamkubali na tulimpigia kura.
Kwani tumekwambia sisi muslims hatuitaji mabadiliko!
Alichotuboa ni hiyo ishu ya mke wa mtu lakini wengine tuliona ni mambo binafsi na kila mtu ana weaknesses zake sio dr tu. Hata hivyo jamaa alikuwa wapi siku zote asilalamike aje kulalamika kipindi cha kampeni!! Niliona ni kamchezo hapo.

nimekupenda sana husninyo kwa hoja hii.kumbe wapo waislamu walosoma na kuelimika na si kukariri.hakuna asiye na udhaifu.huyo mwenye mke alijidhalilisha.hawezi kupotelewa na mke halafu asiripot kokote.umenigusa sana.hata watawala wetu wengi sasa ni wazinifu wakubwa.wanafanya mambo kwa siri bora dr mkweli katika hili.
 
Vipi Kiswahili kinakupa tabu?

Wapi niliposema Dr.Slaa si Man of God?

Nilichofanya ni kuuliza "utamjua vipi"

Kama vigezo vya kumjuulia unavijua viainishe, kama huvijui pumzika.

That is spiritual insult to Dr. Slaa, as if ur a saint & asking if Dr Slaa is man of God, u r religious prostitute even physically i hope so.
This is shows how hypocrite u r, idiotism dominates ur mind & soul till to hell, pure & simple
 
Anastahili kabisa kuwa man of the year..

Kura zilikuwa zaidi ya 8 milion

atakuwa rais mteule 2015 chini ya katiba mpya.
 
Back
Top Bottom