Dr. Slaa hatimaye aibuka

Kilichofanyika ndani ya cdm , kumpokea ENL ni kinyume cha maumbile,kuamini kuwa binadam anaweza kuzaa hata kwa nyuma!
Kwa nyuma ya binadam tutegemee kinacho fanana na kinyesi!
Hata kama ikitokea ni binadam!
Nikiambiwa Leo cdm ina malengo ya kitaifa,nakataa hata nisipoungwa na dunia yooote!
Malengo yamegeuka kuwa biashara(mbowe)
utaifa(maalim)
madaraka(lowasa)
sifuri(walala hoi).
Malengo ya cdm ilikuwa kujenga jumba la BLOCK!
Mara tunaambiwa hata matofali ya udongo yatafaa sana kwa msingi wa jumba.
Kila likinunuliwa tofali la udongo linashangiliwa.
nimeikubali tafsiri yangu ya DEMOCRACY, that is "THE DICTATORSHIP OF THE MAJORITY"
walio wengi wakisema Bin Adam atazaa kwa NYUMA,wewe ukibisha WATAKUUA!
SLAA+LIPUMBA=TRUTH BEYOND ? Mark!

Hawa ni watu wawili tofauti kabisaa.

First Name: Dr. Wilbrod
Middle Name: Peter

Last Name: Slaa

Na huyo wa sisiem
Dkt. Wilbard Slaa Lorri

Wanafanana kwenye Dr na slaa basi.

Pole zako

kilichofanyika ndani ya cdm , kumpokea enl ni kinyume cha maumbile,kuamini kuwa binadam anaweza kuzaa hata kwa nyuma!
Kwa nyuma ya binadam tutegemee kinacho fanana na kinyesi!
Hata kama ikitokea ni binadam!
Nikiambiwa leo cdm ina malengo ya kitaifa,nakataa hata nisipoungwa na dunia yooote!
Malengo yamegeuka kuwa biashara(mbowe)
utaifa(maalim)
madaraka(lowasa)
sifuri(walala hoi).
Malengo ya cdm ilikuwa kujenga jumba la block!
Mara tunaambiwa hata matofali ya udongo yatafaa sana kwa msingi wa jumba.
Kila likinunuliwa tofali la udongo linashangiliwa.
Nimeikubali tafsiri yangu ya democracy, that is "the dictatorship of the majority"
walio wengi wakisema bin adam atazaa kwa nyuma,wewe ukibisha watakuua!
Slaa+lipumba=truth beyond ? Mark!
jiandae kisaikolojia ndugu yangu,lowassa ndiye raisi ajaye.in politics every ting is possible,siasa si kuwa na mawazo yale yale miaka nenda rudi.politics changes!!
 
Kilichofanyika ndani ya cdm , kumpokea ENL ni kinyume cha maumbile,kuamini kuwa binadam anaweza kuzaa hata kwa nyuma!
Kwa nyuma ya binadam tutegemee kinacho fanana na kinyesi!
Hata kama ikitokea ni binadam!
Nikiambiwa Leo cdm ina malengo ya kitaifa,nakataa hata nisipoungwa na dunia yooote!
Malengo yamegeuka kuwa biashara(mbowe)
utaifa(maalim)
madaraka(lowasa)
sifuri(walala hoi).
Malengo ya cdm ilikuwa kujenga jumba la BLOCK!
Mara tunaambiwa hata matofali ya udongo yatafaa sana kwa msingi wa jumba.
Kila likinunuliwa tofali la udongo linashangiliwa.
nimeikubali tafsiri yangu ya DEMOCRACY, that is "THE DICTATORSHIP OF THE MAJORITY"
walio wengi wakisema Bin Adam atazaa kwa NYUMA,wewe ukibisha WATAKUUA!
SLAA+LIPUMBA=TRUTH BEYOND ? Mark!

Teh!teh!daa ndugu nimecheka sana leo,
 
Tatizo lenu mnajitahidi kutengeneza sababu mnazotaka nyie. UKAWA nia yao sio kwamba wanampenda EL kwa kuwa anafaa kuwa raisi wa nchi hii. Zunguka utakavyozunguka, fahamu kuwa nguvu alizonazo EL ndio sababu ya kumkubali. Nguvu ya idadi ya wafuasi na nguvu yake ya pesa. Ukiunganisha na ukweli kuwa watanzania wengi wameichoka CCM, ni dhahiri kuwa kumpokea pamoja na nguvu ya vyama vyao, CCM lazima itatafuta pa kutokea. Na hilo ndilo lengo kuu. Kuiangusha CCM. Mnaongea mengi tena yaliyo nje ya haya na mengine hata hayana uelekeo.
 
Huyu Dr. Asibembelezwe tena, wamuache tu, li bichwa lake linavimba akisujidiwa. Mbona aliacha kanisa na linaendelea hadi leo. Wamwache apumzike he's nt God. Tumeshamuelewa ni mvurugaji tu achaneni nae.
 
Huyo babu mdini ameona Lowassa sio wa dhehebu lake. ..akafie mbele kazoea kuwa mpinzani
 
hivi CCM wamesahau kuwa wana mgombea wao na wanahitaji kumpigia kampeni?

Watampigia kampeni kwa wananchi gani? Labda wakampigie kampeni huko Kenya,lakini kwa Tanzania wananchi hawaitaki tena CCM na wagombea wake wote.
 
Nasikia CCM wameshampitisha kugombea ubunge karatu ... Huyu Mzee amejidhalilisha sana ... anatumiwa na waaidika wa mfumo ... Hivi pengo ni nani hadi Slaa ajiharibie kiasi hiki?
Jamaa anajua 'kucheza' na CCM waongeze dau...
 
Back
Top Bottom