Dr. Slaa Hatatuangusha Watanzania

Dr. Slaa Hatatuangusha Watanzania

Usilete maneno ya kilatini kutetea malaya wa kiume.Huyo mushumbusi walifunga naye ndoa wapi? Toka lini dini ikatambua hawara kuwa mke?


Wewe kweli ni mbumbumbu wa kufikiri
Mwaka 975 Bc na 1123-1884, Watanganyika walikuwa wakifunga ndoa za aina gani?
 
MUSSA ALLAN @ Ritz dont panick data zote ziko wazi unaweza kupewa, M/Kiti na Katibu wameimalisha chama na taasisi zake hilo halina ubishi!!
Tegemeo la Watanzania kukomboa nchi toka mikono ya nafisi na mafisadi kina Chenge, Lowasa & CO ni DR SLAA kupitia UKAWA!!!
 
Last edited by a moderator:
MUSSA ALLAN @ Ritz dont panick data zote ziko wazi unaweza kupewa, M/Kiti na Katibu wameimalisha chama na taasisi zake hilo halina ubishi!!
Tegemeo la Watanzania kukomboa nchi toka mikono ya nafisi na mafisadi kina Chenge, Lowasa & CO ni DR SLAA kupitia UKAWA!!!
Asante sana mtumishi
 
Last edited by a moderator:
tecnoLOJIA kiboko ya MaCCM ni daftari la wapiga kura liboreshwe!
Vijana wengi wana usongo kuondoa mafisadi, tupo vijijini tunaona mwelekeo!!
Mfano Makambako, NEC makadilio voters 35,000.
Waliojiandikisha more than 50,000!!
Jibu unalo ndg yangu!!
 
Last edited by a moderator:
Emma hilo bango kichwani mwa kijana huyo nimelipenda!!
 
Last edited by a moderator:
Mzalendo mpiga kura.....je tume ya uchaguzi itakuwa huru ??? Tatizo sio kushinda ila tatizo ni kutangazwa mshindi.....Pia wananchi tunapenda kuona kipya vipi miaka yote hao hao wanashindwa mnawarudisha kama Lipamba na CAFA......Kama kweli UKAWA itadimu mpaka mwisho TUTAWAPA NCHI
 
Mzalendo mpiga kura.....je tume ya uchaguzi itakuwa huru ??? Tatizo sio kushinda ila tatizo ni kutangazwa mshindi.....Pia wananchi tunapenda kuona kipya vipi miaka yote hao hao wanashindwa mnawarudisha kama Lipamba na CAFA......Kama kweli UKAWA itadimu mpaka mwisho TUTAWAPA NCHI



Ccm kazi ya kwanza ilikuwa kuikata mizizi fumwale,kisha tutafuatia mizizi mikuu, mti umeanza kunyauka majani yake.Hebu tizama kauli za makada tu ujue 2015 ni homa ya malale
 
Amejenga umoja,upendo,mshikamano na uzingatiaji wa sheria na katiba.Hata walioshinda uongozi amewapiga marufuku kuonesha uchadema kazini,amesema wao wamekuwa watumishi wa serikali mambo ya chama wawaachie viongozi wa chama
 
Imenichukua miezi 36, kujifunza ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo( chadema), nimejifunza mengi.

Tangu kuondoka kwa ward Kabour aliyekuwa katibu Mkuu kutokea kigoma na nafasi yake kushikwa na mtaalamu wa sheria,na falsafa ya theolojia,Dr wilbroad Slaa,nimeona hakika kiongozi huyu ni wa kutukuka.

Kuonesha kuwa amefanya kazi kubwa pale alipofanya yafuatayo:

KUIMARISHA TAASISI ZA CHAMA

Alianza na kuwajengea uwezo watumishi wa makao makuu katika nyanja ya kitaalamu na kitaaluma,akawapa nafasi kwenda nje kusoma,akaanzisha kurugenzi ya sheria,kurugenzi ya habari,kurugenzi ya ulinzi na usalama,kurugenzi ya fedha,na kurugenzi nyingine nyingi ambazo zimeiweka chadema kuwa taasisi.

Usishangae unapoona timu ya Tundu Lissu,Tumaine Makene, Mohamed Mtoi,Lwakatare,na John Mrema ( kutaja wachache), ccm imepata kazi kweli kiasi cha kuishi wasiyoyatengeneza.kwa mujibu wa katiba ya chama aliitekeleza


KUUNDA TAASISI

Baada ya kazi hiyo,alianza kujenga taasisi za Bawacha,Bavicha,Chaso na Baraza la wazee..

Hii ilikuwa kazi yake aliyopewa na wanachama wa chadema.amefanya kazi kubwa sana.

Bawacha ambaye ilikuwa na wanachama laki tano 2000,imepelekea kuwa na wanachama milioni tatu nchi nzima.2015

Baraza la vijana,Bavicha kutoka wanachama laki mbili,2000, kwa sasa wanachama wamefikia milioni moja. Na si kuongezeka kwa idadi tu,bali pia mabaraza haya yapo ngazi za chini kabisa ya tawi nchi nzima,huwezi kwenda Itungu,Ikungi,mahaha,longido,kyaka,matemanga,nyamagoto, Misenyi,Madabank usikute ofisi za bawacha na bavicha.

Haikutosha akishirikiana na Mh.Mbowe,na timu yake,waliona chama bila wasomi, akaunda chaso ambaye kusema kweli limekuwa zao la vijana wabunge akina Kafulila,Zitto kabwe, Halima Mdee,Mnyika na wengineo wengi wanaotarajiwa kuwatumikia watanzania kupitia Udiwani na Ubunge Mwaka huu 2015.

Baraza la wazee amelifanikisha kuliimarisha likikishauri chama kwa kiasi kikubwa.
Dr.Slaa akiamini nidhamu,uvumilivu,utu,kiasi na umoja ndio njia ya kujenga Taifa lenye Usawa,na uchapakazi alishauri chama kuwa mwaka 2013 kisingefanya uchaguzi bali kiende ngazi ya kata,tawi na kisha msingi.Uchaguzi wa serikali za mitaa umeonesha matunda ya ushauri wake.kwani chadema imeshinda kwa kishindo kuliko wanavyojinasibu ccm kuwa ushindi mdigo,maana yapo maeneo ambapo tangu uhuru 1961 ccm imekuwa ukitawala vijiji,vitongoji na mitaa,lakini safari hii maeneo hayo yameenda na chadema yote.

Watu makini,kwa kazi makini,hakika Dr.Slaa ni mtu makini asiyeyumba kwenye kusimamia kanuni,katiba sheria na taratibu. Kiongozi ambaye ni very strategic katika mipango yake.
Inaonesha,katika mahojiiano binafsi niliyofanya na watumishi wa serikali ya Tanzania,wanamuona kama kiongozi wa kupigiwa mfano ameijenga chadema viliyo kutoka falsafa ya mtu,kwenda falsafa ya kitaasisi.

Si ajabu unapoongea na watu kupitia mitandao ya kijamii nje na ndani ya nchi, kwenye twitter,facebook,jamiiforum na sciber utakuta wanasema" Dr Slaa ni hazina ya watanzania,
Na hata angepewa nchi hatawaangusha watanzania"

Chadema Kwanza
Hujaandika kitu hapa. Undo
 
Kamanda hivi UKAWA wasipomchagua Dr.Slaa mtavunja huo umoja wenu wa maghumashi?

Hayawahusu vipi mmefikia wapi mikakati yenu na lowasa au ndio mnamuandalia kuchukua kadi ya a.c.t usiku kama mwenzake.
 
Dr Slaa ndiye tumaini la watz wazalendo wa kweli.
 
Back
Top Bottom