gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
watanzania kwa sasa wanafahamu fika kwamba Dr Slaa ni mtu makini sana, hata ccm wakitoa maneno yasio na maana ndivyo wanavyozidi kujidhalilisha uwezi kusema eti Dr ni mwizi wa wake za watu ukategemea eti ni point mabo hayo yamebaki kwa watanzania wachache sana tena wale wenye hakili kama za Nape