Dr. Slaa Hatatuangusha Watanzania

Dr. Slaa Hatatuangusha Watanzania

Slaa ana mapepo saba, aliyapata baada ya kuuasi upadre...hawezi kuongoza nchi kama hana mawasiliano mazuri na mungu wake...simuhukumu ila aendelee tu na biashara zake na hisa alizowekeza chagadema...lakini naamini pamoja na dr slaa kumuasi mungu bado anaweza kumshauri mwekezaji mkuu ndani ya
chagadema yao namaanisha mbowe, waweke akili mpya uongozi mkuu wa cdm hasa kwa hizo nafasi wanazoatamia

Ccm ndiyo yenye mapepo saba ;
1. Iliua Azimio la Arusha,
2.iliuza nyumba za serikali kwa bei ya chee,
3. Ilibinafsisha benki yetu ya NBC,
4. Iliua viwanda vyetu vya Mwatex,Mutex,Kilitex nk
5. Ilianzisha sheria ya Takrima,
6.Ilibariki rushwa,
7.imeendelea kuruhusu wazungu kuiibia nchi yetu kwa kutoa mirahaba na sisi kutembeza bakuli kila kona ya dunia kwa kuomba msaada,
Kwa nini msipate mapigo saba dhidi ya mapepo haya yanayokumbatia ujinga,maradhi na umaskini?
 
Kama hujui nguvu ya siasa kwenye nyanja zote za maisha kama ulinzi,huduma za jamii kama maji,umeme,hospitali,kilimo,madini,viwanda,ajira,shule,kodi,bei ya vitu,miundombinu kama bei ya vitu,nauli, nk basi unahaki ys kusema hivyo,vinginevyo tutajua tu kuwa wewe ni ccm unayerukaruka na kujifanya hamnazo.

We mbwiga usilazimishe ujinga wako kwangu kwanza sina chama tambua hilo so ujinga wako wa mawazo unataka kulazimisha sio kabisa narudia kuna watu wanasema watanzania maskini hawana hela hii si kauli maana kuna wengine wanatumia kila siku na hawana shda hvyo unavyosema slaa ni tumaini la watanzania si kweli maana si wote wanaompenda slaa Sema slaa ni tumaini langu au kwa chama chake cha chadema hvyo mi si mwana CCM au chadema kaa tambua hilo nimemaliza
 
....."Heri nguo ziraruke kuliko akili..." umewahi kujiuliza hao unaowasema wanapesa walizipataje?, ulishawahi kufikiri aliyeweka passport ya kuingia nchi nyingine ni mwanasiasa?, ulishawahi kufikiri bei ya mazao ya chakula na biashara inapangwa na wanasiasa?

Pia ninashangaa,kama unajua kuna watu hawampendi miongoni mwao ni wewe si nikwasababu anazungumzia kuziba mianya mliyozoea kupiga/ kukwapua na kuwafanya wengine waonekane nchi hii ni fungu la kukosa?

Nikupe tu,ukweli Marekani iliendelea kama unavyoiona kwa sababu ya katiba bora ambayo ilisema kila mtu hayuko juu ya sheria, na wakaamua kujenga nchi yao kwa vizazi vijavyo si ccm iliyolea wizi,uzembe,ubinafsi,upendeleo na kuwa juu ya sheria.
Jipime kama unatosha

...
"
 
Back
Top Bottom