Hebu ona ccm ilivyoaibu,kama m/ kiti wa chama anaongoza baraza la mawaziri anakubali mawaziri kupeleka hoja bungeni,anashiriki kunadi Ilani ya ccm inayoweka maazimio ya kuwapatia mahakama ya kadhi,leo hii unasimama live kwenye vyombo vya habari na kusema serikali haitajihusisha na uanzishwaji wa mahakama hiyo,serikali haina dini, wakitaka waianzishe wenyewe!
Kiomgozi kama huyu hawezi kuitwa mwenye maono,na chama anachokiongoza kinasawiri kauli ya Horace Korimba kuwa ccm imepoteza mwelekeo.Daima Dr,Slaa ataendelea kuwa nambari one!
Kiomgozi kama huyu hawezi kuitwa mwenye maono,na chama anachokiongoza kinasawiri kauli ya Horace Korimba kuwa ccm imepoteza mwelekeo.Daima Dr,Slaa ataendelea kuwa nambari one!