Tazama babu anavyodanganya tena hapa:
Babu, hauna msaada kutoka nje? vipi kuhusu CDU, (Chama cha Kikristo cha Ujerumani?), unapinga kuwa hawawapi msaada?
Hivi Dr alienda kuomba kura au kuongea na wanafunzi,
Mambo ya siasa za kwenu yanawahusu nini wamarekani
Black Widow
'''We believe on education to be the only way for Tanzania to rise from the abject poverty it is in today. We have no alternative but train our young people who will in turn, employ their intellectual creativity into full practice to enable Tanzania become an economic giant in a continent long forgotten'''
Wengine wakienda huko wanaomba na kupewa SUTI
teh teh,mkuu ina maana wewe unaamini hatuwezi endelea bila misaada?Chukueni time huko na huyo padre wenu. Israel inachukua misaada asilimia 70 ya budget yake kutoa USA, sembuse wewe Slaa!? Juzi juzi tumesikia Rwanda (Kagame) inalia kwa kunyimwa misaada na Marekani kwa sababu ya child military kule Congo, yeye Slaaanadanganya wasioelewa kuwa hakuna misaada huko!? Jeshi la South Africa, Egypt na Senegal yanaongozwa asilimia 60 misaada kutoka Marekani. Jamani, Watanzania siku hizi wanaelewa sana, tujitahidi kuongea points na si kudanganya watu wasiofikiri kwa kasi na kubeba beba vitu hovyo hovyo!
Ukitumwa na watu uende ughaibuni unatakiwa uongee points za maana na si kujichanganya changanya hovyo kama hivi.
Hii siyo Hutuba ya kutajana majina kama za yule Rais DhaifuWell done Dr. Slaa, ni hotuba iliyojaa uzalendo na nchi yetu, hotuba iliyojaa hekima, busara na ujasiri
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Uandishi mbovu ajabu, bado sijakutana na mwandishi mzuri wa hotuba...haivutii
Babu anasema yuko "study tour" na mchumba.
Kwi kwi kwi teh teh teh!
Una maana amekwenda kusomea URAIS au???
Seriously mkuu, nazungumza nikimaanisha kwamba hii hotuba ni ya kawaida kabisa, ukitafuta first year yoyote wa sheria anaweza andika vizuri kuliko jinsi hii hotuba ilivyoandikwa...kama mwenye phd anaandika vibaya hivi, sina haja ya kutafuta hiyo phd...
Hivi Dr alienda kuomba kura au kuongea na wanafunzi,
Mambo ya siasa za kwenu yanawahusu nini wamarekani
Wazushi watupu, umemletea karolati nape? Kajambe ulale huna hoja ushunzi mtupu
teh teh,mkuu ina maana wewe unaamini hatuwezi endelea bila misaada?
JK begs too much! He makes us seem as if begging is an indigenous part of our cultureMisaada can take very different forms, uhitaji kupita Ulaya kusema wewe uhitaji kama nchi wakati Duniani nzima inaimba huo wimbo. Hata waliokuwa wanamsikiliza naamini waliboreka na shallow understand yake.
...pamoja na tofauti zetu ndani ya nchi, SIAMINI kama ni busara kwa kiongozi wa upinzani kumnanga Rais wa Nchi kwa namna hii akiwa nje ya nchi, kwa wenzetu Wamarekeni hili ni kosa kubwa sana, nadhani tunapaswa na sie tuige hili, tupingane kisiasa ndani ya nchi yetu ila tukitoka nje ya mipaka yetu tubaki watu wamoja, Watanzania...Our country rich in resources is being exploited by foreign entities, while our President is busy trotting the world begging for mosquito nets. With our resources, we can make our own mosquito nets without them being donated to us. Chadema party which I represent is poised to changed that, and the most important tool we need is the development of human capital
...pamoja na tofauti zetu ndani ya nchi, SIAMINI kama ni busara kwa kiongozi wa upinzani kumnanga Rais wa Nchi kwa namna hii akiwa nje ya nchi, kwa wenzetu Wamarekeni hili ni kosa kubwa sana, nadhani tunapaswa na sie tuige hili, tupingane kisiasa ndani ya nchi yetu ila tukitoka nje ya mipaka yetu tubaki watu wamoja, Watanzania...