Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

Tazama babu anavyodanganya tena hapa:




Babu, hauna msaada kutoka nje? vipi kuhusu CDU, (Chama cha Kikristo cha Ujerumani?), unapinga kuwa hawawapi msaada?

Unapenda kuliwa kidogo sababu huwezi hadi uliwe, tatizo hujapata siku mingi. Vp jana ulisafirisha gramu ngapi teja?
 
JK anayo kazi..kabla hajatoka ktk urais ..Jk anaweza asipende kabisa Biography yake iandikwe kwani itakuwa km shutuma tupu.
 
Hivi Dr alienda kuomba kura au kuongea na wanafunzi,

Mambo ya siasa za kwenu yanawahusu nini wamarekani

una kaili ndogo..alikuwa anaongea na wawekezaji wa kesho kwani wa leo ndio wameiwaingiza CCM choo cha kike, kaenda washape watoto vichwa ktk hiyo vasity ili waje kuwa wawekezaji CDM na watanzania wanaowataka...umeona wapi kiongozi anatengeneza wawekezaji wake?na kukiomba chuo kifungue milango kwa watanzania....?
 
Black Widow

'''We believe on education to be the only way for Tanzania to rise from the abject poverty it is in today. We have no alternative but train our young people who will in turn, employ their intellectual creativity into full practice to enable Tanzania become an economic giant in a continent long forgotten'''

Wengine wakienda huko wanaomba na kupewa SUTI

Nakumbuka nilipofika Marekani mara ya kwanza kabisa chuoni nikafahamiana na wamarekani kadhaa, mama mmoja ambaye tulikuwa darasa moja la digital media and electronic publishing alishangaa uzoefu wangu maana darasani ilikuwa kama kupiga msasa tu kwa vile nimetokea kufanya kazi hiyo hiyo, akanipa kazi ya kuhariri kitabu cha Shule ambako wana-graduate highschool her first born. Baada ya kumaliza na kunipa haki yangu, wakanikalisha kitako na mume wake na kuniuliza hivi: "What and how do you want us to help you"? Bila kuchelewa nikawaambia sihitaji pesa maana ikiisha nitakuja kuomba tena, ila nahitaji kuni-refer kupata kazi nitajihakikishia maisha kwenda bomba. Walitazamana mke na mume wake kisha wakawageukiwa watoto wao wawili na kuwaombia: "We have never experience african people to ask our reference for employment, actually they ask money." Kwa bahati nzuri kabla hawajaniunganisha nikawa nimeshapata kazi kwenye newspaper publishing na walifurahi sana.

Jambo la msingi waafrika wengi tunataka njia ya mkato bila kufikiri nini kitafuata baada ya kuisha ninachopewa, ndivo nilivyo fikiria na walinishangaa kwa vile si kitu cha kawaida kwa wengi wetu

Dr. Slaa ana upeo wa hali ya juu na wengi hasa wasomi duniani wataichukua hotuba hii kwa namna ya pekee sana kwani viongozi wachache sana wenye kuthubutu kuanika ukweli huu kwa uwazi. Aliweza Nyerere katika kumbukumbu zangu. Wengine ni kufinyangafinyanga maneno ili kupata misaada.

Tumeshuhudia Mkuu wetu wa nchi kupata kashfa toka Wikileaks kwa kuhongwa Suit.

Tunahitaji kuwezeshwa kujitegemea si kupewa halafu kesho tuende kuomba tena. Ndivyo nchi nyingi za Asia zilivyofanikiwa kuondokana na umaskini.
 
Chukueni time huko na huyo padre wenu. Israel inachukua misaada asilimia 70 ya budget yake kutoa USA, sembuse wewe Slaa!? Juzi juzi tumesikia Rwanda (Kagame) inalia kwa kunyimwa misaada na Marekani kwa sababu ya child military kule Congo, yeye Slaaanadanganya wasioelewa kuwa hakuna misaada huko!? Jeshi la South Africa, Egypt na Senegal yanaongozwa asilimia 60 misaada kutoka Marekani. Jamani, Watanzania siku hizi wanaelewa sana, tujitahidi kuongea points na si kudanganya watu wasiofikiri kwa kasi na kubeba beba vitu hovyo hovyo!
Ukitumwa na watu uende ughaibuni unatakiwa uongee points za maana na si kujichanganya changanya hovyo kama hivi.
teh teh,mkuu ina maana wewe unaamini hatuwezi endelea bila misaada?
 
Hotuba hii yenye matumaini makubwa ya kurudisha uhai wa tanganyika yetu, imenifanya nisitulie mpaka nihakikishe nimeshawishi watu 500 wajiondoe ccm na kujiunga CHADEMA! Allah amjalie afya njema dr. Slaa!
 
Well done Dr. Slaa, ni hotuba iliyojaa uzalendo na nchi yetu, hotuba iliyojaa hekima, busara na ujasiri

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Well done Dr. Slaa, ni hotuba iliyojaa uzalendo na nchi yetu, hotuba iliyojaa hekima, busara na ujasiri

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hii siyo Hutuba ya kutajana majina kama za yule Rais Dhaifu
 
Uandishi mbovu ajabu, bado sijakutana na mwandishi mzuri wa hotuba...haivutii

Mi nimeshangaa kidogo hapo Dkt aliposema Rwanda is not interested in aid wakati nchi inapokea aid up to 40% its annual budget. Au mimi sijaelewa?
 
Seriously mkuu, nazungumza nikimaanisha kwamba hii hotuba ni ya kawaida kabisa, ukitafuta first year yoyote wa sheria anaweza andika vizuri kuliko jinsi hii hotuba ilivyoandikwa...kama mwenye phd anaandika vibaya hivi, sina haja ya kutafuta hiyo phd...

Utafute ya nini PhD wakati tayari unayo?! Nadhani wewe sasa utafute PhZ.
 
Hivi Dr alienda kuomba kura au kuongea na wanafunzi,

Mambo ya siasa za kwenu yanawahusu nini wamarekani

Ulitaka akatembeze bakuli siyo!
Ndiyo maana watu wengine wanawaponda kuwa munaenda Ulaya kuwa Ombaomba na wengine kubaki kuwa wabeba taka!
Mkuu tumia akili na fikiri nje ya Box-kwa akili yako ulitaka azungumzie nini na unadhani alikwenda Amerika kwa shughuli gani !

Mida mingine ni afadhali mtu akae kimya kuliko kuonyesha ukichwa maji!

 
Huwa naudhika sana nikisikia kila wakati Rais wetu anapokwenda nje ya nchi lazima aombe. Nilisikitika zaidi siku alipokutana na Waziri mkuu wa Jamaica (kama sikukosea jina la nchi), rais alipochelewa kuomba yule waziri mkuu akamuuliza Tanzania mnataka tuwasaidie nini (utadhani alijua ndo kawaida yetu), na bila kusita Rais wetu akamwaga maombi!!!Tuombe pale inapobidi tu na siyo kujenga tabia ya ombaomba - tunahitaji kujitegemea kwa asilimia kubwa zaidi!

Kwa point ya nchi kuomba - Dr. Slaa yupo sahihi, hatuhitaji kuwa hivyo!
 
teh teh,mkuu ina maana wewe unaamini hatuwezi endelea bila misaada?

Wale wote waliondelea walipokuwa stage hii walibebwa. Hapa ninaposema misaada simaanishi nets za mbu! Wapo wengi waliondelea bado wanabebwa. Mfano mzuri wa msaada ni jinsi Germany inavyoibeba Euro kule Ulaya. Ikijitoa tu, wote wake chali! NImekupa mifano mingi sana ya nchia kubwa kubwa za Africa na zingine nje ya Africa ambazo ziko mbali sana kiuchumi bado zinabebwa. Chadema yenyewe inaendeshwa kwa misaada ya wafadhili mbali mbli Duniani ambao wanatoa pesa nyingi sana. Kwanini wanachama wasichangishane ijiendeshe? Au Wanafanya plans gani kuondoa huu utegemezi.

Misaada can take very different forms, uhitaji kupita Ulaya kusema wewe uhitaji kama nchi wakati Duniani nzima inaimba huo wimbo. Hata waliokuwa wanamsikiliza naamini waliboreka na shallow understand yake.
 
Hotuba hii inanikumbusha kitabu kinachoitwa 'Lethal Aid: The Illusion of Socialism and Self-Reliance in Tanzania' by Prof Rugumamu pale UDSM. In a summary Prof. anasema "...Despite massive infusions of financial and technical assistance from the northern hemisphere, Africa is worse off today - economically, societally, and environmentally - than it was 30 years ago. But were economic development, poverty alleviation, and democracy ever actually the objectives of either donor or recipient states in the first place? To what extent was the limitless potential of the self-reliance strategy foreclosed by the corrupting power of foreign aid? As much as military power, propaganda, or diplomacy, "aid" is - realistically and essentially - one of the economic instruments of statecraft and as such, has historically been used as a policy tool for various attempts at influence. While policies and strategies on both sides of the aid process may give primacy of place to development, actual practice almost invariably reveals the opposite, as donor and recipient alike employ aid resources to pursue their respective national, class, or even regime interests. Through the Tanzanian experience of "Big Brother's' helping hand, the author examines the true role of foreign aid in the development process and exposes certain widely-held myths about that role.

Dr. yupo sahihi sana. Tumepewa misaada for 50 years now. We need NO foreign aid. Tuna Human Resource yakutosha lakini inaachwa kuwa unskilled (ama inatengenezwa kuwa hivyo) kwa manufaa ya watu flani. Jipatie copy ya la hii speech na hicho kitabu kitakusidia sana.
 
Misaada can take very different forms, uhitaji kupita Ulaya kusema wewe uhitaji kama nchi wakati Duniani nzima inaimba huo wimbo. Hata waliokuwa wanamsikiliza naamini waliboreka na shallow understand yake.
JK begs too much! He makes us seem as if begging is an indigenous part of our culture
 
Our country rich in resources is being exploited by foreign entities, while our President is busy trotting the world begging for mosquito nets. With our resources, we can make our own mosquito nets without them being donated to us. Chadema party which I represent is poised to changed that, and the most important tool we need is the development of human capital
...pamoja na tofauti zetu ndani ya nchi, SIAMINI kama ni busara kwa kiongozi wa upinzani kumnanga Rais wa Nchi kwa namna hii akiwa nje ya nchi, kwa wenzetu Wamarekeni hili ni kosa kubwa sana, nadhani tunapaswa na sie tuige hili, tupingane kisiasa ndani ya nchi yetu ila tukitoka nje ya mipaka yetu tubaki watu wamoja, Watanzania...
 
...pamoja na tofauti zetu ndani ya nchi, SIAMINI kama ni busara kwa kiongozi wa upinzani kumnanga Rais wa Nchi kwa namna hii akiwa nje ya nchi, kwa wenzetu Wamarekeni hili ni kosa kubwa sana, nadhani tunapaswa na sie tuige hili, tupingane kisiasa ndani ya nchi yetu ila tukitoka nje ya mipaka yetu tubaki watu wamoja, Watanzania...

Mkuu, na vipi hotuba ya Rais kutaja vijembe na maneno ya kwenye kanga kama ile hotuba ya Mwezi uliopita ya JK?????
 
Back
Top Bottom