Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

What an excellent and complete speech? Kudos CHADEMA, bravo Dr. Slaa!
I'm happily a very proud Tanzanian today for a first time in over 20years.
 
I am not here for foreign aid, and CHADEMA party which I represent does not believe on foreign AID. This is my party’s philosophy, and any sane human being would not want to live
off handouts, or going around begging because
foreign aid is only needed as short term relief for
countries coming out of calamities by Dr Slaa

Bila kuomba omba misaada nje tungelala njaa JK endelea kusafiri nje na kuomba by Magufulu.
 
Hataki msaada wakati anachangisha walala hoi kwenye mikutano yake. Amesahau kina lema wanavyo zungusha ndoo za plastic mikutanoni. Na zile hundi alizo chukua kwa yule mzee wa kihindi amesha zisahau. Huu ni unafiki wa hali ya juu kabisa.
Sasa bila kuchangisha wanachama - chama kitaendeshwa vipi? Chama kumchangisha mwanachama wake ni tofauti na nchi kuomba mchango kwa nchi nyingine. Kama huoni tofauti hapo basi tuache tu.
 
Utu uzima dawa. Nimejaribu ktmwena zitto hapo nafasi ya dk slaa nikajiuliza kama angeleta impact itakayokuja baada ya hii ziara
 
Uandishi mbovu ajabu, bado sijakutana na mwandishi mzuri wa hotuba...haivutii

sijui wengine wamekujibu nini for sure watakuwa wamekujibibu more effectively than I'm going to do... ------- zako hii sio tamthilia hatuangalii inavutia kiasi gani.... it's none of our ----ing business... tunaangalia maudhui.

Hatuzungumzii hadithi uwongo njoo utamu kolea... utamu utaukuta ukiwa umekalia kile kitu kigumu kilicho kwenye trousers ya bwana wako .. take care bad and ugly boy!!!!

Take it slowly....it's gonna hurt!!!!!!

Our country rich in resources is being
exploited by foreign entities, while our
President is busy trotting the world
begging for mosquito nets. With our
resources, we can make our own
mosquito nets without them being donated to us. Chadema party which I
represent is poised to changed that, and
the most important tool we need is the
development of human capital
 
hampendi kuambiwa madhaifu yenu mnapenda kusifiwa tuu na kupigiwa makofi ee!!!!!!! slaa si chochote ni mharibifu tu wa ndoa za watu tena majirani zake. mahimbo anajuta kuwa jirani yake kule mbezi alivomwibia mke wake

hzo ni ngonjera ---- wewe jibu hoja sio mipasho ndoa ya doctor inakuhusu nn magamba kwa fitina,
 
Hataki msaada wakati anachangisha walala hoi kwenye mikutano yake. Amesahau kina lema wanavyo zungusha ndoo za plastic mikutanoni. Na zile hundi alizo chukua kwa yule mzee wa kihindi amesha zisahau. Huu ni unafiki wa hali ya juu kabisa.

SOMA KWA MAKINI HOTUBA HII utapata jibu lakujibu maelezo yako
 
Kuna wakati ambao "education" imetiliwa mkazo katika Tanzania zaidi ya wakati huu wa Kikwete? mashule mangapi? vyuo vingapi? waalimu wangapi? vyuo vya ufundi vingapi? bado mnataka kusema tu?

Wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoingia mwaka wa kwanza leo Tanzania ni wengi zaidi ya miaka yote waliyokaa Nyerere, mkapa na mwinyi madarakani kwa ujumla. Bado mnataka kusema tu?

Sisi wengine hatuangalii wala kutazama quantity ya wanafunzi wanaodahiriwa kuingia vyuoni wala idadi ya wanafunzi wanaojiunga na sekondari,bali tunatazama ubora "quality" ya WATAALAMU wanaozalishwa nchini.Ndugu yangu wingi wa shule,vyuo na vyuo vya ufundi si hoja,hoja ni namna watu hawa tuliowapeleka huko wanavyoandaliwa kwa ajili ya kuleta mageuzi chanya katika maisha ya kila siku.. Tukiwa na vyuo vingi halafu tukazalisha watu wasio na ujuzi,wasiojitambua ni sawa na hasara si tu kwa mwanafunzi mwenyewe bali pia kwa TAIFA..
 
Ubora quality ya Wataalaam uliokuwa nao sasa ni mazao ya Nyerere, Mwinyi na Mkapa. Ngoja miaka 10 ijayo utaanza kuyaona mazao ya Wataalaam wa Kikwete.
 
Dr slaa ningemuamini anaweza wasaidia watanzania kama Karatu ingekua uswizi ndogo kipindi akiwa mbunge, lakini, bado umaskini katika jimbo lake upo juu sana, hakuna jambo la ajabu analoweza tufanyia, ni hadithi tu,
 
Sio kwamba huna haja ya kuitafuta Ph.D, ni kwamba uwezo wako ni mdogo sana kiasi ambacho umeshindwa kupata hata hiyo degree ya kwanza!

Hii hotuba si kwamba ni mwiba mchungu kwa buku saba fc tu, bali pia hata mwenyekiti wenu wa magamba hawana uwezo wa kudeliver speech iliyokamilika kama hii.
Mkuu hiyo hotuba nyepesi mno, haijanitingisha, kwa wataalam wa uandishi hiyo ni level ya undergraduates, ila mimi nimekuja gundua jambo moja, ngoja tumuache tu naye dr wenu azunguke zunguke aone dunia maana uzee nao umekaribia, tusijekua tunaharibu pensheni za watu, tembea baba uone mengi usimulie wajukuu zako..
 
Babu anasema yuko "study tour" na mchumba.

Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
"Mnafikiri Afrika ni bara lenye giza, lililojaa njaa, magonjwa, umasikini wa kutupwa na vita zisizoisha, siwalaumu kwa sababu ndio Picha mliojengewa na vyombo vyenu vya habari."
Hii moja nimeiweka moyoni.
 
Back
Top Bottom