Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

Babu hapo umesema uongo wa wazi wazi kabisa; Jionee hapa A-Z Textiles Arusha:



489queen.jpg

Her Highness, The Royal Princess of Belgium, Astrid Sofia (left) with the Managing Director of the A to Z textile mills Anuj Shah (center) and the Arumeru District Commissioner Wawa Lali, when the princess visited the factory this week in her mission to eradicate malaria in Africa. A to Z is the leading manufacturer of long lasting impregnated mosquito nets in the continent.
(photo by Paul Sarwatt)

Hata ma Princess wanakitembelea, babu anadangaya USA.

Uongo kwamba Bush hakutuletea nets tena baada ya hapo ikafanyika sherehe ikulu au Slaa anadanganya nini???huu ndo uwezo wako wa kutafakari au utarudi tena hapa?????
 
They are even exporting to
us their prisoners to work on our
roads yet millions of our young men
have no jobs.


This is a shame to our country.

kweli?? kwani kuna vigezo vipi ambavyo vinamfanya mtu apate ajira ama kujiajiri?? leo hii tunakuwa watu wakujilinganisha na mataifa ambayo yamepiga hatua za kimaendeleo miaka mingi sana huko nyuma. hatuwezi, kamwe kujilinganisha na western countries, maana tangu enzi hizo sisi tulikuwa na tunaendelea kuwa sababu ya wao kuendelea na kuwa matajiri ama kuwa na chumi zilizo imarika mpaka sasa. "they are rich because we are poor".

Tusijaribu kusahau historia, maana ndio inayoleta majibu ya maswali mbali mbali likiwemo ,kwanini nchi yako maskini?
Kujaribu kujilinganisha na hawa watu ni kujenga imani dhaifu na za dhahania kwa wanachi. kama tutaweza kuendelea ama kujaribu kutafuta wa kumgeza kupiga hatua za maendeleo nadhani bara la watu wa asia ni mfano mzuri.
 
On a serious note,Jk amekuwa rais hajawahi hata kuhutubia chuo chochote cha nje,Slaa amefanya hii kuonesha kabisa kwamba jk anajulikana ni kilaza tu huko kwa wenzetu sishangai kuona watu wa bk7 wakiwa wamechanganyikiwa kiasi hiki.So proud of Dr Slaa


Hembu niweke sawa hapa, kule Canada alipoenda pewa ila PhD, hakubahatika hata kuzungumza na kutoa hotuba kwa wanachuo??
 
Basi angesoma data kidogo about economy ya Rwanda na kuilinganisha na Tanzania kabla ya kuwataja as an example. But mi sisemi sana leo.
Wakati UN, US, AU are condemning rwanda and cutting aid yeye anawasifia na anasema wana lead in africa. Dah!
Kagame's authoritarian turn risks Rwanda's future | Stephen Kinzer | World news | theguardian.com
What are you talking about? Not only that you didn't understand Dr. Slaa's speech but also the link you are posting. I've read in the story that Kagame's opponents appreciate almost everything Kagame did for Rwanda except his authoritarian rule. Dr. Slaa cited Rwanda in terms of its economic success and not otherwise
 
I want to know Dr. Slaa's speech writer. This is amazing and stunning........!
 
What are you talking about? Not only that you didn't understand Dr. Slaa's speech but also the link you are posting. I've read in the story that Kagame's opponents appreciate almost everything Kagame did for Rwanda except his authoritarian rule. Dr. Slaa cited Rwanda in terms of its economic success and not otherwise

mkuu ASANTE SANA UMEMMALIZA HUYO JAMAA VIBAYA MNO ! AKIRUDI TENA ITABIDI ACHUNGUZWE .
 
This man is what Tanzania need. Dr. Slaa, we are looking unto you to save this country of crazy people
 
Huyu mutu, kweli mutu anafaa kuwa prezo wa tz. Yuko fit sana kwa kichwa
 
Huyu mutu, kweli mutu anafaa kuwa prezo wa tz. Yuko fit sana kwa kichwa

Hakuna mtu tanzania ambaye anaweza kulinganishwa na Dr.Slaa, au mafisadi wagawe tu hela, wasubiri 2015 waione ngoma ya CDM. Hao mafisadi hawana kitu, hii ndio hotuma ya presidential material. Dr. Slaa is our man come 2015
 
Hembu niweke sawa hapa, kule Canada alipoenda pewa ila PhD, hakubahatika hata kuzungumza na kutoa hotuba kwa wanachuo??

kwanini usituwekee wewe hapa hiyo hotuba yake mkuu ? Ni hivi kuna neno la shukrani halafu kuna HOTUBA , HUYU DR SLAA ALIMWAGA HOTUBA !
 
mkuu, hatukatai kuoa mke zaidi ya mmoja.,.. tatizo hapa ni kutelekeza uliowaoa mwanzo baada ya kupora mke wa mtu.,,pili, kutelekeza familia bila matunzo wala mahitaji mhm esp watoto.....mbaya zaidi mtu mwenyewe ni padre..au kwa kuwa ni muasi ndio huoni madhara yake??

hayo ni madhaifu yake...sasa turudi kwenye hotuba iliyotolewa....
 
Ha! Ha! Haaaa! Ngoja tukutafutie mkuu , ila siyo january makamba .

Usije kuta Dr anaandika mwenyewe hotuba zake au hayo yalitoka kichwani tuu. Jamaa sio wa kawaida, anajiamini na kuamini anachokiamini. Angekuwa Rais nadhani Afrika ingejivunia mmoja wa viongozi bora kupata kuwa nao.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Hotuba ni ya kawaida tu hata hivyo.......kuiponda serikali ya chama tawala ni jambo la kawaida kwa chama chochote kitakachokuwa pinzani...hakuna jambo la ajabu alilolizungumza Dr. Slaa.
Ila namkubali Dr. Slaa.
 
Back
Top Bottom