Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

Dr. Slaa delivers a Stunning speech, challenges Americans!

On a serious note,Jk amekuwa rais hajawahi hata kuhutubia chuo chochote cha nje,Slaa amefanya hii kuonesha kabisa kwamba jk anajulikana ni kilaza tu huko kwa wenzetu sishangai kuona watu wa bk7 wakiwa wamechanganyikiwa kiasi hiki.So proud of Dr Slaa
 
On a serious note,Jk amekuwa rais hajawahi hata kuhutubia chuo chochote cha nje,Slaa amefanya hii kuonesha kabisa kwamba jk anajulikana ni kilaza tu huko kwa wenzetu sishangai kuona watu wa bk7 wakiwa wamechanganyikiwa kiasi hiki.So proud of Dr Slaa


Now, now, now, now.

Hii ni serious allegation.

I am hardly a Kikwete fan. But I respect facts.

JK hajawahi kuhutubia chuo chochote cha nje?

Do you want to qualify this before a few google searches?
 
Kiingereza ni janga la taifa, hata Slaa na speechwriters wake wame bungle lugha hapo kwenye speech.

Sema mengine tunamezea tu kwa maana tushaambiwa sana "si lugha ya taifa".

Sasa kama si lugha ya taifa kwa nini tunaitumia?

Wewe unataka kiingereza chenye mabomba ndo useme ndiyo ung'enge! Lugha ni ile inayoeleweka kwa anayesoma na kusikiliza. Siku zote nia ya mtoa speech ni kueleweka kwa audience. Hii speech haijatumia hata neno moja gumu hivyo mtu mwenye elimu yoyote kuanzia secondary anaweza kusoma na kuelewa. Acha kiingereza-ratino cha sheria unachotaka wewe. Dr. Slaa akiamua kutumia kiingereza-ratino hata wewe hutaambulia maana ninamwamini amesoma vizuri mambo hayo kuliko wengi wetu humu. Toautisha kutoa speech kwenye audience ambayo ni general na audience ambayo ni professional kwenye area fulani. hii speech is for general audience siyo professional audience hivyo simple language is imporatant! Ulitaka aongea kama yuko kwenye Law domain ambako angelazimika kutumia lugha ya kisheria! au kwenye engineering domain angetumia Engineering English!

Pole ila ukweli hii ni hotuba iliyo kwenye kiwango cha hotuba za kipindi cha awamu ya kwanza, wala siyo awamu ya pili,tatu au Nne! Bora hat awamu ya Tatu kidogo!
 
yeye kaenda kuomba msaada mawazo ya kisiasa; na si fedha.
lakin msaada wa kisiasa ni hatar zaid kuliko wa fedha.
NAWASILISHA
 
Watanzania wepi waliomtuma huko alikoenda na mchumba? mbona babu anavunga wanafunzi huko?

Kwa akili yako matope huwezi kujua ni watanzania wepi tuliomtuma huko alikoenda. Najua una gubu na Josephine lakini ndio hivyo tena bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi -utabakwa na vibaka wa mjini!
 
Yes. I appreciate 100% Dr's speech.

Is really scientific and rational. Moreover it is researchable.

All he has said is true;both existing and that which is lacking.
 
Dr Slaa hutaki maboksi ya viatu??!! Kikwete kaomba mpaka vitabu vya shule - sijui how relevant will American books be to our schools?
 
slaa hana jipya.
Tutakuwekea kipengere kimoja baada ya kingine katika hii hotuba soma kwanza hiki hapa chini, ukimaliza sema tukuwekee kingine.

Chadema party believes on the free market economic philosophy in which individual creativity is rewarded. We need your partnership in fostering individual innovation within our people. We don’t need your tax money; neither do we need your mosquito net donations, we need your skills.
 
Just did and found he did an acceptance speech at Guelph Uni in Toronto thanks
Now, now, now, now.

Hii ni serious allegation.

I am hardly a Kikwete fan. But I respect facts.

JK hajawahi kuhutubia chuo chochote cha nje?

Do you want to qualify this before a few google searches?
 
Speech imekwenda shule, big up sana kwa Dr. Slaa, nimefurahi alipo sema ajakwenda huko kwaajili ya kuomba misaada... Huyu ndiye anayefaa kutuongoza siyo yule Matonya aliyefanya ziara zipatazo 355 kwenda kuomba misaada na bado nichi ni masikini hata yeye wenyewe haelewi huo umaskini unatokana na nini..
 
LUMUMBAS>MUWE NA UUNGWA JAPO KIDOGO PALE PANAPOKUWA NA UKWELI KUWEPO UJASIRI WA KUPONGEZANA kwani huu mchezo wa siasa sio mpira wa simba na yangu SIASA NI MCHEZO UNAOHITAJI UMAKINI KWA KWA UNYETI WAKE KWANI NI MAISHA YAKO YA SASA NA YA BAADAE NA VIZAZI VYAKO "LET NOT BE BIASED ON FOCUSING THE TRUE MATTERS"
 
No one can change without any compelling reasons. Changing like chameleons, like most of you do, is very dangerous and may ruin your dreams results to cutting short your life. You need to convince people that they need change before they decide to change. convincing goes hand in had with data and evidences collected at local and global level. Telling me that we are poor and "someone" from the space can make me rich is as nonsense as some who has never been to school at all. Give me a vivid example, of any opposition leader within the sub-saharan countries who swept into power after removing a long standing Government and managed to change people lives at their expectations. Then we start talking sense..........

As as have said earlier let's forget about party politics...let's be objective....to change does not mean to uproot the rulling party and replacing with opposition...i'm talking about changing our mentality...about seeing the future of Tanzania....we can not change this Nation with old and foolish mentality....let's move from pre-matured to matured politics...Let's be real....reawakening of the mind to start believing in practical input and output, accept the reality of life and strive to change for the better.

Mwanjelwa unaposikia neno CHANGE you have to strech your mind a little bit more...I do not intend to make arguments that would indicate a political assault to any political party...we are human and we remain so disregarding where we are. That being the case we need human control mechanisms which gives minimum discretionary powers to leaders and people in general... changing our systems that manage our way of thinking.

Nguvu yetu na Umoja na Uthubutu
Germano Mbelwa
Lushoto Constituent
 
Watanzania wepi waliomtuma huko alikoenda na mchumba? mbona babu anavunga wanafunzi huko?

Black Widow

'''We believe on education to be the only way for Tanzania to rise from the abject poverty it is in today. We have no alternative but train our young people who will in turn, employ their intellectual creativity into full practice to enable Tanzania become an economic giant in a continent long forgotten'''

Wengine wakienda huko wanaomba na kupewa SUTI
 
Nadhani ni bora tukajadili contents za hotuba hii,kuliko kujadili uwezo wa kiingereza wa mtu binafsi,lugha haiongezi chochote kwa maendeleo ya raia wa kawaida isipokuwa inamsaidia mtu kuwasiliana.Hivyo mawazo,maono,mitazamo ndivyo vitu vya msingi kujadiliwa...let's discuss the message found in the speech for in nutshell can help us stepping ahead..
 
Our country rich in resources is being exploited by foreign entities, while our President is busy trotting the world begging for mosquito nets. With our resources, we can make our own mosquito nets without them being donated to us. Chadema party which I represent is poised to changed that, and the most important tool we need is the development of human capital

Babu hapo umesema uongo wa wazi wazi kabisa; Jionee hapa A-Z Textiles Arusha:

... A to Z is the leading manufacturer of long lasting impregnated mosquito nets in the continent.
(photo by Paul Sarwatt)

Hata ma Princess wanakitembelea, babu anadangaya USA.

Dr. kasema tunauwezo wa kutengeneza vyandarua bila kuomba msaada kutoka kwa wafadhili. A-Z ni mradi wa nani?
 
Dr. kasema tunauwezo wa kutengeneza vyandarua bila kuomba msaada kutoka kwa wafadhili. A-Z ni mradi wa nani?

Kwani sasa hivi wanatufanyia wafadhili? wewe punguani au vipi? hicho kiwanda kinatengeza nini? nyavu za kuvulia samaki? hapahapa Tanzania. Kama kuna mtu anataka kwenda kufanya vyandarua akafanye. Wewe na yeye mmeshafanya vingapi?
 
Mbona ,magamba humdiscuss hoja mnadiscuss mtu?
 
Black Widow

'''We believe on education to be the only way for Tanzania to rise from the abject poverty it is in today. We have no alternative but train our young people who will in turn, employ their intellectual creativity into full practice to enable Tanzania become an economic giant in a continent long forgotten'''

Wengine wakienda huko wanaomba na kupewa SUTI

Kuna wakati ambao "education" imetiliwa mkazo katika Tanzania zaidi ya wakati huu wa Kikwete? mashule mangapi? vyuo vingapi? waalimu wangapi? vyuo vya ufundi vingapi? bado mnataka kusema tu?

Wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoingia mwaka wa kwanza leo Tanzania ni wengi zaidi ya miaka yote waliyokaa Nyerere, mkapa na mwinyi madarakani kwa ujumla. Bado mnataka kusema tu?
 
Back
Top Bottom