Dr. Slaa: Daftari la wapiga kura liboreshwe kabla ya kura ya maoni!

kama watashindwa kuboresha hilo daftari basi waruhusu mtu yeyote mwenye umri wa miaka 18 apige kura bila kujali amejiandikisha au la
 
Tanzania ni nchi inayosifika kwa Amani, Lakin inaminya Demokrasi, vijana waliofikisha umri wa kupiga kura ni zaidi ya Milion 12.5
Uwoga wa CCM ni kuwa Vijana watataka Mabafiliko na Mabadiliko hayo yako Chadema Pekee.

attachment.php
 
vijana kama hawalazima wawemo kwenye register
 
Kwa kweli bila kuboresha daftari la wapiga kura kisiendelee chochote ... maana huu upumbavu haukubaliki kokote .... kwa sasa naomba makamanda wote wa chadema na wapinzani wote hii iwe ndo agenda kuu kwenye mikutano yao yote ... Dr Slaa fanya hii kuwa agenda yako kokote unakokwenda ikibidi na wabunge waungane na wewe kwenye mikutano yako kutilia mkazo ...
 
@.tofyo mbona unakurupuka kumshambulia Kamanda Slaa??
Kwani alivyosema si kweli, daftari liliboreshwa lini??
Hutaki vijana wapige kura, mbona akili zako zimelala??
 
Dr.Slaa anatoa vitisho kwa Chadema haitashiriki kura ya maoni ya katiba mpaka daftari la wapiga kura litakapokuwa limeboreshwa, NEC wamesema wanajiandaa kuboresha daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu.
Mkuu wewe maoni yako ni yepi kuhusu kuboresha daftari kabla ya kura ya maoni ya katiba mpya.
 
Bwana Ritz sijui hiyo dhambi ya kumchukia Dr Slaa utaipeleka wapi?
kwa kuwa hakuna mtu asiyependa kuona kila mtanzania mwenye umri wa kupiga kura anatakiwa kupiga kura. Jaribu kutumia busara unapojadili mambo, usiwe na chuki kupita kiasi hata kwa mambo ya msingi kama hayo. Kama mtanzania sijui unaona ubaya gani kujadili mambo yanayopelekea nchi yetu kupata maendeleo.

Hakuna kitu kibaya kama kumwandama binadamu mwenzako tena ukijua kuwa mambo anayoyadai ni ya msingi kwako na kwa ukoo wako pia. Acha ushabiki usiokuwa na maana hata kama unanufaika na CCM lakini watanzania wengi tunateseka na sera mbovu.

Mimi kama mtanzania siichukii CCM hata kidogo ila nachukia matendo yake hasa ya kifisadi na matumizi mabaya ya rasilimali.

Jamani watanzania tutakuwa ombaomba hadi lini? Ritz acha kurubuni watanzania wasiojua ukweli kwa propaganda za Kchama. jaribu kukemea mambo yasio mazuri hata kama yanafanywa na nduguyo.
Acha hiyo mambo jamaa bana sio poa.
 
Kamanda, wapi nimechukiwa Dr.Slaa hizo ni fikra zako tu.
 
Back
Top Bottom