- Lakini hana kadi ya Chadema, the ishu hapa ni Dr. Slaa mpaka leo kwa nini hajakanusha au kukubali kwamba anailipia kadi yake ya CCM?
le mutuz
- Lakini hana kadi ya Chadema, the ishu hapa ni Dr. Slaa mpaka leo kwa nini hajakanusha au kukubali kwamba anailipia kadi yake ya CCM?
le mutuz
Mzee kwanza shikamoo , pamoja na umri kukutupa mkono nakuusia kwamba hutaweza kushinda hii vita kwenye social Network , Mdogo wako Freeman Mbowe kutangaza kutogombea urais 2015 hakukuogopa wewe Le Mutuz , kwanza hata sidhani kama anakufahamu , ungekuwa unafahamika basi bila shaka ungeiokoa familia yako na aibu za kisiasa inazozipata .
Achana nao,Dr.SLAA anafaa kuwa MBUNGE na sivinginevyo ! Arudi mjengoni kuwasha moto kama TUNDU LISSU,CCM itaendelea kutoa MARAIS wenye UZALENDO na HEKIMA za KIUNGOZI...Hadi Upinzani upate VITI vya WABUNGE 150 ndipo RAIS atatoka kwenye UPINZANI
......
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.
- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?
LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA. at williammalecela.blogspot.com
........
Mkuu;
- Sijawahi kujibu Comment yako ingawa hio sio ishu na sio lazima kwako na wala kwangu.Ila nimekuwa nikiona kujibishana na mtu kama wewe ni upotezaji wa mda tu.Kuna wakati hua naona kama wewe ni mtu aliye kichaa,sasa kujibishana na wewe ni ukichaa wangu zaidi na sio wako.Kwa maana hiyo nakubali kuwa kichaa kwa mda naandika post hii ili kuweza kuonesha "How a silly gay you are"
- Ilihali una uelewa tosha wa katiba yenu (CCM) unashabikia jambo lisilo na mashiko kwa kudhani kwamba unaiandama CDM.Dr Mwenyewe yuko smart ndio maana anawapuuza."Dawa ya Mpuuzi ni kumpuuza"
- Kwa umri wako na matarajio ya watanzania wengi walitarajia kuona mtu mwenye exposure ya mazingira ya nje ya Tanzania anayeweza walau kuleta changamoto za kimaendeleo katika sekta mbalimbali(Hata hio ya Ubaharia uliyonayo) lakini imekua tofauti kabisa,tunapata MaLusinde wengine.Gentleman,I believe you may be better than this.Mbona Mchambuzi yuko CCM na yuko smart na anaheshimika ,hata hoja zake zina mashiko....Huo ukoo wenu wa MaLusinde mmelogwa.? Si ajabu mzee John malecela kubadili jina kuwa Jumanne kuupata urais ambao umekua ndoto
- Kuna changamoto nyingi zinazohitaji mjadala wa kitaifa ili taifa livuke salama kwenda katika maendeleo chanya,tunahitaji vijana na wazee kama wewe wawe focused kuonesha dira ya tunakwenda wapi? Mjadala wa kadi sio ishu ya maana hata.Labda kwa Ma CCM kwa sababu mna akili za maiti.
- Hata kama ni propaganda chagueni zile zenye mashiko.........
Naam ,na ukichaa wangu uishie hapa baada ya kuweka nukta hii.
........
- The point ni wakati sasa ni muafaka kwa Slaa kujibu kama analipia au halipii kadi yake ya CCM, hayo mengine mengi hapa sio pahala pake if you dont mind!!
le mutuz
.......
Watu wengi wanaona unaongea ujinga kwa sababu unapindisha ukweli kwa makusudi ndio maana wengine wameenda kufukua hadi ulikosoma Kwiro kujikumbusha ulikuwa na IQ ya kiwango gani na kama ulifeli ukapata Zero, je kwa sasa akili yako inauwezo wa kupambanua mambo.- Ok the ishu bado inasimama pale plale kwamba mmewafukuza mamluki watoto wadogo sana wasio na uwezo wa kujitetea, kwa kosa lile lile kama alilo nalo Slaa la kuw amamluki, I mean ukishakuwa na kadi mbili mna zote unazilipia ukweli ni kwamba wewe ni mamluki, sasa mbona Slaa mmemuacha ndio inatia wasi wasi sana na uwezo wenu wa kusimamia katiba people!!
le mutuz
.........
CCM mumchukueni mwanachama wenu ,kwani mumekatazwa- Absolutely nothing to do na the ishu, Slaa na Chadema wanahitaji kukanusha kwamba Slaa halipii kadi yake ya CCM aliyokubali kuwa nayo!
le mutuz
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.
- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?
Hakuna mambo mengine ya kujenga Taifa hili!! Kadi Kadi Kadi, haya makadi ya CCM si kila mmoja alikuwa analazimishwa kuchukua miaka nyuma! Ishu sio kuwa na kadi, je imani yako ipo upande upi!! Kulinda rasimali za Taifa ama kuwa upande wa Chukua Chako Mapemaaaaa. Tafuta wimbo mwingine huu ni silipendwa Kaka
- CUF na CCM wanatawala pamoja kule Zanzibar, kwa hiyo ni sawa sana kwa Lipumba kuw ana kadi ya CCM, lakini Slaa kuwa na kadi ya CCM na anailipia kila mwezi, na huku majuzi mmewafukuza dagaa kwamba ni Mamluki, inatia shaka sana na uwezo wenu wa kuheshimu na kuzingatia Sheria au katiba!!
- Kama hamuwezi kuzingatia Katiba ya Chama chenu itakuwa Katiba ya Jamhuri, mtatupeleka pabaya sana jamani!!
Le Mutuz

yaani ccm ni wajinga kweli
siasa zao zinaelekea kwa dr slaa
wanaona wakishambulia dr slaa ndio wanakuwa mashujaa this is big no mzee na ccm wote
mzee you have proved failure
- Ndio tatizo letu kubwa Africans, huwa tunadharau sana mambo flani na kuyaita madogo ukweli ni kwamba record inajiweka wazi hapa kwamba Slaa akipewa Uongozi wa Jamhuri atakuwa ni Kiongozi wa namna gani na Chadema pia mkipewa uongozi wa Jamhuri mtakuwa ni watawala wa namna gani, mtakuwa mnaoena wadogo tu na kuwaacha wakubwa kwa visingizio kwamba ni mambo madogo!!
- Katibu Mkuu mzima wa Chama cha Ukombozi, amegombea mpaka Urais na bado anataka kugombea tena leo anakutwa na kadi ya CCM, mnajaribu kila njia kumtetea je akiwa Rais itakuwaje?
Kwenye hili Chadema mnatungusha sana Taifa hili, kama Slaa ana kadi ya CCM na anailipia basi hafai kuwa kiongozi wa Taifa huko Chadema wala Jamhuri na inaleta maswali magumu sana kama kweli mpo serious na kushika Taifa!!
le mutuz