Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Hili jamaa mimi huwa nalidharau sana. Akili ya kushikiwa kabisa, we mtu uliyeshindwa hata kupata alama D tatu kwenye mtihani wa kidato cha nne ndo upange mipango ya kumdondosha Dr Slaa. Hiyo ni akili ya fisi kufuatilia mkono wa mlevi kwamba huenda mkono ukadondoka. This is Shit...
Habari ya kadi imeisha expire, kama ilivyo expire ya wewe kumtukana Kikwete kwenye mtandao wa Ze Utamu
.......
Jamaa ana miaka 54, kabakisha miaka 6 tu kustaafu kwa lazima na mwaka mmoja kustaafu kwa hiari...Shikamoo Mzee @ W.J.Malecela.Wewe ni mtu mzima sana unaweza kunizaa.Lakini namhurumia sana Mzee John Malecela kwa kuzaa kituko wa aina yako.
C.c SEBM
.......
Kama Slaa yuko chadema na anakadi ya CCM, mfukuzeni uanachama wa CCM ili akome! very simple
........
Ni kweli Dr. Slaa anayo kadi ya ccm na anaendelea kuilipia.
Sasa unaweza kurudi kwiro kufuta ile zero uliyopata!
........
- Nah sitaki kuamini kwamba huko Chadema mna maumivu ya kukosa uongozi wa Taifa au?
le mutuz
Ndo maana huyu bwana "alipigwa chini" kwenye kila chaguzi alojaribu.Mimi huwa simuelewi kabisa huyu Will malecela kwani ukimuangalia ni baba mtu mzima kabisa wa miaka kuanzia hata 50 kuendelea ambaye hata wazee wenzake kama Jaji warioba wametulia lakin yeye hajali kitu mawazo ya kitoto kabisa sasa sijui wajukuu zake watarithishwa hekima gani.
- And then lets get back to the ishu, vipi kwa nini Slaa mpaka leo hajakanusha kwamba anailipia kadi ya CCM mna majuzi mbona mmewatimua watoto wadogo kwa dhana ya kuwa Mamluki wa CCM, au Slaa ni untouchable?
le Mutuz
Sasa nyie mnapokeaje mchango wa mtu ambaye sio mwanachama wenu kwa mujibu wa katiba yenu. Kajiunga na chama kingine uanachama wake umekoma, kuendelea kupokea mchango wake ni wizi mtupu. mmeiba EPA, Kagoda, Kiwira, Meremeta, Richmond, Dowans, Baba ako alichukua KIANZIO kwa Baba yake Nape Jeetu Patel za kutaka uraisi alipokosa hakurudisha chenji,,,, Na sasa mnaiba hela za Dr Slaa kwa kupokea michango yake wakati sio mwanachama wenu- and then lets get back to the ishu, Slaa ana kadi ya CCM na a nailipia sasa kwa nini hamjamfukuza mmefukuza watoto wadogo?
le mutuz
Jamaa ana miaka 54, kabakisha miaka 6 tu kustaafu kwa lazima na mwaka mmoja kustaafu kwa hiari...
Huyu akipewa madaraka atang'ang'ania kama Baba yake. Anaona ni heri aendelee kukomaa hapa bongo huenda akapata ajira ya bure kwenye siasa kuliko kurudi NYC akaendelee na kazi ya KUZIMA MOTO. Watu tulishukuru Mungu ulivyonusurika kufa na wazima moto wenzio at 9/11 lakini hauna shukrani.
........
Ndo maana huyu bwana "alipigwa chini" kwenye kila chaguzi alojaribu.
.......
huyu jamaa naona anafurahia matusi anayopewa hapa kila siku, kiasi kwamba akilala anawaza kuwahi kuamka akatukanwe JF.
Sasa nyie mnapokeaje mchango wa mtu ambaye sio mwanachama wenu kwa mujibu wa katiba yenu. Kajiunga na chama kingine uanachama wake umekoma, kuendelea kupokea mchango wake ni wizi mtupu. mmeiba EPA, Kagoda, Kiwira, Meremeta, Richmond, Dowans, Baba ako alichukua KIANZIO kwa Baba yake Nape Jeetu Patel za kutaka uraisi alipokosa hakurudisha chenji,,,, Na sasa mnaiba hela za Dr Slaa kwa kupokea michango yake wakati sio mwanachama wenu
Mi ningewaona mna point kwa kuthibitisha usaliti wa Dr Slaa kwa kutuonyesha picha za Dr akiwa na Wassira, au amelala nyumbani kwa Mwigulu Nchemba , hapo ndio tutasema Dr Slaa ni msaliti. Mnachofanya CCM ni sawa na mtu anatembea na mkeo halafu unajisifu kwamba huyo anayetembea na mkeo anaisaliti ndoa yake, unamshawishi mke wa huyo jamaa amuache huyo mumewe anayetembea na mkeo badala ya wewe kumuacha mkeo au kumkataza jamaa kutembea na mkeo. Sasa jamaa kukukomesha anaendelea kumkong'oli mkeo hadi nyumbani kwako. Ndicho anachofanya W.P. Slaa(PhD), anawakong'oli CCM, anakomba wanachama wenu, anafungua matawi ya CDM kila pembe ya nchi huku kadi ya CCM kaiweka kwenye maktaba yake ya Makumbusho. Dr Slaa is genius, haha haaa- And then lets get back to the ishu, vipi kwa nini Slaa mpaka leo hajakanusha kwamba anailipia kadi ya CCM mna majuzi mbona mmewatimua watoto wadogo kwa dhana ya kuwa Mamluki wa CCM, au Slaa ni untouchable?
le Mutuz
Mtasubiri sana.- The point ni wakati sasa ni muafaka kwa Slaa kujibu kama analipia au halipii kadi yake ya CCM, hayo mengine mengi hapa sio pahala pake if you dont mind!!
le mutuz
Ni kweli Dr. Slaa anayo kadi ya ccm na anaendelea kuilipia.
Sasa unaweza kurudi huko Kwiro