Mkuu mbona umemkomalia sana Dk.Slaa amekufanya nini? au kosa lake ni kutumia haki yake ya kidemokrasia ambayo wengine pia wanaitumia including wewe. maana nimeona umemuanzishia mpka thread watu wasimuangalie ila wakamsome Mange Kimambi akimtukana sheikh wa watu. Angalia chuki zako zisije kukutawala mpaka zikaathiri upeo wako mkubwa wa kufikiri.No effect
Kazeeka kuliko kamanda lowasa?Slaa keshazeeka huyo, hana nafasi tena huko mbeleni
Acha uwongo na chuki zako binafsi,alichosema nikwamba yy km binadamu hapendezwi na kilichotokea kwa lisu.nilikua namuheshimu sana ila alipotetea kuhusu lissu kupigwa risasi yaan anaunga mkono kupigwa risasi mh lissu,huyo anachuki na cdm over
Kiukweli kabisa mie niliachana na siasa za upinzani kwa namna uhuni viongozi wa chadema walivyotufanyia!Dah huyu mzee si mchezo aisee!
Ki uhalisia,hawa watu,type ya magufuri,siyo wa kuwapa nchi,maisha yataendelea kuwa magumu,wao wanajikita kwenye economic growth badala ya economic development. mwanzoni niliona category ya watu hawa ni wazuri,ila nimegundua ni hatari kwa maisha ya raia mnyonge,refer mpango wa VAT,,miamala imepanda sana,saiv ili utoe elf 10, unatakiwa uwe na 11500, maana yake ni zaidi ya kodi ya kichwa,,siwatamani type ya viongozi kama hawa
usipo msikiliza ww wengine watamsikilizaSi Alimegewa mkate wake kisha akakimbia Canada. Leo ana kipi kizuri cha kutueleza mpk tumsikilize
Leo tarehe 06/02/2018, Dr. Wilbroad Slaa anaongea na Clous Tv, hakika namwelewa sana huyu mzee.
Kuna kitu kimoja amesema huyu mzee kuwa aliwahi sema kuwa aliamua kuacha siasa za vyama vingi ambazo ni siasa za uvuguvugu. Hivyo yeye hajawahi tangaza kuacha siasa.
Anakili kuwa yeye kwake siasa ni maisha hivyo kumwambia ameacha siasa ni sawa na kusema aachane na maisha. Kimsingi anadai kuwa siasa ni maji, siasa ni elimu, siasa ni chakula, siasa ni biashara na kila kitu unachofanya.
Kwa kauli yake ya kuwa ANAACHANA NA SIASA ZA VYAMA VINGI (opposition parties) kwangu naichukulia hii kauli kama ni kauli ya kuomba CCM, wapime kwa namna yeyote kama anafaa kuwa mtu mhimu kuongoza chama na nchi kwa huko mbeleni.
Kusema kweli upo uwezekano kama yeye binafsi atapenda kujijenga katika CCM, msije shangaa siku moja akawa rais wa jamhuri kupitia CCM.
Hii ndoto yangu ipo wenda ikaja timia na kila mtu atabaki mdomo wazi.
Wenye mtazamo wenu, naomba mawazo yenu.
nilikua namuheshimu sana ila alipotetea kuhusu lissu kupigwa risasi yaan anaunga mkono kupigwa risasi mh lissu,huyo anachuki na cdm over
Haya misukule wa luwasa ni shda sna.wameacha mikakati ya sera zao na dira wamebakia kwnye mipasho ya mange.chadema imekufa natural death.naumia sna kwahatua iliyofikia chademausipo msikiliza ww wengine watamsikiliza