Dr. Slaa(Balozi): Siendi kutekeleza Sera ya CCM bali Sera ya Taifa. Aongelea sakata zima la Lowassa kuingizwa CHADEMA

Dr Slaa amesema hajawahi kumpa pole Tundu Lissu kufuatia shambulizi la risasi lililomkuta kwa sababu pole " hailazimishwi" na kwamba hata yeye alipopata ajali ya kuanguka bafuni na kuvunjika mkono si kila mtu alimpa pole. Dr aliyasema hayo kupitia kipindi cha majadiliano cha 360 kinachorushwa na luninga ya Clouds. Source gazeti la Mtanzania!
 
haha haaa.. watu wanaanguka nje, yeye anaanguka bafuni!? alishindwa kuvua modo ili akwch kwich hoo tae.!
 
Dr Slaa amesema hajawahi kumpa pole Tundu Lissu kufuatia shambulizi la risasi lililomkuta kwa sababu pole " hailazimishwi" na kwamba hata yeye alipopata ajali ya kuanguka bafuni na kuvunjika mkono si kila mtu alimpa pole. Dr aliyasema hayo kupitia kipindi cha majadiliano cha 360 kinachorushwa na luninga ya Clouds. Source gazeti la Mtanzania!
pole, jamaa wameunga!
 
Mbona hamna cha maana alichoongea? Waliomnunua ndio lazima wa-dictate nini aongee na sio yeye aamue.

After all, Slaa is a "Spent Force", therefore, only those with nothing significant to do will take notice of what he's saying. He has completely lost the magic he once possessed.

His decision to be bought by ccm so as to abandon the opposition at the critical moment has terribly marred his reputation apparently beyond repair and whatever he might say will do nothing to make the amends for he has a price tag with him.
 
Katika mahojiano kati dr slaa na cloud tv kuna maswali ya msingi walishindwa kumuuliza ili kuondoa dukuduku zetu. Wanahabari wetu mnatia aibu sana. Mfano:

Nani aliandaa tangazo la kuachana na siasa za vyama pale serena hotel na kurushwa live na tv mbalimbali.

Nani alimuandalia safari ya kwenda kuishi nje ya nchi, Canada, na gharama za kuishi huko zilikuwa zikilipwa na nani, pesa yake? kaipata wapi nk.

Kwanini hakufunga ndoa na mzazi mwenzie wa kwanza.

Mtoto wa kwanza alipatikana kabla au baada ya kuacha upadre?

Watu wanaosema jpm ni dikteta. nini maoni yake?

Mi sio mwanahabari ila wanahabari wetu kwa mahojiano ni sifuri kabisa ukiondoa wachache kama Carles Hillary, Paskali na Dotto Burendu
 
Katika mahojiano kati dr slaa na cloud tv kuna maswali ya msingi walishindwa kumuuliza ili kuondoa dukuduku zetu. Wanahabari wetu mnatia aibu sana. Mfano:

Nani aliandaa tangazo la kuachana na siasa za vyama pale serena hotel na kurushwa live na tv mbalimbali.

Nani alimuandalia safari ya kwenda kuishi nje ya nchi, Canada, na gharama za kuishi huko zilikuwa zikilipwa na nani, pesa yake? kaipata wapi nk.

Kwanini hakufunga ndoa na mzazi mwenzie wa kwanza.

Mtoto wa kwanza alipatikana kabla au baada ya kuacha upadre?

Watu wanaosema jpm ni dikteta. nini maoni yake?

Mi sio mwanahabari ila wanahabari wetu kwa mahojiano ni sifuri kabisa ukiondoa wachache kama Carles Hillary na Dotto Burendu
clouds unadhani kuna brain, ni porojo tuziko pale! vijiwe vya kahawa.
 
Back
Top Bottom