kuwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 817
- 428
Kachuja mbaya, keshapotea babu, looh hana points, Eddo Si yupo Kama ni fisadi mbona wanamgwaya, tatizo ni system na keshajiunga hachomoi.Mkuu mbona umemkomalia sana Dk.Slaa amekufanya nini? au kosa lake ni kutumia haki yake ya kidemokrasia ambayo wengine pia wanaitumia including wewe. maana nimeona umemuanzishia mpka thread watu wasimuangalie ila wakamsome Mange Kimambi akimtukana sheikh wa watu. Angalia chuki zako zisije kukutawala mpaka zikaathiri upeo wako mkubwa wa kufikiri.