Kwa mujibu wa Star tv kuwa Dr. Slaa amewambia badala ya kujadili mambo ya kitaifa kama wizi wa nyara za serikali kama wizi wa tembo watanzania wanajaditi kadi, badala ya kujadili kwa nini watu wanalala njaa watu wanajadili kadi, watu wanauwawa na polisi watu wanajadili kadi.
Dr. Slaa kawauliza hivi hao wanaotoa matamko mmewachunguza na kuwajua ni kina nani??
Ukiwatazama watu hao ni mbumbumbu wa sheria na hawajui wanachokifanya na tunapoteza taifa kwa mambo ya kipuuzi tunaacha kujadili mambo ya kitaifa na mafisadi wanatumia mwanya huo kuiba zaidi raslimali za taifa
nape aje atuambie nani ananunua nguzo za iringa na kuiuzia tanesko na katoa afrika kusini.
aje atuambie nani alipeleka pembe za ndovu china
aje atuambie rv feki zimeishia wapi.
atuambie kwa nini rais anajenga mahoteli mbugani.
atuambie kwa nini mke wa rais atembee na misafara ya magari ya serikali.
aje atuambie nani anamiliki lakeoil.
aje atuambie mabilioni ya uswis ni ya kina nani.
aje atuambie kwa nini umeme unakatika wakati waziri wa serikali anayodai kuisimamia aliutangazia umma kuwa hilo litakuwa ndoto.
aje atuambie kampuni inayofanya kazi kwa mkopo na tanapa ni ya nani.
aje atuambie mabilioni yaliyochangishwa na mama anna mkapa chini ya mwavuli wa wamma yako wapi/
aje atuambie mashine za kufulia za mount meru hospital ziko wapi.
aje atuambie siku 90 za magamba bado hazijafika/
aje atuambie wale mafisadi wa jengo la uvccm waliishia wapi?
aje aje atuambiepolisi wanaoua raia kila kukicha wapo chini ya chama kinachoongozwa na serikali ya chama gani na ni hatua gani zimechukuliwa?
Huyu Dr. Slaa ni ndumilakuwili; CCM anataka na CDM anatamani
then! akanushe asikanushe inakusaidia nini. Haya ni Mwanachama wa CCM what next?. Katiba ya Chama chenu inasemaje kuhusu uanachama.Ritz sometime una ongozwa na ushabiki tu. haukufikishi popote watanzania tunalostishwa na wachache fikiria una shemeji zako kutoka ukweni wao sio sehemu ya raha zako unazochuma kutoka Ufisadini. wanateseka, hawapati tiba hospitalini, shuleni hawakuti walimu na wakiwakuta wapo kwenye mgomo. fikiria mara mbili mbili ndo ujitutumue kuja kutetea flani wa chama falni anamiliki kadi ya chama flani.Nimejaribu kuangalia wapi Dr Slaa kakanusha sijaona.
Nimejaribu kuangalia wapi Dr Slaa kakanusha sijaona.
wewe si ulisema una receipt za malipo ya ada ya kadi ya dr slaa,sasa uharo gani unauliza si umwage hapa hizo receipt hapa kamanda wa Lumumba.Nape bwana kwa mbwembwe hujambo,,Nape Moses Mnauye A.K.A 'RITZ'Hongera mkuu kwa fiksi..
nilijua zipo kumbe kutumika kunawasumbua hoja hazijajibiwa hajakanusha kua halipii hiyo kadi kwani tayari alishakiri.sasa kelele mingi za nini inawezekana wewe kutumiwa kwako ndo kunakufanya unakua kilaza.Wameumbuka sana.Sasa yule kijana aliyejinadi kuwa ana digrii ya sheria sijui atakuwa katika hali gani.Tusikubali kutoka kwenye mstari.Hoja ni mabadiliko tu
nape aje atuambie nani ananunua nguzo za iringa na kuiuzia tanesko na katoa afrika kusini.
aje atuambie nani alipeleka pembe za ndovu china
aje atuambie rv feki zimeishia wapi.
atuambie kwa nini rais anajenga mahoteli mbugani.
atuambie kwa nini mke wa rais atembee na misafara ya magari ya serikali.
aje atuambie nani anamiliki lakeoil.
aje atuambie mabilioni ya uswis ni ya kina nani.
aje atuambie kwa nini umeme unakatika wakati waziri wa serikali anayodai kuisimamia aliutangazia umma kuwa hilo litakuwa ndoto.
aje atuambie kampuni inayofanya kazi kwa mkopo na tanapa ni ya nani.
aje atuambie mabilioni yaliyochangishwa na mama anna mkapa chini ya mwavuli wa wamma yako wapi/
aje atuambie mashine za kufulia za mount meru hospital ziko wapi.
aje atuambie siku 90 za magamba bado hazijafika/
aje atuambie wale mafisadi wa jengo la uvccm waliishia wapi?
aje aje atuambiepolisi wanaoua raia kila kukicha wapo chini ya chama kinachoongozwa na serikali ya chama gani na ni hatua gani zimechukuliwa?
Mkuu chama,
Mtu kama huyo kumjibu kwa mistari minne ni kupoteza muda. Nimeishamwambia endelee kutumika tu lakini hana thamani yeyote ndani ya Chadema, wakati mwingine mpaka wenyewe wanamshangaa Mohamed na Chadema wapi na wapi.
Mwambie ajaribu kugombea cheo chochote Bavicha ndiyo ataijua Chadema.
Huyo jamaa ndani ya Chadema ni njiwa kwenye kundi la kunguru. Akili ya kawaida tu unadhani wakiwa wagombea wawili Mohamedi Mtoi, na Masawe, nani atapigiwa kura na Pro-Chadema.