- Finally, tunaona vijana wenye gutts wanaanza kujitokeza kuliko tunaojiita Great Thinkers, kazi kutetea mediocre, unaona huyo mwanaume amejitokeza tena bila kuogopa kwamba Slaa kuwa na kadi ya CCM ni out of the line, inamuondolea Moral Authority ya kuongoza Mapinduzi au chama cha Wakombozi!
- Ni hoja ambayo haiendi kokote pamoja na matusi mengi sana tena ya kizamani, ukweli ni kwamba Slaa arudishe kadi yake ya CCM publicly kama alivyotangaza kuwa anayo!
Es!
sasa tumefika kutaka kumchokoza Dr, Hamtamuweza huyo. Nape akili ndogo, atajiumbua- facts:- mh. Nape kasema slaa ana kadi ya ccm, slaa amejibu ni kweli, nape amesema slaa anailipia kadi yake all the times, slaa hajajibu so anasubiriwa ajibu akikataa aonyeshwe risiti zake ambazo amekuwa kilipia kadi yake ya ccm!!
Es!
Kila mtu anajua kuwa kabla Dr. Slaa hajajiunga na CHEDEMA alikuwa mwanachama wa CCM akiwa na kadi, sasa cha ajabu hapa ni nini? ni kitu gani kinampotezea "moral authority"? CCM wenyewe wanajua kabisa kwamba Dr. Slaa sio mwanachama wao tena! hata wewe pamoja na akili yako kuwa ndogo bado unajua kwamba Dr Slaa sio mwanachama wa CCM!
Mimi ni mgeni humu jamvini, lakini naomba wanaJF mniruhusu nichangie kidogo huu uzi kama ifuatavyo-
Ndugu Edo Mwamalala, napenda nikuulize swali dogo tu, mtu kumiliki kadi ya ccm ndio indicator ya kupima kuwa ni mamluki wa CCM? Matendo ayafanyayo mtu katika kukiendeleza na kukiimaisha chama ndio kiwe kipimo. Kumbuka kuwa majority ya wanachama wa vyama vya upinzani wametokea chama tawala na hivyo kuna uwezekano mkubwa wengi wao, MIMI nikiwa mmoja wao bado tunazokadi za ccm. Lakini ni wanachama wafu. Huenda hata wewe bado una kadi za chama cha kijani kama vile kadi ya umoja wa vijana nk. Mimi kwa upande wangu hata sikumbuki niliihifadhi wapi hiyo kadi ya kijani na huenda imeshaliwa na panya au mende! Ila kadi yangu ya chama kitukufu cha sasa(CHADEMA) ndio iko kwenye waleti yangu na ndio ninailipia ada za uanachama. Hata huyo mpuuzi Nape anamilki kadi ya CCJ na kadi ya ccm, hivyo apuuzwe. Mamluki wa CCM ndani ya CHADEMA utawagundua kwa matendo yao ya kujipendekeza kwa JK na CCM kama wafanyavyo ZITTO na SHIBUDA. Dr Slaa amefanya mengi katika kuimarisha CHADEMA. Kwa sasa CDM imefungua kata, matawi na mashina mengi sehemu mbalimbali nchini tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma. Maendeleo hayo yanawapata kiwewe magamba ndio sababu kila kukicha hawaishi kumtafutia kashfa Dr. Slaa. Lakini wameshachelewa kwani current more than 55% ya Watanzania wameshatambua kuwa CCM ni pumba na CHADEMA ni mchele. 2015 Kura za Urais, Ubunge, Udiwani ni kwa CHADEMA. Mwisho kabisa naomba WANACHADEMA makini tusiyumbishwe na magamba akiwemo NAPE. Dr. Slaa anawanyima usingizi hawa magamba, usiku kucha hawalali bali nikumuwaza Dr. wetu wa ukweli. Big up sana Dr. Slaa na WANACHADEMA!!!
- Kweli siko la kufa haliwezi kusikia dawa!!
Es!
Naona DUDE anache-chemea taratiiiibu. Sisi kazi yetu ni kukuchana tu, NO EXCUSE
mkuu ... kwa heshima unaonaje ukarudi tuu huko ulikokuwa US ukaendelea kuendesha malori ....
- facts:- mh. Nape kasema slaa ana kadi ya ccm, slaa amejibu ni kweli, nape amesema slaa anailipia kadi yake all the times, slaa hajajibu so anasubiriwa ajibu akikataa aonyeshwe risiti zake ambazo amekuwa kilipia kadi yake ya ccm!!
Es!
- HA1 HA! HA! WHY NINAKUTESA SANA HAPA NINI? HA! HA! HA! HA!, MTAMBO WA KUREKEBISHA SIASA!!
eS!
- facts:- mh. Nape kasema slaa ana kadi ya ccm, slaa amejibu ni kweli, nape amesema slaa anailipia kadi yake all the times, slaa hajajibu so anasubiriwa ajibu akikataa aonyeshwe risiti zake ambazo amekuwa kilipia kadi yake ya ccm!!
Es!
ESTER UMEMALIZA YOTE, WATANZANIA TUNAMWAMINI NA TUNAMHITAJI DR. WA UKWELI W. P. SLAA. VIVA CDM
nadhani leo mtamuelewa vizuri sana tuntemeke.
slaa ni mamluki ndo maana haishi kuibua migogoro chadema.
hatetewi huyo ushahidi upo mpaka wa risiti kinachosubiliwa ni yeye abishe tu ukweli uwekwe hadharani.
zitto na mbowe mnatosha sana kwa ukombozi wa taifa hili huyo mamluki mfukuzeni .
kama mko serious na taifa hili.
ndo maana analipwa mshahara wakati mbowe amekijenga chama hiki kwa mamilioni na hajawahi kuyadai alipwe.
fukuzeni huyo babu ni kimeo.
hahaaaaa slaa anaweza anaweza,iyo iyooooo anaweza sanaa ,kumiliki kadi mbili anawezaaaa iyo iyooooo anaweza sanaaaa.