Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Hivi kweli kama Dr is going down or already down, why are going dwn with him by taking year time posting all these? It shows yuko juu na anawatisha! Pole but your strategy of dealing with it is not working. Hapa ni great thinkers!

QUOTE=masopakyindi;5173218]Ha ha
Now you are talking!
However I thought thinking is a reserve for thinkers, then you might see what I am talking about!

Sasa tuwe direct
Dr Slaa talks the talk , but he has failed miserably to walk the talk!
Is that also difficult to figure out?-that seems too obvious to many.

Au kwa waswahili wenzangu wanasema amebugi meen![/QUOTE]
 
Kuwa na kadi ya ccm binafsi sioni Tatizo maana tuko wengi bado tunamiliki hizo as kumbukumbu, ila kama bado ana ilipia hapo kuna mashaka!!!:confused2:
 
Hivi kweli kama Dr is going down or already down, why are going dwn with him by taking year time posting all these? It shows yuko juu na anawatisha! Pole but your strategy of dealing with it is not working. Hapa ni great thinkers!

QUOTE=masopakyindi;5173218]Ha ha
Now you are talking!
However I thought thinking is a reserve for thinkers, then you might see what I am talking about!

Sasa tuwe direct
Dr Slaa talks the talk , but he has failed miserably to walk the talk!
Is that also difficult to figure out?-that seems too obvious to many.

Au kwa waswahili wenzangu wanasema amebugi meen!
[/QUOTE]

Mpaka uambiwe Slaa kafungua tawi la ccm na kuhudhuria kikao cha chama ndio utaamini?
Na hapo ndio utajithibitishia kuwa u-greti thinka wako ni wa ba ndia!
 
mbona hujathibitisha kuwa hashindwa walk the talk?Ingawa pia nitapenda uniambie wapi CCM wameweza?
Waswahili husema kipendacho roho hula nyama mbichi, na kwa dalili zote za uozo ndani ya Dr na huzioni basi nitashindwa kukusaidia katika hilo.
 
Kwanini udhani mimi nahitaji kusaidiwa na wewe na si wewe kusiaidiwa na mimi?Tayaru hujaona kinyume chake ndio kweli .Wewe unachuki na Dr. ndio maana haupo tayari kula nyama iliyoiva.Juzi tuu Tuu amani kasema Kitu hatari kabisa, yaani wanayo card ya ASP ila hakuna aliyefungua mdomo kwa vile hawakuona chochote kibaya.Zanzibara wanafikiria kujitenga, na kuwa na kadi ya ASP kwa mbwembwe si ishara njema.Instead kwa Issue ya Dr. ni tofauti kwa vile kuwepo kwake CDM ni chukizo kwa CCM.

Kuhusu anapokwenda nape kuwa Dr. analipia kadi ni wazi kuwa Nape atahitaji jieleza kwa ushahidi kuwa dr. Ndie alikuwa akilipia na si SIMULATION YA HILO ZOEZI wanaloweza fanya wana CCM kama kawaida yao.
 
Mkuu as a thinking man you dissapoint me.
You are betraying your mental faculties for blind loyalities which are not only uneccessary , but also uncalled for.

Mchukue Dr kama Dr.
Sina sababu ya kumchukia Dr Slaa kama mtanzania mwenzanu lakini track record yake is not anything to be roud of.
Dr useja, tena wa kiapo umemshind
Dr kachikua mke wa mtu
Dr kaacha familia yake na watoto bila matunzo

If you call that exemplary then you should have your head examined.
Sasa na Dr anataka kuwa rais wa nji hii.
The most we can expect from Dr Slaa ni kuendelea kuongoza CDM, at your chagrin.
 
unahoja nyepesi huku ukijiaminisha kuwa upo makini.

Kuacha useja bado ni hiari na sheria za catholics zimewekwa zikiwa na Exit door.Na yeye kaitumia.Si wewe tuu uliye mbumbumbu hata CCM walishapewa majibu na Catholic.

Huyo mke wa mtu alishaachika.Pia hujaulizia akina mama wa CCM wanachukuliwa na watu wangapi ndani ya CCM?Ingekuwa dr. Kamchukua mke wa Mtu basi kuna wengi ktk CCM waliopaswa kuwa gerezani.

hayo ya kuacha familia bila matunzo , ni umbe unaokufanya uzidi kuwa kituko.je unao thibitisho wa hilo?Wanaishi vipi?Una details za makubaliano ya kuachana?

Kipimo cha kwanza cha haya unayotak ayasema kilipaswa kuwa Sheris zilizomfikisha ktk kiapo na kuondoka na si umbea wa watu.Kanisa alilolitumikia ndilo lina sheria na mkataba naye hadi alipoondoka, hvivyo hivyo kwa familia ndio maana huyu mama hakuwahi mshitaki kipindi chote hadi sasa .Logically ni shaihi mama kupata hizo hisia za wivu, hisia na kuiwek aesteem yake ktk hizi hisia na kujilinganisha na mwananke mwenzie.Huwa watu wengine hujutia kitu walichokipoteza baad ya kuona wengine wamekithamini.
 
unahoja nyepesi huku ukijiaminisha kuwa upo makini.

Kuacha useja bado ni hiari na sheria za catholics zimewekwa zikiwa na Exit door.Na yeye kaitumia.Si wewe tuu uliye mbumbumbu hata CCM walishapewa majibu na Catholic.

Huyo mke wa mtu alishaachika.Pia hujaulizia akina mama wa CCM wanachukuliwa na watu wangapi ndani ya CCM?Ingekuwa dr. Kamchukua mke wa Mtu basi kuna wengi ktk CCM waliopaswa kuwa gerezani.

hayo ya kuacha familia bila matunzo , ni umbe unaokufanya uzidi kuwa kituko.je unao thibitisho wa hilo?Wanaishi vipi?

Uthibitisho wa Dr Slaa kutelekeza watoto wake pamoja na mama yao bila matunzo kesi ipo mahakamani imefunguliwa na mama wa watoto wa Dr Slaa, Rose Kamili anadai fidia ya milioni 50. Vile vile anadai fidia ya milioni 500 kwa Josephine, kumchukulia mume wake ambaye ni Dr Slaa.
 
its funny kuwa ni wana CCM tena ndio wajinga wa kutambua mambo.CCM always wana utambuzi mdogo sana wa mambo.na propaganda nyingi za CCM zinatosha wadanganya CCM peke yao.

wamedanganya hadi sana hawajui nini ni kweli na nini ni uongo.Good move Nape,mwisho wa siku mahesabu yataonyesha umechanganya sana wana ccm wenzako huku ukizidi kuwa kichekesho mbele ya watanzania wa wasio na vyam na walio na vyama.Net effect CDm wanagain watu.
 
Uthibitisho wa Dr Slaa kutelekeza watoto wake pamoja na mama yao bila matunzo kesi ipo mahakamani imefunguliwa na mama wa watoto wa Dr Slaa, Rose Kamili anadai fidia ya milioni 50. Vile vile anadai fidia ya milioni 500 kwa Josephine, kumchukulia mume wake ambaye ni Dr Slaa.

mzee wa kulaza ubongo umeingia ghafla kwa povu jingi kama kawaida yako.Mahakama imeamua aje?
Nani kakuambia mtuhumiwa ni mkosefu?

Una hakika gani kuwa kweli walitoswa au ni nmama tuu na wivu na mashindano ya kurudisha esteem baada ya mama kuona alichoshindwa wenzie wameweza.

Its only CCM who are stupid enough to be trappend in their own lies.
 
Kesi bado ipo mahakamani hukumu bado...unauliza nina hakika gani? Hivi wewe na Rose Kamili nani tumuamini? Wewe na watoto wa Dr Slaa nani tumuamini kama watoto wa Dr Slaa wanakiri kuwa baba yao aliwatelekeza wapo upande wa mama yao, wewe Chadema-Kata unapinga...kama unasikia uchungu sana lipa milioni 50.
 
kama kesi ipo mahakamani na hukumu bado, funga mdomo basi umbea hatutaki.Kaamuamini Kamili, kwnai kuamini si chaguo la mtu.Mbona wewe unaamini kuwauislam ndio ulileta uhuru nani kakunyima.

Huyo Kamili alikuambia wapi?wakati mahakama haijaridhia?

Hujioni unavyotoka povu?kichwa water kabisa.Hivi ni kwamba mnabadiishana vichwa na Nape au ni ndege wa kufanana huruka pamoja?

Sijui CCM wanafiri vipi?Yaani pamoja na kutumia hela wanachagua watu wanaopenda zima mbongo zao kama askari wake ktk vita ya propaganda.Sishangai kujinganya ni sehemu ya maisha ya kawaida kabisa ya magamba.
 
kadi si lazima urudishe kuthibitisha kuwa si mwanachama,, KUTOILIPIA ada tu kwa muda uliowekwa inakuwa umejitoa uanachama. kama hailipii ada wewe unawashwa nini?

sembuli,

Umenena. Inasikitisha kuwa Watanzania wengi we don't think critically. Yaani watu wanarukia jambo na kulishupalia kama vile ni la maana sana! This absolutely nonsense. Hivi mtu anapoamua kuachana na chama fulani sheria inasemaje kuhusu KADI? Je. ni lazima airudishe kwenye chama husika? Jibu ni hapana. Ni wazi kuwa ukishahamia chama kingine automatically wewe si mwanachama tena na ile kadi yao unaweza kuirudisha,kuitupa,kuichoma moto au kuitunza. Uamuzi ni wako!

Hivi Tyson Steven Wassira alipohamia NCCR-Mageuzi wakti ule alirudisha kadi ya CCM?Na Je,aliporejea tena CCM ile ya alirudishiwa?Je, alipoondoka NCCR kadi ya NCCR alirudisha au bado anayo???

Nepi Nauye na Sam Sitta walianzisha chama cha CCJ Je, walirudisha kadi za CCM na baaada ya CCJ kufeli hizo kadi za CCJ bado wanazo au wamezirudisha wapi???

Mimi na ona ni upuuzi kujadili kadi za vyama kama mtu anaendelea kuwa nayo au kuirudisha anapohama toka chama kimoja kwenda kingine. Leo niko CCM kesho narudi CHADEMA,TLP,NCCR n.k.Kwa hiyo ni umamzi wangu kuendelea kuwa na kadi za kila chama ili kila upepo unapabadilika nami nahamia kwenye chama kile chenye mwelekeo. Hata baba wa Taifa aliwahi sema CCM si mama yake lakini bado hakurudisha kadi!!!
 
Akili ndogo hufikiria mambo madogo, so the hell what km bado ana karatasi lao la kijani, nafikri tujikite kwenye utaifa zaidi kuliko trivial parties cheap propaganda.

  • :confused2:
 
kama kesi ipo mahakamani na hukumu bado, funga mdomo basi umbea hatutaki.Kaamuamini Kamili, kwnai kuamini si chaguo la mtu.Mbona wewe unaamini kuwauislam ndio ulileta uhuru nani kakunyima.

Huyo Kamili alikuambia wapi?wakati mahakama haijaridhia?

Hujioni unavyotoka povu?kichwa water kabisa.Hivi ni kwamba mnabadiishana vichwa na Nape au ni ndege wa kufanana huruka pamoja?

Kauzu kama wewe uwezi kunifunga mdomo hakuna sheria yoyote ambayo inakataza watu kujadili kesi ambayo ipo mahakamani. Hata nyie Chadema mnajadili wizi wa EPA, mauaji ya Mwandishi wa habari, Richmond, wakati kesi zipo mahakamani hakuna aliyewaambia mfunge midomo yenu...usijifanye unampenda sana Dr Slaa hata kwenye mambo ya kishenzi unamtetea kiongozi ni kioo cha jamii watu wanataka kiongozi msafi.
 
kwa wembamba wa fikra zako nilijua utafikiri nimekwambia kuwa kesi kiwa mahakamani hairuhusiwi iongelea.Upo predictable sana mzee wa kudekeza ubongo.Nilijua ungekimbilia ndio maana nikaandika kama nilivyoandika.Hapa issue ni kwamba kama mama kamili kaamua kwenda mahakamani basi asubiri mahakama ithibitishe malalamiko yake na ndipo hizo tuhuma zako na zake zipate sura ya kuwa kweli.

Kwa ujumla ni mahakam tuu ndio inaweza thibitisha na kumtangaza mtu kuw amkosefu aua lah.Na si wambea kama nyie.
 
Mkuu as a thinking man you dissapoint me.
You are betraying your mental faculties for blind loyalities which are not only uneccessary , but also uncalled for.

Mchukue Dr kama Dr.
Sina sababu ya kumchukia Dr Slaa kama mtanzania mwenzanu lakini track record yake is not anything to be roud of.
Dr useja, tena wa kiapo umemshind
Dr kachikua mke wa mtu
Dr kaacha familia yake na watoto bila matunzo

If you call that exemplary then you should have your head examined.
Sasa na Dr anataka kuwa rais wa nji hii.
The most we can expect from Dr Slaa ni kuendelea kuongoza CDM, at your chagrin.

masopakyindi.

You're absolutely talking insanity!

Are'u aware that your former retierd president Ben William Mkapa was not in his wedlock until the time of Presidencial campaign in 1995???Mkapa maintains the same status of not staying with his wife again immediately when he left the State house in 2005.

Then why so many vuvuzelas for Dr. Slaa being not in his first wedlock?The constitution allows someone to divorce his wife if they are not in good terms! What do you do if your wife misbehaves?

CCM acheni hizi cheap politics za kudanganya watu kama vile hawana akili. Kuoa au kutooa kwa Dr. Slaa hakumwondolei haki yake ya kuwa kiongozi wa nchi.
 
kwa wembamba wa fikra zako nilijua utafikiri nimekwambia kuwa kesi kiwa mahakamani hairuhusiwi iongelea.Upo predictable sana mzee wa kudekeza ubongo.Nilijua ungekimbilia ndio maana nikaandika kama nilivyoandika.Hapa issue ni kwamba kama mama kamili kaamua kwenda mahakamani basi asubiri mahakama ithibitishe malalamiko yake na ndipo hizo tuhuma zako na zake zipate sura ya kuwa kweli.

Kwa ujumla ni mahakam tuu ndio inaweza thibitisha na kumtangaza mtu kuw amkosefu aua lah.Na si wambea kama nyie.

Mzee wa pumbaa bana hivi kupora mke wa mtu na kumpa ujauzito na kufukuza mwanamke uliyezaa naye inaitaji mahakama?
 
unajua wewe ni very funny creature, wewe unathibitisha vipi kuwa yana ukweli?Ulikuwa ukiishi nao?Hayo ya kupiga kwanini mama aje sema leo na immediately baada ya kupigwa.Umejuaje kama alimwacha na si kuachana?unajua terms zao za kuishi pamoja?Unaamaanisha nini kufukuza?unamaanisha talaka?Kuzaa na mtu haimaanishi ndio sababu ya kumbana maisha yake yote.Wewe mwenyewe unatoka dini ya talaka hata za kwenye ndoto.Yaani ahta mtu akiota na kutamka talaka ikasikika na walio macho.
 
Back
Top Bottom