Duh yaani CDM kiboko wameanza kumchafua Dr. Slaa! Jana nilikuwa kijiweni na vijana tunakunywa kahawa nikasikia wanasema Dr. Slaa alitumwa na Nyerere kuingia upadri ili ajue huko mapadri wanafanya nini na hakuwa na utashi wa kweli. kwa kifupi wanasema alitumwa na serikali na ni mtu wao hadi leo. Vijana wakawa wanaonyesha wasiwasi juu ya Dr. Slaa na wakasema afadhali Mbowe. Leo naona hii post nimeshangaa. Naona mitandao ya Urais ndani ya CDM inafanya kazi kwa umakini mkuu.
Nina kadi ya CCM - DR Slaa
Slaa rudisha kadi ya watu kama hii habari ina ukweli wowote. Huwezi kame kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja.
Mkuu naona unatoka mgombani, hiyo cliche ni ya mjini!Nani katukana?Mimi nimekuuliza swali kutokana na neno ulilosema,sasa unaruka nini?
Hakuna mtandao wa URAIS CDM, na usijifanye unashangaa! unaelewa fika makundi yako CCM, pia angalia sana kushughulika data za vijiweni ambazo nhazina PROOF yoyote!! sasa hivi ni Ulimwengu wa DIJITALI ukisema kitu toa ushahidi pia! sio kuongea tu kama mvuta bangi kijiweni! story kupoteza jua lilale tu, reference hakuna!!
Toa ushahidi kivipi DR. alitumwa na Mwl kuwa padri!!!? acha bangi!!

Mkuu naona unatoka mgombani, hiyo cliche ni ya mjini!
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania, mtakumbuka ya kwamba Dr. Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM kabla ya kuasi chama na kukimbilia CHADEMA.
Hata hivyo, mpaka leo hii Dr. Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya CCM.
Duh yaani CDM kiboko wameanza kumchafua Dr. Slaa! Jana nilikuwa kijiweni na vijana tunakunywa kahawa nikasikia wanasema Dr. Slaa alitumwa na Nyerere kuingia upadri ili ajue huko mapadri wanafanya nini na hakuwa na utashi wa kweli. kwa kifupi wanasema alitumwa na serikali na ni mtu wao hadi leo. Vijana wakawa wanaonyesha wasiwasi juu ya Dr. Slaa na wakasema afadhali Mbowe. Leo naona hii post nimeshangaa. Naona mitandao ya Urais ndani ya CDM inafanya kazi kwa umakini mkuu.
The fact kwamba alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM inatia mashaka nia yake ya dhati ktk mabadiliko. We need green and yellow blood free people kuikomboa hii nchi.
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania, mtakumbuka ya kwamba Dr. Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM kabla ya kuasi chama na kukimbilia CHADEMA.
Hata hivyo, mpaka leo hii Dr. Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya CCM.
Kutotaka kuelewa hali halisi ya public opinion juu ya kuporomoka kwa uadilifu wa kiongozi wako Dr Slaa , ni uamuzi wako.mjini wapi tena ndugu yangu?Kwa miundo ya lugha zetu sidhani kam kutakuw ana tofauti sana na litteral meaning yake na swali lang ulilolikimbia ulipaswa jibu.Sina interest sana na maneno ya kipuuzi yanayoitwa ya mjini ila ulipaswa nijibu.
Public opinion si absolute truth, sometime ni common understanding tuu.Kam jamii haipo well informed au misinformed lazima wafikirie hadi kiwango fulani na opinion zao zinaweza kuwa kufuata mkumbo au ujinga tuu. I like Bush , hakuongozwa kwa public opinion na bado akafuta vipindi viwili bila shinda.Kutotaka kuelewa hali halisi ya public opinion juu ya kuporomoka kwa uadilifu wa kiongozi wako Dr Slaa , ni uamuzi wako. Katika hilo hakuna anyeweza kukusasidia, kung'ang'ania specific answers ni kutaka kujiridhisha tu, lakini ukweli ni kuwa Dr Slaa is going down and taking CDM with it. Uadilifu wa huyo mzee wenu ni sifuri na mtamtetea paka jua litawachwea.
Mkuu politics is a fair game and it is numbers that count.Public opinion si absolute truth, sometime ni common understanding tuu.Kam jamii haipo well informed au misinformed lazima wafikirie hadi kiwango fulani na opinion zao zinaweza kuwa kufuata mkumbo au ujinga tuu. I like Bush , hakuongozwa kwa public opinion na bado akafuta vipindi viwili bila shinda.
Mkuu politics is a fair game and it is numbers that count.
Ignore the sans culotes at your own peril, thinking the imaginary high ground wil help you- it will not.
And it will remain just that IMAGINARY high ground.
Ongea in a straight way ndugu yangu.Kuzungushia viumbeumbea pembeni ya comments yako hakuwezi kulinda sana wakati unaongea vitu vy akufikirika.
Politics si lazima iwe fair game, ni players too ndio wanaoamua palya fairly.CCM wamecheza unfairly for years bado mnaon avitu ni sawa.
Ha haOngea in a straight way ndugu yangu.Kuzungushia viumbeumbea pembeni ya comments yako hakuwezi kulinda sana wakati unaongea vitu vy akufikirika.
Politics si lazima iwe fair game, ni players too ndio wanaoamua palya fairly.CCM wamecheza unfairly for years bado mnaon avitu ni sawa.
Picha hizi utazikuta ofisi za chadema tu!
Ha ha
Now you are talking!
However I thought thinking is a reserve for thinkers, then you might see what I am talking about!
Sasa tuwe direct
Dr Slaa talks the talk , but he has failed miserably to walk the talk!
Is that also difficult to figure out?-that seems too obvious to many.
Au kwa waswahili wenzangu wanasema amebugi meen!