Wanakaratu wakiongozwa na Dr. Waliteketeza maelfu ya kadi za CCM pale Dr Slaa alipokihama chama hicho! CCM mnasahau haraka historia! Mimi nilichanachana likadi la CCM 2005 kikwete alipoteuliwa kugombea urais kupitia CCM mbona hawaji kunidai likadi lao!Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania, mtakumbuka ya kwamba Dr. Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM kabla ya kuasi chama na kukimbilia CHADEMA.
Hata hivyo, mpaka leo hii Dr. Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya CCM.
hata mimi pia nimesikia kuwa dr slaa anashirikiana kwa siri sana na viongozi wa ccm hasa wale watumishi wa umma waliompa nyaraka za epa, uingizaji wa silaha za ccm, wizi wa kura zake na ule waraka wa kufuatilia watumishi wa umma wanaounga mkono chadema ili wafukuzwa.
Ni kweli kabisa nasikia wanakutana mara nyingi sana tena usiku. Wewe nyaraka muhimu za kifisadi za serikali angezitoa wapi? Ni watumishi wa serikali ya ccm ambao ni wanaccm ndo wamempa? Tuko pamoja mkuu.
Kama hii kadi ya ccm aliyonayo faida yake ndo hizi, basi mimi naunga aendelee kuwa nayo. Ila bahati mbaya mambo yake yanaharibu ccm.
Slaa rudisha kadi ya watu kama hii habari ina ukweli wowote. Huwezi kame kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja.
Nimefuatilia hili swala na kukugundua kwamba watanzania usahaulifu wetu ndio unaotuponza, sielewi ni kwa nini swala la NAPE kusema DR SLAA anakadi ya CCM limekuwa issue wakati hili swala alilisema DR SLAA mwenyewe wakati wa Kampeni za Mwaka 2010 likely akiwa anarespond kwenye upuuzi wa namna hiyo hiyo ulioanzishwa na Makamba.
In short and in a very clear manner DR SLAA alikiri kuwa na kadi ya CCM na akasema hana mpango wa kuirudisha sababu ni ya kwake aliinunua kwa pesa yake mwenyewe hakupewa bure.Yakaisha.
Sielewi ni ufahamu wa namna gani unaweza ukarudisha hoja kama hii kwenye hadhira, kwamba mbona wengine wana rudisha, well ni maamuzi ya mtu, by the way hizo kadi wengi hupewa bure.
I am seating here wondering how on earth Nape and most of us has made this an issue!!!!
nakumbuka pia hlo doct alishasema ni yake.kwa kuwa alinunua kwa pesa yake.bigup mkuu
Ndugu mkubali tu kuwa mmekamatwa korodani!KWa muendelezo wa malumbano ya Dr. SLaa kuwa na kadi ya CCM,ni wazi pathetic and desperate CCM wanaweza wekeza kijinga ktk hii project isiyo na logic wala ethics.Nape kuendelea jifanya kuw ani smart ni ishara kuwa tusishangae wakaenda mbali zaidi hata simulate zoezi la kuchangia michango ili kujenga taswira ya kijinga sana kuhusu dr.In reality majibu yote kapew aila kashindwa kuwa mwadilifu bado anaendeleza kejeli.
Ni mbaya sana hizi tabia za CCM na ni vyem akil amtu kaipigia kelele ili CCM waache utoto na ushenzi wakatufanyie kazi wanazopiga domo wataanza leo mara kesho.
Nnauye Jr usidekeze sana ubongo.
kupenda kubaya,munalazimisha ki,n.ye's i kiwe chakula?kadi hiyo angeimiliki zitto mungeyasema hayo.
Ndugu mkubali tu kuwa mmekamatwa korodani!
Dr kakubali MWENYEWE kuwa ana kadi ya CCM huku anakusanya za wenzake!
What a shame!!!
Kwenu wanuame wanawashika wanaume wengine korodani?
Ni mahali pengine pa CCM kudhalilika, pengine mnadhani itawasaidia ila mwisho wa siku mtajikuta hesabu haija balance kama kawaida yenu.Magamba haayvuki, mandondocha wa matusi na pumba katk CCM hawatabadilika na kuongea sense, mnaishia kudai Muungano wa Pemba sijui na zimbamwe?
Usitukane sana mkuu, we can understand your frustration.
Bahati yako mbaya bado hujavuka mto, mamba wa CCM wataendelea kuwatafuna.
Fanyeni sensa ndani ya CDM kwa wale ambao bado wana kadi za CCM!
Utashangaa-wanaziweka kwa kumbukumbu tu (pamoja na kukatia ada!)
Kweli mmekamatwa pabaya.
Ha ha ha!