Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Kwan Kadi zinarudishwa wapi? Itabd niwe napeleka rundo la kadi ambazo wana ccm wamezleta kwangu after mikutano. .. Nielekezeni pahala pa kurudsha hzo kadi za CCM ili nigeuze ofc yenu dampo.
 
kwani kadi huwa mali ya nani? je dr slaa ni active member yaani huwa anailipia..hivi kikomo cha kuwa mwana ccm kikoje..

The fact kwamba alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM inatia mashaka nia yake ya dhati ktk mabadiliko. We need green and yellow blood free people kuikomboa hii nchi.
 
Makubwa jinga hawaishi. Kweli kabisa unataka kunimbia kutokurudisha ndiyo kuwanayo kazi ipo, sio kila wakati ni presumption tu
 
Presha inapanda! Presha inashuka!mimi ninayo ya uvccm, ya uanachama na bado sijarudisha!who cares bwana!
 
Yakwangu sikuwahi ilipia nilipewa SUA na jamaa alikuwa anagombea udiwani kule Mazimbu 2005. Nasijaiona tena sasa na me ccm.
 
Hii homa ni noma!Naona nyuzi joto iko juu karibia wengi wataonekana barabarani wakiwa wamechizika!!!
 
Duh yaani CDM kiboko wameanza kumchafua Dr. Slaa! Jana nilikuwa kijiweni na vijana tunakunywa kahawa nikasikia wanasema Dr. Slaa alitumwa na Nyerere kuingia upadri ili ajue huko mapadri wanafanya nini na hakuwa na utashi wa kweli. kwa kifupi wanasema alitumwa na serikali na ni mtu wao hadi leo. Vijana wakawa wanaonyesha wasiwasi juu ya Dr. Slaa na wakasema afadhali Mbowe. Leo naona hii post nimeshangaa. Naona mitandao ya Urais ndani ya CDM inafanya kazi kwa umakini mkuu.

Mkuu kimbunga mimi huwa ninakuheshimu sana kwenye augement zako. Nimekuwa nikifuatilia hoja zako sana mkuu. lakini kwa hili la udaku limenishitua sana kama na wewe unaweza kuamini hivyo.
 
Mbona si tatizo? Mim mwenyewe sikurudisha ya kwangu, si ni mali yangu kwa kumbukumbu ya kuwa gamba!
 
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania , mtakumbuka ya kwamba Dr Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa ccm kabla ya kuasi chama na kukimbilia cdm. Hata hivyo, mpaka leo hii Dr Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya ccm.MTOA HABARI MTU AKIASI MANAKE HAYUKO NAWE TENA ILA ANAWAUMA MABOSI WAKO SAANA MTALIA SANA
 
Mkuu haipendezi hata kidogo kuandika lugha ya matusi humu (idiot)

hilo sio tusi ispokuwa najaribu kubashiri source ya data zako, huwezi kupost ujinga afu nikuvumilie tu. mtu asiporudisha kadi haina maana bado ni active member kwani kadi inaweza kupotea, kuteketezwa au kupelekwa chama pinzani ili kuonesha umma kwamba umekihama chama fulani mfano mzuri ni pale wanaCCM wanavyopeleka kadi zao kwenye mikutano ya M4C. ina maana haya yote ulikuwa hujayafikiria? bac huenda we ni KILAZA.
 
Duh, vijana bwana, mnakumbuka Dr Slaa kaenda CDM lini? na nini kilimfanya ajiunge na CDM? mkilijua hilo hamtakuwa na maswali kama haya
 
Back
Top Bottom