Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Duh yaani CDM kiboko wameanza kumchafua Dr. Slaa! Jana nilikuwa kijiweni na vijana tunakunywa kahawa nikasikia wanasema Dr. Slaa alitumwa na Nyerere kuingia upadri ili ajue huko mapadri wanafanya nini na hakuwa na utashi wa kweli. kwa kifupi wanasema alitumwa na serikali na ni mtu wao hadi leo. Vijana wakawa wanaonyesha wasiwasi juu ya Dr. Slaa na wakasema afadhali Mbowe. Leo naona hii post nimeshangaa. Naona mitandao ya Urais ndani ya CDM inafanya kazi kwa umakini mkuu.

Hakuna mtandao wa URAIS CDM, na usijifanye unashangaa! unaelewa fika makundi yako CCM, pia angalia sana kushughulika data za vijiweni ambazo nhazina PROOF yoyote!! sasa hivi ni Ulimwengu wa DIJITALI ukisema kitu toa ushahidi pia! sio kuongea tu kama mvuta bangi kijiweni! story kupoteza jua lilale tu, reference hakuna!!

Toa ushahidi kivipi DR. alitumwa na Mwl kuwa padri!!!? acha bangi!!
 
Kadi ya watu!!!!!??? Hivi hiyo kadi alipewa freely au alinunua? Kama alipewa freely kwa mkataba kwamba akihama CCM arudishe, basi ana kila sababu kuirudisha (in case kama katiba ya CCM inaonyesha hilo). Vinginevyo kushadadia hoja nyepesi kama hii ni aina ya juu sana ya upuuzi na upumbavu.

Mimi binafsi nina kadi ya CCM, siilipii wala chochete and I regard myself siyo mwanaCCM sababu silipendi hili lichama na kadi sitarudisha ila kadi hiyo kwa sababu niliinunua kwa hiyo ni mali yangu halali. Uanachama wangu pia ulikoma pale nilipokoma kuilipia kadi yangu niliyoinunua (siyo ya CCM, bali ni yangu.

Acheni unepiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

Slaa rudisha kadi ya watu kama hii habari ina ukweli wowote. Huwezi kame kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja.
 
Jamaa ni kama samaki alie tolewa baharini hata ukukuruke vipi hawezi kuongeza uhai wakeMara slaa anakadi ya sisiemuMara zito anataka kuhamia sisiemuMara shemeji Mke wa mtuMara chama Tawi la mapinduziWizii mtupuuuuu!YAANI HATA SILAHA AWE SISIEMU, ZITO NAE AAMUE KUVAA GAMBA, Bado mnakazi kubwa ya kuwabadilisha Madokta, Walimu, Wanavyuo,Wamachinga, Babu na bibi zetu waliopoteza Matumaini kwa ahadi hewa, Nyie mmeweka urafiki mzuri sana na jeshi tu kwasababu iposiku litawasaidia. hii vita sio ya sisiemu na chadema bali ni sisiemu na raia waliochoshwa na Ufedhuli wa waziwazi kabisa
 
Hakuna mtandao wa URAIS CDM, na usijifanye unashangaa! unaelewa fika makundi yako CCM, pia angalia sana kushughulika data za vijiweni ambazo nhazina PROOF yoyote!! sasa hivi ni Ulimwengu wa DIJITALI ukisema kitu toa ushahidi pia! sio kuongea tu kama mvuta bangi kijiweni! story kupoteza jua lilale tu, reference hakuna!!

Toa ushahidi kivipi DR. alitumwa na Mwl kuwa padri!!!? acha bangi!!

Mkuu unajua reported speech?
 
Jaribu kujichanganya vijiweni utapata mengi!
 
Mkuu naona unatoka mgombani, hiyo cliche ni ya mjini!

mjini wapi tena ndugu yangu?Kwa miundo ya lugha zetu sidhani kam kutakuw ana tofauti sana na litteral meaning yake na swali lang ulilolikimbia ulipaswa jibu.Sina interest sana na maneno ya kipuuzi yanayoitwa ya mjini ila ulipaswa nijibu.
 
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania, mtakumbuka ya kwamba Dr. Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM kabla ya kuasi chama na kukimbilia CHADEMA.

Hata hivyo, mpaka leo hii Dr. Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya CCM.

kadi ni nini?..hata mimi bado ninayo....
 
Duh yaani CDM kiboko wameanza kumchafua Dr. Slaa! Jana nilikuwa kijiweni na vijana tunakunywa kahawa nikasikia wanasema Dr. Slaa alitumwa na Nyerere kuingia upadri ili ajue huko mapadri wanafanya nini na hakuwa na utashi wa kweli. kwa kifupi wanasema alitumwa na serikali na ni mtu wao hadi leo. Vijana wakawa wanaonyesha wasiwasi juu ya Dr. Slaa na wakasema afadhali Mbowe. Leo naona hii post nimeshangaa. Naona mitandao ya Urais ndani ya CDM inafanya kazi kwa umakini mkuu.

Na wewe ni muumini wa hizi hearsay au ndio mpishi mkuu?
 
The fact kwamba alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM inatia mashaka nia yake ya dhati ktk mabadiliko. We need green and yellow blood free people kuikomboa hii nchi.

Hii inaonyesha kwa muda anaokuwa katk chama fulani huwa mwaminifu hadi chama kikianza tia kichefuchefu na kwenda kinyume na misingi yake.

Nape hajatoka ila na uanachama w akudumu wa CCJ.Sijui alikuw akaitafuta nini tena CCJ?Urais wa harakaharaka?
 
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania, mtakumbuka ya kwamba Dr. Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM kabla ya kuasi chama na kukimbilia CHADEMA.

Hata hivyo, mpaka leo hii Dr. Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya CCM.

Kwahiyo unataka kusemaje? hebu kuwa direct mbona unaanzia mbali?:whistle:
 
mjini wapi tena ndugu yangu?Kwa miundo ya lugha zetu sidhani kam kutakuw ana tofauti sana na litteral meaning yake na swali lang ulilolikimbia ulipaswa jibu.Sina interest sana na maneno ya kipuuzi yanayoitwa ya mjini ila ulipaswa nijibu.
Kutotaka kuelewa hali halisi ya public opinion juu ya kuporomoka kwa uadilifu wa kiongozi wako Dr Slaa , ni uamuzi wako.
Katika hilo hakuna anyeweza kukusasidia, kung'ang'ania specific answers ni kutaka kujiridhisha tu, lakini ukweli ni kuwa Dr Slaa is going down and taking CDM with it.
Uadilifu wa huyo mzee wenu ni sifuri na mtamtetea paka jua litawachwea.
 
Kutotaka kuelewa hali halisi ya public opinion juu ya kuporomoka kwa uadilifu wa kiongozi wako Dr Slaa , ni uamuzi wako. Katika hilo hakuna anyeweza kukusasidia, kung'ang'ania specific answers ni kutaka kujiridhisha tu, lakini ukweli ni kuwa Dr Slaa is going down and taking CDM with it. Uadilifu wa huyo mzee wenu ni sifuri na mtamtetea paka jua litawachwea.
Public opinion si absolute truth, sometime ni common understanding tuu.Kam jamii haipo well informed au misinformed lazima wafikirie hadi kiwango fulani na opinion zao zinaweza kuwa kufuata mkumbo au ujinga tuu. I like Bush , hakuongozwa kwa public opinion na bado akafuta vipindi viwili bila shinda.
 
Mkuu politics is a fair game and it is numbers that count.
Ignore the sans culotes at your own peril, thinking the imaginary high ground wil help you- it will not.
And it will remain just that IMAGINARY high ground.
 
Ongea in a straight way ndugu yangu.Kuzungushia viumbeumbea pembeni ya comments yako hakuwezi kulinda sana wakati unaongea vitu vy akufikirika.

Politics si lazima iwe fair game, ni players too ndio wanaoamua palya fairly.CCM wamecheza unfairly for years bado mnaon avitu ni sawa.
 
67886_10200250819699472_671353626_n.jpg
 
Ongea in a straight way ndugu yangu.Kuzungushia viumbeumbea pembeni ya comments yako hakuwezi kulinda sana wakati unaongea vitu vy akufikirika.

Politics si lazima iwe fair game, ni players too ndio wanaoamua palya fairly.CCM wamecheza unfairly for years bado mnaon avitu ni sawa.
Ha ha
Now you are talking!
However I thought thinking is a reserve for thinkers, then you might see what I am talking about!

Sasa tuwe direct
Dr Slaa talks the talk , but he has failed miserably to walk the talk!
Is that also difficult to figure out?-that seems too obvious to many.

Au kwa waswahili wenzangu wanasema amebugi meen!
 
mbona hujathibitisha kuwa hashindwa walk the talk?Ingawa pia nitapenda uniambie wapi CCM wameweza?
 
Back
Top Bottom