Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Mimi kwenye thread za kipuuzi.....ngoja kwanza, huyu mzee si ana kashfa ya kubaka??!

ImageUploadedByJamiiForums1354556842.276590.jpg
 
Tehetehe teheee....
Karume aliwapatia sana nyie akina Nape.

ImageUploadedByJamiiForums1354556951.674792.jpg
 
Nape kadi urudishe ya nini huna mpango na chademe unachana kadi unatfuta ya ccm. ukiwa na ya ccm ndo kabisa urudishe ya nini unaichanilia mbali huko. hiyo sio hoja akurudishie ww anakuogopa. acha utani tunataka majibu ya matatizo yetu si nani anakadi yanani
 
Huu ni msamiati mpya kabisa baada ya ule wa oil chafu kuchuja.tutegemee kupata msamiati mwingine.
 
Nnadhani Nape anazungumza mambo ya kijinga,kutokana na kuujua ujinga wa wananchi anaowaongoza ktk chama chake (miaka 50 ya uhuru hakuna jipya).
 
"Wenzangu na miee, mna akili kama za samakiii" by Karume Jr.
 
Wewe unayejiita Great thinker, waliposema hivyo ukakubali? Na umeona hili ndilo la kushirikisha Great thinkers.

Jamani huku ni kufilisika kubaya. Kama CCM imebaki na utoto wa namna hii kama mtaji, na ndio inaongoza nchi basi Watanzania tunapaswa kuhurumiwa sana!

Hivi unadhani kwenye kahawa hakuna great thinkers? Mawazo ni kwamba great thinkers wapo JF peke take?
 
Huu ni umasikini wa Nape wa kutofikiria mambo ya maana ya kujenga CCM. anangaika na mambo yasiyo ya msingi. Nashauri, Nape kijinge chama (Kimepotea barabara) unalolisime inadhirisha uwezo waako ni mdogo wa kuweza kujenga chama. Propaganda za kale.
 
POrojo za vijiweni , watu siku hizi wanalewa kahawa.
Ili uaminike mkuu hebu ziscan utuwekee mtandaoni, mara tutasikia nilichana!

Uongo mtupu!
Sidhanii kama ulikuwa mjanja miaka hiyo.

Just because you are using those ears of yours for thinking doesn't make you a big time Charlie
 
Just because you are using those ears of yours for thinking doesn't make you a big time Charlie
Since that cabbage above your shoulders is not used for anything else apart from that ill fitting turban,please be informed that between my ears is matter that is highly prized and is used in a manner that will put you to shame.

Cover your ears at your own peril as that turban of yours, even where there is no arabic sand.

Ever been informed of antennae?
Thats what I am sporting, I hear, I compile data, I analyse then make an informed decision.

And that devilish sneer, mr,just expresses whats in ones mind, not better off than the cabbage you are sporting.
 
mbona hoja djaifu sana, mimi naweza hifadhi vitu sana kama antique na pia ushahidi wa baadaye kuwa nilishiriki kwa kiasi gani nilipokuw amrengo fulani.Hata Slaa angerudisha bado angeweza ibuka mtu na kudai kuwa hakuwa mlipaji mzuri wa michango, au pengine watu waka doubt ushiriki wake ktk siasa.

Kwanza kadi huwa inanunuliwa.
 
Since that cabbage above your shoulders is not used for anything else apart from that ill fitting turban,please be informed that between my ears is matter that is highly prized and is used in a manner that will put you to shame.

Cover your ears at your own peril as that turban of yours, even where there is no arabic sand.

Ever been informed of antennae?
Thats what I am sporting, I hear, I compile data, I analyse then make an informed decision.

And that devilish sneer, mr,just expresses whats in ones mind, not better off than the cabbage you are sporting.

You must be kidding yourself.....and nobody else......sporting?
 
Kwa muda mrefu sasa ndugu yangu Nape amekuwa kinara wa kuimba kuwa Dr. Slaa bado ni mwanachama wa CCM, sasa mimi nauliza kama bado ni mwanachama wa CCM si ni kwa faida ya CCM yenyewe?
Au mnataka kutueleza kuwa CCM inalazimika kuendesha nchi kwa mipango mkakati ya CDM na Dr. Slaa kwa kuwa bado anayo kadi yenu?
Na je, katika ya wanachama wote waliohama CCM na kujiunga na vyama vya upinzani, ni lazima warejeshe kadi zao kwanza ktika vyama vyao vya awali? Kama ni hivo, je, wale wanaozirejesha kwenye majukwaa ya siasa (mikutano ya hadhara) huwa zinareshwa kwa chama husika?
Dr. Slaa kam mtu huru anayo hiari ya kuifanya vyovyote vile atakavyo pasipo kusimamiwa na mtu au kulazimika kutoa taarifa kwa yeyote.
Ukweli wa uanachama wake ni yale anayoyatenda kwenye chama chake tu.
Kijana jitahidi kutafuta agenda zenye mashiko la sivyo unakitumbukiza chama chako kuzimu. Ni ushauri tu.
Tafakali kwa muda wako.
 
Kadi ni mali yake ana hiari ya kuiweka au kuitupa jalalani. Acheni ulemavu wa kifikra na leteni mada zenye mashiko. wa tz wana kiu ya mageuzi katika maisha, kadi za magamba siyo suluhisho la kero lukuki walizonazo wananchi kwa sababu ya kukosa watu makini. waambieni wa tz mtafanya nini ili hali zao ziboreke acheni lugha za kijiweni. 2015 yaja, mtatafuta pa kutokea. Tumejifunza mengi kwa udanganyuifu wenu: Ukicheka na nyani utavuna mabua. Tumeshtuka!
 
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania, mtakumbuka ya kwamba Dr. Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM kabla ya kuasi chama na kukimbilia CHADEMA.

Hata hivyo, mpaka leo hii Dr. Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya CCM.

Sahihisha usemi. Hakuasi Chama ila aliondoka kwenye chama. Kuondoka kwenye chama huwa kuna sababu anuai k.m. kutokukubaliana na mambo yanayokukwaza ndani ya chama hicho au kuondoka kwenye siasa za vyama. Dr Slaa aliondoka kwa sababu hiyo ya kwanza (mizengwe, ufisadi, uharamia, ukandamizaji, nk nk) hivyo hakuasi kwa kuwa hakuwa amekula amini na CCM
 
Who cares? Siyo lazima airudishe huko mnakodhani anaweza irudisha, me niliambiwa kuwa aliichoma moto!!!!!
Aliichoma moto! acha mas hara. Ile ni kadi takatifu akiichoma moto tutamwangukia kama siafu
 
Keep on brooding.........am busy and none of your buddy

Yeah brooding!
I suppose nobody can be buddies with an a double s hole!

Busy eh!
Better get crackin' ya'v much to learn, not that you knew anything of substance though!
 
Back
Top Bottom