james chapacha
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 939
- 200
Mkuu inawezekana ujielewi na utambui nni unafanya!!!!!!kadi ni VITENDO haiwezekani uwe na kadi ya CCJ kisha uvae gamba.cha kujiuliza kadi hii inamdhara gani kwa CDM? je imelipiwa? Lipumba mbona ajarudisha na amsemi?Dr.kawashika pabaya.ENDELEENI KUCHEZEA BOMBA MTALOWA