Tanzania daima linajulika kuwa ni gazeti la chadema sasa tathmini unayoisema ni ya ngedere na tumbiri.slaa hamti wasiwasi yeyote si serikali ccm wala mtanzania yeyote.hizo ni ndoto za mchana. Ndani ya cdm yeymyewe wanata aachie ngazi
Teh teh teh,kwani wanalipwa na Nape?Mtoto wa Vasco Da Gama wa Tanzania naye anategemea posho za nape au yeye anatetea maslahi yake ya kibiashara ili hasije akakanyaga pale kisutu baada ya baba yake kuondoka madalakani!!Mkuu Ritz vipi posho imeongezeka kipindi hiki cha Christmass?
Mkuu Ronald Regan Dr Slaa ndiye mwanasiasa aliyebeba vichwa vya habari kuliko wote katika Afrika Mashariki.
Sasa tutaambiwa tunamiliki vyombo vya habari vya dunia,wamesahau ukweli na uongo havichangamanani hata siku moja, kama ilivyo kwa maji na mafuta!!mkuu Molemo sasa nimeamini kweli CHADEMA ni moto wa kuotea mbali!Mkuu TUKUTUKU Televisheni ya dunia CNN imetumia zaidi ya dk 15 kumsifu Dr Slaa.Kwa hiyo nayo ni ya Chadema?
yasipo andika habari za slaa hayata uzika
Gazeti la mtaa wa manhattan pale manyanya ndio kazi yake hii
Hahahahaaaaaa!!! Mkuu Ritz umestukia eeh, tena nahisi huo uchunguzi atakuwa ameufanya MolemoWanajitekenya halafu wanacheka wenyewe.
Unajua CCM hawajui kwamba kumpiga Chura teke ni kumuongezea kasi. Wangekuwa makin, wangetumia hizi nguvu nyingi wanazotumia kumchafua Dr. Slaa katika kuandaa potential candidate wa kuchagama na mgombea wa CDM 2015. CDM hadi leo hii wana potential candidates wengi sana wa kuwasimamisha 2015. Yapo majembe mengi ya CDM yaliyoonyesha kwa vitendo jinsi ambavyo wanaweza kuisongesha nchi yetu kuelekea kwenye Tanzania tunayoitaka. Wao hadi sasa sijui kama wanaye hata mmoja aliyeweza kuonyesha uzalendo au kutetea rasilimali za watanzania dhidi ya adui namba one RUSHWA. Hata wakimchafua Dr (jambo ambalo lishaprove failure) sidhani kama ndio watapata sifa ya kuaminika na kupewa ridhaa 2015.Nape atafute kazi nyingine ya kufanya kwakuwa uenezi umemshinda na majungu yamemshinda.
Wakati wao wanatumia fedha nyingi kutaka kumchafua Dr. Slaa mambo yamekuwa tofauti kwani watanzania toka kona zote za nchi wamezidi kumuunga mkono.
Na hata nchi za nje wameendelea kumfuatilia na kummulika kiasi cha CNN kurusha documentary inayomtaja kama kiongozi shupavu wa upinzani nchini Tanzania aliyeilazimisha serikali kubadili mfumo wa uendeshaji wake, hasa uwezo wake wa kupata nyaraka za siri za ufisadi.