Maskini wana-CCM, mmepofushwa mpaka mnashindwa hata kusoma post iliyowekwa...
Anyway, soma vizuri hapo kwenye blue uone, au vipi tafuta mtu akusaidie kusoma..
Yaani kwa ufupi, Dr. Slaa amesimamia vizuri fedha kwenye taasisi anayoiongoza, yaani Chadema.
Upo hapo..??
Haya, kajifunze kusoma na kuandika kwanza ndio uje hapa ku-post...!!!!
Nilijua tu kuwa habari hii itawaudhi sana wana-CCM.
Poleni sana wana -CCM maana propaganda zenu zimekwaa kisiki...!!
Wapi Zitto..!! na waraka wenye uongo kuhusu usimamizi wa fedha za Chadema..???
Copy:
FaizaFoxy
Simiyu Yetu
Mamndenyi