Dr Slaa Avunja rekodi Afrika

Watanzania bana!!! Kwa hiyo ulitaka katika hii habari cheo chake cha uongozi chama cha upinzani kisitajwe!!! Tubadilike!!

Tunatofautiana orientation on composition skills! !!!!
Kama kwako iko poa kwangu hiyo haiko poa kabisa! !!!!

Una hiari ya kuona sawa na mimi kuona ni kosa katika composition na ndio maana kuna wa kwanza na wa mwisho from the same class!!!!!!

Main story coming from the backdoor kwangu ni uandishi wa story au riwaya official information should have a good logic and eloquence in relation to the heading!!!!


Na kweli tubadilike
 
Kama vipi, pata kikombe cha maji ushushe donge, hahahahaaaa.....
images

Hahahahahahahhahahahahahahhahahaa

Mzee wa kujikopesha...
 
:bange:huyu ndiye dokita bwanaaaaaa

sio wale wanaohujumu taasisikwa njaa zao
 
Angekuwa Muwazi wangejikopesha pea za Chama!!!Mchumba wake juzi alipokuwa USA,alinunua POCHI ya dola 500.Hawajapata nafasi tu, hawa mafisadi tu kama CCM.
 
Hatuna ubaya kwa shirika na je kwenye chama chake na Mbowe vp? Maana ukaguzi ripoti bado haijatoka na hiyo ndo itadhibitisha kuwa yeye anasauti ya kusimamia pesa katika chama chake maana katika shirika la CCBRT yeye si mtendaji wa kila siku.
 
na rekodi nyingine babu aliyoivunja mi kuwa mzee wa kwanza kuwa na mchumba wa uzeeni ambaye ni mke wa mtu.
 
Mungu wangu haaaaaa!? Fisami na mlanguzi katika siasa Slaa? Kweli nyie mnaoleta taarifa na uongo huu ni wapuuzi wakutupwa. Slaa ni fisadi nukta.
 
magamba mpo wapi na KAGODA na EPA zenu wizi mtupu ndio umewajaaa
 
Angekuwa Muwazi wangejikopesha pea za Chama!!!Mchumba wake juzi alipokuwa USA,alinunua POCHI ya dola 500.Hawajapata nafasi tu, hawa mafisadi tu kama CCM.

hii haiusiani na fedha za chadema, Hiki ni kipimo Cha Demokrasia Barani Afrika.
 
Ok.Hapo sawa.Maana kwenye CCBRT Dr Slaa sio mtendaji wa kila siku kama ilivyo akiwa Chadema,na chakula yake anaitegemea chakula,hivyo ukitaka kumjua Dr Slaa kwenye uadilifu wake kwenye pesa itazame Chadema.

Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji.
Big up sana dr.Slaa.
 
Kiongozi wa chama cha Upinzani na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)
Amevunja rekodi ya usimamizi katika vyama vya siasa barani Afrika, Dr Slaa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCBRT, Amevunja rekodi hio baada ya kuongoza usimamizi wa fedha za wadhamini wa Taasisi anayoiongoza; Akizungumza na Radio ya taifa mjini adis ababa,Abdil jabir Mkuu wa vyama vya siasa Afrika ya Magharibi alipongeza hatua hio kwa kua ni nadra kwa Nchi za Afrika kuwa na Kiongozi muwazi.[/QUOTE

Hamna lolote hapo, huyo mzinzi dr. slaa kashindwa hata kusimamia matumizi ya fedha ndani ya CDM na amefanya ufisadi mkubwa yeye na mzinzi mwenzie mbowe alienunua jumba la kifahari huko Oman. Na Zitto alipohoji wamempokonya nyazifa zake Chamani. Leo hii asimamie vizuri matumizi ya fedha za CCBRT. HIZI NI PROPAGANDA ZA KIJUHA.
 
Angekuwa Muwazi wangejikopesha pea za Chama!!!Mchumba wake juzi alipokuwa USA,alinunua POCHI ya dola 500.Hawajapata nafasi tu, hawa mafisadi tu kama CCM.

Duh!
Bila shaka utakuwa mke mwenza wa Mama Slaa, unajua hadi kuwa alinunua pochi ya usd 500 alipokuwa USA??
NAJIULIZA TU.
 
Ni wa kuiga kabisa , hasa kwa kuiba wake za watu, kuzaa uzeeni, kutelekeza mke wa ndoa, kutelekeza watoto, kupinga ufisadi wakati ukijikopesha vyama, mi nasema aigwe tu.

Kweli wewe ni maabara kama jina lako linavyosadifu.. umejaa kila aina ya chemical mpaka akili yako ikaoza!
 
Back
Top Bottom