Dr Slaa Avunja rekodi Afrika

Mnafiki na mzandiki Zitto sijui ataficha wapi sura yake,

Haya wafadhili wa chama waliopo ughaibuni wamesifu usimamizi imara na udhibiti wa pesa za chama.

Sasa jiandae baada ya siku nne zilizosalia kwenye siku 14, jiandae tunakurudisha mwandiga ukavue migebuka, siasa ulivamia kwa pupa kijana!
 
Hebu ondoa ujinga hapa,anaingiaje huyo mshindani wako hapa???!!
 
Waraka wa ushindi unasema. "Matumizi ya fedha ya chadema wanajua wahusika watatu tu,Mtendaji mkuu ,Msaidizi wake na Mtunza fedha!!
 
Mnafiki na mzandiki Zitto sijui ataficha wapi sura yake,

Haya wafadhili wa chama waliopo ughaibuni wamesifu usimamizi imara na udhibiti wa pesa za chama.

Sasa jiandae baada ya siku nne zilizosalia kwenye siku 14, jiandae tunakurudisha mwandiga ukavue migebuka, siasa ulivamia kwa pupa kijana!

Kuna mambo mengine yanachekesha sana,hivi wewe na ZZK nani anaijua sana CDM?au nani ni Superstar?
Unataka hit ZZK akupandishe shame on you mchumia tumbo
Kubeba madumu ya tindikali na sumu kwa maelekezo ya mbowe unajiona noumah.....!!!!
 
Haihusiani na waraka. ulichoandika ni out of the topic.

Maudhui ya topic ni yaleyale I reflect on Waraka wa ushindi kwenye ile aya inayohusu matumizi mabaya ya fedha ya dr slaa,mbowe na mtunza fedha
 
Duh!
Bila shaka utakuwa mke mwenza wa Mama Slaa, unajua hadi kuwa alinunua pochi ya usd 500 alipokuwa USA??
NAJIULIZA TU.

Hivi hamuenzi kuchangia bila matusi?basi ni ishara tosha ya kutumia Nguvu nyingi bila akili!!
 
Uwazi upi ambao anao Dr.Slaa kwenye masuala ya pesa, mbona alijikopesha pesa za ruzuku ya chama.
 
Dr.Slaa rekodi ambao anayo ni kuzunguka na Chopa kuliko mgombea urais yeyote afrika.
 
Kuna mambo mengine yanachekesha sana,hivi wewe na ZZK nani anaijua sana CDM?au nani ni Superstar?
Unataka hit ZZK akupandishe shame on you mchumia tumbo
Kubeba madumu ya tindikali na sumu kwa maelekezo ya mbowe unajiona noumah.....!!!!
Super star wa TISS! superstar wa usaliti superstar wa umaarufu by all means!!
Ninakumbuka wakati roumers za usaliti wa zito niliandika yafuatayo:

ZZK ndugu yangu mbona ghafla mabadiliko? Umelipwa bei gani kuja kuvuruga? Lakini leo ninakuapisha mbele ya Mungu kama una mpango wa shetani!! wa kutumwa kuvuruga basi hutofika popote!!

Kwa sababu mpango wa ukombozi wa TZ ni mpango wa Mungu. Na soma katika vitabu vyote yaliyowapata wale waliojaribu kuingilia mpango wa Mungu!! Tafadhali sana!! tulia uongozi utaupata na hata urais!! Lakini kwa mtindo huu wa kuwafanya hata maadui wa CDM wakachekelea hutosamehewa believe me!!
Sasa yametimia wait and see!!
 
Mnafiki na mzandiki Zitto sijui ataficha wapi sura yake,

Haya wafadhili wa chama waliopo ughaibuni wamesifu usimamizi imara na udhibiti wa pesa za chama.

Sasa jiandae baada ya siku nne zilizosalia kwenye siku 14, jiandae tunakurudisha mwandiga ukavue migebuka, siasa ulivamia kwa pupa kijana!

Zitto sio saizi yako yeriko. Wewe unadhani zitto siasa kavamia kama wahafidhina na mabosi wako. Siasa ni professional yake. Mlidhani mnamuathiri zitto!!! La hasha kibarua,zitto ataendelea kuwatesa mpaka dude liitwalo chadema litabaki ni chuma chakavu. Nadhani mmeanza kwa uchache kuona move. Kuna viongozi wengine hapo hapo makao makuu stay tuned very soon watajing'atua kwenye makucha ya wazandiki wa demokrasia. Hiyo bado ni trela.
Zitto kwa ufinyu wako usidhani eti hata huo uamuzi unamuathiri kwa ufupi mno jua kuwa zitto ni mwenyekiti wa PAC hicho cheo hakupewa na boss wako mbowe.
 
Kiongozi wa chama cha Upinzani na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)
Amevunja rekodi ya usimamizi katika vyama vya siasa barani Afrika, Dr Slaa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCBRT, Amevunja rekodi hio baada ya kuongoza usimamizi wa fedha za wadhamini wa Taasisi anayoiongoza; Akizungumza na Radio ya taifa mjini adis ababa,Abdil jabir Mkuu wa vyama vya siasa Afrika ya Magharibi alipongeza hatua hio kwa kua ni nadra kwa Nchi za Afrika kuwa na Kiongozi muwazi. Itakumbukwa nafasi hio ilitangazwa kwa mara ya kwanza Mjini Libravile,Gabon, Kukiwa na nchi washirika 43, Maazimio hayo yalifikiwa huku vyama vya siasa barani Afrika vikiwa na wakati mgumu, Hasa linapokutazamiwa suala la Uhuru.

Mkuu hebu fafanua kidogo amevunja rekodi ya usimamizi wa fedha za CHADEMA au CCBRT? maana hapo kwenye red na blue panachanganya kidogo
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom