Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,665
- Thread starter
- #101
Jibu hoja mkuu;
Acha viroja
Acha viroja
Kinembe angeibuka mshindi kwene ndovu lager
nasoma hata sielewi ni rekodi gani inazungumzwa,
Kiongozi wa chama cha Upinzani na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)
Amevunja rekodi ya usimamizi katika vyama vya siasa barani Afrika, Dr Slaa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCBRT, Amevunja rekodi hio baada ya kuongoza *usimamizi wa fedha za wadhamini wa Taasisi
anayoiongoza; Akizungumza na Radio ya taifa mjini adis ababa,Abdil jabir Mkuu wa vyama vya siasa Afrika ya Magharibi alipongeza hatua hio kwa kua ni nadra kwa Nchi za Afrika kuwa na Kiongozi muwazi. Itakumbukwa nafasi hio ilitangazwa kwa mara ya kwanza Mjini Libravile,Gabon, Kukiwa na nchi washirika 43, Maazimio hayo yalifikiwa huku vyama vya siasa barani Afrika vikiwa na wakati mgumu, Hasa linapokutazamiwa suala la Uhuru.
rekodi gani iliyovunjwaHujaelewa nn
Dr Slaa ndie rais wangu.
na ndiye mume wako
slaa mteule wa mungu.
rekodi gani iliyovunjwa
Kutembea na wake wa watu Africa ndio kinara