KYAMTUNDU
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 1,820
- 295
iki kibabu kischo na adabu labda kitakua kimevunja rekodi ya unzinzi tu na kuingia gest zote za dar..
Kwa "data" hizi unaonekana wewe ndiye mbeba condoms
iki kibabu kischo na adabu labda kitakua kimevunja rekodi ya unzinzi tu na kuingia gest zote za dar..
Kwa "data" hizi unaonekana wewe ndiye mbeba condoms
Cdm ni mabigwa wa uongo . uwe na wanachama ml 10 ukose kula ml 7 ili kutangazwa rais? Sasa maana ya kapeni nini?
Wanachama 10milion? Maneno ya kuvutia pesa kwa wafadhili
Nilijua tu utashindwa kunielewa,kwa mujibu wa taarifa rasmi CCM ndi chama chenye wanachama wengi TZ,sasa wenyewe wako mil 4 huyu DJ msaidizi wa Mbowe anatuambia Chadema ina wanachama mil 10,unawanachama mil 10 uchaguzi unapata kura mil 2 hao mil 8 ni wasaliti fukuza.
Ndugu unaongea vitu very basic yani ambavyo hata mtoto wa kindergarten anavijua,ila ukweli utabaki palepale There is no way Chadema ikawa na wanachama mil 10 kwa sasa,japo after years wakiwa na mikakati mizuri inawezekana.Mbona hayo ni ya miaka minne iliyopita? Kwa chama kinachokua kupita wanachama milioni 5 kwa mwaka ni kitu cha kawaida na kwa chama kinachokufa kupoteza wanachama mil nne kwa siku moja ni dhahiri. Hivyo juzi inawezekana ulikuwa na wanachama mil moja leo ukawa na kumi na pia juzi ulikuwa au ulikuwa na kumi leo ukawa na moja.
Kwa "data" hizi unaonekana wewe ndiye mbeba condoms
Ngoja 2one,muvi inaanza kunoga.
kashindwa kusimamia familia yake ya watu 5,na mke wake kamshtaki mahamani!,ataweza nini?CDM na CCM wanahati chafu,muwadanganye wajinga!!!
mkuu akijibu nahamia chadema maana hata serikali za mitaa walioipigia wagombea wa chadema hawafiki hata millioni nne. nchi imejaa vilaza hatari, "CCM wameingiza Container futi 40 lenye kura feki" Babu. SlaaNilijua tu utashindwa kunielewa,kwa mujibu wa taarifa rasmi CCM ndi chama chenye wanachama wengi TZ,sasa wenyewe wako mil 4 huyu DJ msaidizi wa Mbowe anatuambia Chadema ina wanachama mil 10,unawanachama mil 10 uchaguzi unapata kura mil 2 hao mil 8 ni wasaliti fukuza.
hakuna ukweli katika ili,tuwekee list ya wanachama