Dr Slaa Avunja rekodi Afrika

Mkuu hebu fafanua kidogo amevunja rekodi ya usimamizi wa fedha za CHADEMA au CCBRT? maana hapo kwenye red na blue panachanganya kidogo

Ni rekodi ya Usimamizi wa Fedha Zinazotolewa na Washirika Wa Taasisi Yake.
 
Kiongozi wa chama cha Upinzani na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)
Amevunja rekodi ya usimamizi katika vyama vya siasa barani Afrika, Dr Slaa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCBRT, Amevunja rekodi hio baada ya kuongoza usimamizi wa fedha za wadhamini wa Taasisi anayoiongoza; Akizungumza na Radio ya taifa mjini adis ababa,Abdil jabir Mkuu wa vyama vya siasa Afrika ya Magharibi alipongeza hatua hio kwa kua ni nadra kwa Nchi za Afrika kuwa na Kiongozi muwazi. Itakumbukwa nafasi hio ilitangazwa kwa mara ya kwanza Mjini Libravile,Gabon, Kukiwa na nchi washirika 43, Maazimio hayo yalifikiwa huku vyama vya siasa barani Afrika vikiwa na wakati mgumu, Hasa linapokutazamiwa suala la Uhuru.

Inabidi alitaka atonywe kwanza ili aweke mahesabu vizuri kabla uchunguzi haujaanza? Hili halijamvunjia rekodi pia?
 
Magwanda kwa uongo, mnanuka.

Hii ndio kama ile habari ya uongo ya eti Slaa kapewa tuzo ambayo hajapewa mtu mwingine isipokuwa Rais wa USA na NASA!

Kutazama vizuri, kumbe kibeji ambacho ni souvenir ya kawaida kwa yeyote atembeleae NASA.

Wacheni uongo, unawamaliza hamjijuwi.
 
Ni wa kuiga kabisa , hasa kwa kuiba wake za watu, kuzaa uzeeni, kutelekeza mke wa ndoa, kutelekeza watoto, kupinga ufisadi wakati ukijikopesha vyama, mi nasema aigwe tu.

japokuwa mi elim yang ni ndogo lakin post kama hizi ni za kipuuzi sana,we huna madudu tena zaid ya haya au kwa sababu hayajulikan na ni siri yako..'kabla hujatoa kibanzi jichoni mwa mwenzako kwanza toa boriti jichon mwako' post km hizi huwa zinaniboa sana,siasa gani uchwara hizo.,aaah.!!
 
Kiongozi wa chama cha Upinzani na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)
Amevunja rekodi ya usimamizi katika vyama vya siasa barani Afrika, Dr Slaa ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCBRT, Amevunja rekodi hio baada ya kuongoza usimamizi wa fedha za wadhamini wa Taasisi anayoiongoza; Akizungumza na Radio ya taifa mjini adis ababa,Abdil jabir Mkuu wa vyama vya siasa Afrika ya Magharibi alipongeza hatua hio kwa kua ni nadra kwa Nchi za Afrika kuwa na Kiongozi muwazi. Itakumbukwa nafasi hio ilitangazwa kwa mara ya kwanza Mjini Libravile,Gabon, Kukiwa na nchi washirika 43, Maazimio hayo yalifikiwa huku vyama vya siasa barani Afrika vikiwa na wakati mgumu, Hasa linapokutazamiwa suala la Uhuru.

Mkuu hivi hakuna award kwa Makatibu wakuu wauaji wa Tembo Africa ???
Je kama ingekuwepo, Nani angeibuka Kidedea ???
 
Ni wa kuiga kabisa , hasa kwa kuiba wake za watu, kuzaa uzeeni, kutelekeza mke wa ndoa, kutelekeza watoto, kupinga ufisadi wakati ukijikopesha vyama, mi nasema aigwe tu.

Wewe nae watakulipa kina Nape? Maana naona umepost ya kujazia post za siku ili ukapate posho yako,ndio maana post zenu tuliowengi tunazipuuzia,unaposema Dr Slaa alimtelekeza mke wa ndoa ni yupi huyo?kanisa gani na nani aliwafungisha ndoa hiyo.eti katelekeza mke wa ndoa,upuuzi huu unatoka kwa wapambe wa maccm na kundi la mungiki wa zzk
 
Zitto sio saizi yako yeriko. Wewe unadhani zitto siasa kavamia kama wahafidhina na mabosi wako. Siasa ni professional yake. Mlidhani mnamuathiri zitto!!! La hasha kibarua,zitto ataendelea kuwatesa mpaka dude liitwalo chadema litabaki ni chuma chakavu. Nadhani mmeanza kwa uchache kuona move. Kuna viongozi wengine hapo hapo makao makuu stay tuned very soon watajing'atua kwenye makucha ya wazandiki wa demokrasia. Hiyo bado ni trela.
Zitto kwa ufinyu wako usidhani eti hata huo uamuzi unamuathiri kwa ufupi mno jua kuwa zitto ni mwenyekiti wa PAC hicho cheo hakupewa na boss wako mbowe.

Kapewa na maccm hilo linajulikana.
 
kwa kweli DR SLAA anastahili tuzo kwa namna anavyotupatia sifa kubwa na heshima sisi watanzania mbele ya jamii ya kimataifa , tunakushukuru sana DR , Mungu akupe maisha marefu .
 
Back
Top Bottom