Weweee unataka kupigwa knock out....thubutu uone.Hebu muulize aliyetimuliwa.na mimi ngoja nigombee ukatibu mkuu wa cdm ili nitajirike kama padri.
Mtoa mada hivi wajua kulingana na sheria ya mitandao ukitoa information za uwongo kuhusu mtu akikushtaki unaenda jela?
Hivi kweli inaingia akilini mwamtu kuutangazia umma mshahara wa mfanyakazi?Hivi siri ya Dr.Slaa na CDM ilipitia kwako?
Hivi unapoweka kwenye maandishi Dr.Slaa anatumia kwa siku lita 33.33 huyu mtu inaelekea anapuyanga sana na hilo gari.Kweli kabisa kumaliza lita 33 kwa siku?
Hebu tufike mahali tuache propoganda zisizokuwa na maana,tuache uzushi na pia tuache kuingilia maisha binafsi ya mtu.Si kwa Dr.Slaa hata kwa watu wengine pia.Inatia kinyaa kila siku Dr.Slaa.Haaaaaaatumewachoka sasa ,tuleteeni mada za kuijenga nchi yetu.
Tuna uchaguzi na Katiba isiyoeleweka hayo ndiyo mambo ya kujadili siyo issue za mishahara ya watu ambayo ahatuna hata sababu ya kuijua.
Ukweli ni upi sasa?hebu tuwekewe huo ukweli.Habari hii, kama zilivyo nyingi za wapinzani wa CHADEMA (CCM and its cronies) hazina ukweli wowote zaidi ya kuendeleza mradi wa kufanya diversion na kuwa-keep busy watu makini kulazimika kuangalia na kujadili propaganda muda wote huku masuala muhimu yanayohusu wananchi yakionekana kuwa side issues...
Kwa sababu upuuzi kama huu unakuwa unaendekezwa katikati ya mijadala muhimu, kuna wakati tunalazimika kutopuuza kama tunavyopuuza upuuzi wao mwingi kama huu.
Katibu Mkuu Dk. Slaa hajatoa sharti wala dai lolote katika kutumikia nafasi hiyo ambayo kila Mtanzania makini na maisha yake (anayefuatilia siasa) anajua amekuwa akiitumikia kwa uwezo, weledi, utayari na uadilifu wa hali ya juu.
Tangu ameanza kutumikia nafasi hiyo hajawahi katika wakati wowote ule wa utumishi wake kutoa sharti au dai kwa ajili ya kutoa utumishi wake kwa Watanzania kupitia CHADEMA.
Mshahara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA unajulikana. Summa umewahi kuelezwa kwa kinagaubaga hapo nyuma wakati mjadala wa upotoshaji kama huu ulipoibuka.
Kama watu wale wale kwa malengo yaleyale wamerudisha tena upotoshaji wao wakati huu, kisha wakaruhusiwa kuweka uongo huo hapa, kisha ukaendelea kuwepo basi tuko tayari kurudia ufafanuzi ule ili Watanzania wasiendelee kulazimika kujadili taarifa potofu wakati kuna masuala ya msingi sana kwa sasa.
Habari hii, kama zilivyo nyingi za wapinzani wa CHADEMA (CCM and its cronies) hazina ukweli wowote zaidi ya kuendeleza mradi wa kufanya diversion na kuwa-keep busy watu makini kulazimika kuangalia na kujadili propaganda muda wote huku masuala muhimu yanayohusu wananchi yakionekana kuwa side issues...

Tuwekee na malipo ya nape na kinana mkuu, maana nape anazidi kupata kitambi tu!
Wewe unaejifanya unajua sana ushahidi wako ni upi na yaliyosemwa? Umbea unahadhari kubwaHukuwa na sababu ya kuandika maelezo yote hayo badala yake wewe ambae umekuja kukanusha hapa ungeambatanisha taarifa sahihi juu ya mshahara wake wa sasa.
Pia nimeona umesema kuwa Dr Slaa hajawahi kufanya madai yoyote tangu alipoingia kwenye hiyo nafasi jambo ambalo sio kweli. Wote hapa tunajua kuwa mshahara wa katibu mkuu wa CHADEMA umeongezeka katika awamu ya Dr Slaa na kama ambavyo mleta mada amesema, madai yake hayakukamilishwa yote, hivyo wengi tunaamini ya kuwa, huu ndio wakati wa CHADEMA kukamilisha madai yote ya Dr Slaa.
Hii inaitwa online whistle blowing na hata sheria ya Cybercrime inaitambua.
mwongo mkubwa.unafikiri watu wote wajinga kama wewe?Unashangaa mafuta Lita 30 kuisha kwa siku moja? Au unadhani Dr Slaa anatumia Vitz? By the way, nadhani hujui shughuli za kichama zinaendeshwaje hivyo nisingependa kukulaumu.
Pia umegusia suala la maisha binafsi, hemu wewe Tetty jaribu kutembea na chup.i mtaani uone kama nitaleta uzi hapa wa kukuhusu wewe kutembea na chup.i. Kamwe siwezi, because you're no body. Huyu Dr Slaa nimeweka habari yake hapa kwa kuwa huo mshahara na matumizi yake mengine yanakuwa covered na pesa za chama ambazo kimsingi ni ruzuku zinazo tokana na kodi zetu wananchi.
Sasa kama kichwani mwako unachowaza ni katiba mpya tu na huoni kama kuna ishu zingine, basi wewe baki na umbumbumbu wako.
Kifungu cha 16 cha muswada wa cybercrime kinahusika hapa.
JK akisaini mbona itakuwa majanga.
Ili kushajihisha habari yako hebu tuwekee waraka wa madai. Vingine naogopa kuchangia nikijoandaa kutii sheria ya cybercrime bila shurti
Hivi hizi porojo zinaachwa humu jamvini Mod huzioni?
Asante sana afisa Habari wangu Sidhani Thread kama hizi zinastahili kuendelea kuwepo hapa jukwani Mod and Invisible take in action pls