Dr Slaa Atoa Madai Mapya Ya Kuongezwa Mshahara - CHADEMA

Status
Not open for further replies.
ingekua habari ya act ingekua ishafutwa zamani... ila chadema mods wanaona poa tu
 
patient zero wewe kweli zero, au juliana ndo kakufundisha kuwa limbukeni, kuwa mwangarifu maana hujasema nini kinana na Jk wanalipwa pamoja na marurupu yao, hicho ulichosema ni mshahara wa Nape CCM, be careful kuoa na kuolewa vitakuwa havina tofauti kwako
 
Tuwekee na malipo ya nape na kinana mkuu, maana nape anazidi kupata kitambi tu!
 
Unashangaa mafuta Lita 30 kuisha kwa siku moja? Au unadhani Dr Slaa anatumia Vitz? By the way, nadhani hujui shughuli za kichama zinaendeshwaje hivyo nisingependa kukulaumu.

Pia umegusia suala la maisha binafsi, hemu wewe Tetty jaribu kutembea na chup.i mtaani uone kama nitaleta uzi hapa wa kukuhusu wewe kutembea na chup.i. Kamwe siwezi, because you're no body. Huyu Dr Slaa nimeweka habari yake hapa kwa kuwa huo mshahara na matumizi yake mengine yanakuwa covered na pesa za chama ambazo kimsingi ni ruzuku zinazo tokana na kodi zetu wananchi.

Sasa kama kichwani mwako unachowaza ni katiba mpya tu na huoni kama kuna ishu zingine, basi wewe baki na umbumbumbu wako.

Haujajitambua kaka,hata leo nikiamua kutembea na CHUPI basi kuna mawili nitailazimisha serikali kunipima akili yangu au lah itabidi nisote jela kwa kutoheshimu utu wangu na sheria za nchi upo.Na kwako naweza kuwa A NOBODY lakini kwangu mwenyewe MIMI ni SOMEBODY with DIGINITY .

Issue ni mshahara wa mtu ni haki yake ku-bargain na muajiri wake.Sioni shida hata kidogo.Hata rais akiamua kubargain na WATANZANIA ili aongezewe mafao anapitisha tu bungeni na mafao yake yakiongezwa siwezi kumlaumu.Vivyo hivyo kwa Dr.Slaa ana haki za msingi kabisa kubargain mshahara wake na muajiri wake kulingana na kazi yake.Siyo mimi ,wewe au yeye anayeweza kumkatalia.Ni Muajiri wake tu.Na kama akishindwa Dr.Slaa ana mawili Kubwaga Manyanga au kukubali katika kutokubaliana na muajiri wake.

Tuache siasa chafu.Dr.Slaa ana haki ku-bargain mshahara wake.Na CDM wanahaki ya either KUKUBALI au KUKATAA madai yake.Mengine ni propoganda tu za kuchafua watu.
 
Kama nakumbuka vizuri mwenyekiti wa CDM aliwahi kusema kwamba Dr. Slaa anapewa lita za mafuta kama si 1000 ni 900 kwa mwezi. Thread hiyo ipo humu.
 
Sijui kama unaendesha gari au umewahi kuendesha gari kubwa ukaona zinavyokula mafuta sijui unabisha unachojua au unajisikia kubisha hata kama hujui.

Ninabisha ninachokijua.
 
Eti,kila kikao analipwa 1.5M inakuwa ni cha peke yake, au? Si wajumbe wengine tunakula 1M kabisa?This is too low eti eeh
 
Ma-Padre wanapenda sana hela jamani......kama ma-trafiki vile!!!!!
 
Wana Ukumbi,

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, ametoa madai mapya ya kuongezewa mshahara na stahiki zake kufuatia mafanikio aliyoyapata ya kuongezewa mshahara katika madai yake yaliyopita ambayo yalikuwa ni ongezeko la asilimia 40 tu ya kile kiwango alichokitaka!

Mchanganuo sahihi wa mshahara wa katibu mkuu wa CHADEMA na stahiki zake:

Mshahara anaolipwa Dr Slaa kwa sasa ni Tshs. 9,300,000 kwa mwezi wakati kabla ya madai yake ya mara ya mwisho alikuwa akilipwa Tshs. 6,600,000. Ambalo ni ongezeko la 40%.

Stahiki za Dr Slaa kama Katibu Mkuu:

Dr Slaa anawekewa kiasi cha lita 1000 za mafuta ya Petrol kila mwezi ambayo kwa wastani ni Tshs milioni 2,000,000 katika gari lake alilokabidhiwa na chama ambalo pia ulitumia kwa shughuli zake binafsi na za chama. Ifahamike, hii ni nje ya mshahara!

Haijaishia hapo, Dr Slaa pia anapewa pesa kiasi cha Tshs 2,500,000 kama fedha ya matumizi ya ofisi ya katibu mkuu wa chama kila mwezi. Hii pia ipo nje ya mshahara wake na matumizi yake hayaeleweki.

Kama hiyo haitoshi, Dr Slaa kila afanyapo vikao vya chama vya ngazi mbalimbali uinuka na wastani wa Tshs. 1,500,000 kwa kikao kimoja.

Madai Mapya:

Mshahara: Dr Slaa kwa sasa ameitaarifu CHADEMA kuwa wakati wa kukamilisha asilimia 60 zilizobaki za madai yake ya awali ya mshahara wake umewadia. "Hii ni kutokana na ongezeko la gharama za maisha na pia kuongezwa mkataba wa kutumikia chama kwa nafasi ya ukatibu mkuu" alieleza Dr Slaa.

Hivyo basi, kama CHADEMA itaridhia madai hayo mapya na kumuongeza Dr Slaa kiasi cha asilimia 60 kilichobaki, Dr Slaa ndiye atakuwa katibu mkuu wa chama cha siasa anayelipwa pesa nyingi kuliko wote katika nchi za ukanda wa Afrika mashariki! Kiasi hicho kitafikia Tshs. 13,200,000 kwa mwezi huku kikienda sambamba na kuongezeka kwa posho na stahiki zingine.

Aloo siasa zinalipa hivyo lakin poa kuliko kuiba hela za mboga
 
Haujajitambua kaka,hata leo nikiamua kutembea na CHUPI basi kuna mawili nitailazimisha serikali kunipima akili yangu au lah itabidi nisote jela kwa kutoheshimu utu wangu na sheria za nchi upo.Na kwako naweza kuwa A NOBODY lakini kwangu mwenyewe MIMI ni SOMEBODY with DIGINITY .

Issue ni mshahara wa mtu ni haki yake ku-bargain na muajiri wake.Sioni shida hata kidogo.Hata rais akiamua kubargain na WATANZANIA ili aongezewe mafao anapitisha tu bungeni na mafao yake yakiongezwa siwezi kumlaumu.Vivyo hivyo kwa Dr.Slaa ana haki za msingi kabisa kubargain mshahara wake na muajiri wake kulingana na kazi yake.Siyo mimi ,wewe au yeye anayeweza kumkatalia.Ni Muajiri wake tu.Na kama akishindwa Dr.Slaa ana mawili Kubwaga Manyanga au kukubali katika kutokubaliana na muajiri wake.

Tuache siasa chafu.Dr.Slaa ana haki ku-bargain mshahara wake.Na CDM wanahaki ya either KUKUBALI au KUKATAA madai yake.Mengine ni propoganda tu za kuchafua watu.

Dada yangu,

Nakupongeza sana kwa hiyo hoja ya ku-burgain mshahara!

Kuna kitu nadhani una-miss kwenye hii mijadala inayohusu maslahi ya viongozi. Sijui ni kutokana na ugeni wako kwenye mitandao ya kijamii au kuna sababu zingine.

Miaka ya nyuma kidogo katika hii mijadala, Dr Slaa alikuwa akilaumu sana viongozi waandamizi wa serikali wanavyolipwa mishahara mikubwa huku wakiifanya siri!

Hapa alimjumuisha Rais, Makamu wa rais, Waziri mkuu, Spika na jaji mkuu.

Sasa mtu wa aina hiyo ambae kabla hajapata nafasi ya ukatibu mkuu alikuwa akisema kuwa mishahara ya viongozi inanyonya hazina, je iweje leo mtu huyo huyo ambae ameipata nafasi ya ukiongozi ndani ya chama atumie fursa hiyo kujipandishia mshahara tena mpaka ifike Tshs. 13 milioni!?

Huu ni undumi la kuwili na mtu wa aina hiyo usitarajie afanye mabadiliko yoyote yale hata akipewa nchi.
 
Mtoa mada umesahau kiacknowledge source..... cybercrime inakukodolea macho
 
Wana Ukumbi,

Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr Slaa, ametoa madai mapya ya kuongezewa mshahara na stahiki zake kufuatia mafanikio aliyoyapata ya kuongezewa mshahara katika madai yake yaliyopita ambayo yalikuwa ni ongezeko la asilimia 40 tu ya kile kiwango alichokitaka!

Mchanganuo sahihi wa mshahara wa katibu mkuu wa CHADEMA na stahiki zake:

Mshahara anaolipwa Dr Slaa kwa sasa ni Tshs. 9,300,000 kwa mwezi wakati kabla ya madai yake ya mara ya mwisho alikuwa akilipwa Tshs. 6,600,000. Ambalo ni ongezeko la 40%.

Stahiki za Dr Slaa kama Katibu Mkuu:

Dr Slaa anawekewa kiasi cha lita 1000 za mafuta ya Petrol kila mwezi ambayo kwa wastani ni Tshs milioni 2,000,000 katika gari lake alilokabidhiwa na chama ambalo pia ulitumia kwa shughuli zake binafsi na za chama. Ifahamike, hii ni nje ya mshahara!

Haijaishia hapo, Dr Slaa pia anapewa pesa kiasi cha Tshs 2,500,000 kama fedha ya matumizi ya ofisi ya katibu mkuu wa chama kila mwezi. Hii pia ipo nje ya mshahara wake na matumizi yake hayaeleweki.

Kama hiyo haitoshi, Dr Slaa kila afanyapo vikao vya chama vya ngazi mbalimbali uinuka na wastani wa Tshs. 1,500,000 kwa kikao kimoja.

Madai Mapya:

Mshahara: Dr Slaa kwa sasa ameitaarifu CHADEMA kuwa wakati wa kukamilisha asilimia 60 zilizobaki za madai yake ya awali ya mshahara wake umewadia. "Hii ni kutokana na ongezeko la gharama za maisha na pia kuongezwa mkataba wa kutumikia chama kwa nafasi ya ukatibu mkuu" alieleza Dr Slaa.

Hivyo basi, kama CHADEMA itaridhia madai hayo mapya na kumuongeza Dr Slaa kiasi cha asilimia 60 kilichobaki, Dr Slaa ndiye atakuwa katibu mkuu wa chama cha siasa anayelipwa pesa nyingi kuliko wote katika nchi za ukanda wa Afrika mashariki! Kiasi hicho kitafikia Tshs. 13,200,000 kwa mwezi huku kikienda sambamba na kuongezeka kwa posho na stahiki zingine.
Mtoa mada, usaliti unakuhusu.
 
Habari hii, kama zilivyo nyingi za wapinzani wa CHADEMA (CCM and its cronies) hazina ukweli wowote zaidi ya kuendeleza mradi wa kufanya diversion na kuwa-keep busy watu makini kulazimika kuangalia na kujadili propaganda muda wote huku masuala muhimu yanayohusu wananchi yakionekana kuwa side issues...

Kwa sababu upuuzi kama huu unakuwa unaendekezwa katikati ya mijadala muhimu, kuna wakati tunalazimika kutopuuza kama tunavyopuuza upuuzi wao mwingi kama huu.

Katibu Mkuu Dk. Slaa hajatoa sharti wala dai lolote katika kutumikia nafasi hiyo ambayo kila Mtanzania makini na maisha yake (anayefuatilia siasa) anajua amekuwa akiitumikia kwa uwezo, weledi, utayari na uadilifu wa hali ya juu.

Tangu ameanza kutumikia nafasi hiyo hajawahi katika wakati wowote ule wa utumishi wake kutoa sharti au dai kwa ajili ya kutoa utumishi wake kwa Watanzania kupitia CHADEMA.

Mshahara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA unajulikana. Summa umewahi kuelezwa kwa kinagaubaga hapo nyuma wakati mjadala wa upotoshaji kama huu ulipoibuka.

Kama watu wale wale kwa malengo yaleyale wamerudisha tena upotoshaji wao wakati huu, kisha wakaruhusiwa kuweka uongo huo hapa, kisha ukaendelea kuwepo basi tuko tayari kurudia ufafanuzi ule ili Watanzania wasiendelee kulazimika kujadili taarifa potofu wakati kuna masuala ya msingi sana kwa sasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom