View attachment 125863Dr. Slaa anazidi kuikamata Kigoma huku wanafiki chupi zikizidi kuwashuka...
vipi, ni mambo ya mzee wa panya au ni msimu wake!?Sehemu ya umati wa wananchi wametafuta miamvuli na kubaki karibu na jukwaa. Wengine wako jukwaa kuu, wengine wamekimbilia upenuni mwa nyumba kuendelea kusikiliza.
Mvua ktk eneo hili la mkutano ni kubwa sana, ingawa mbali kdg tu kutoka hapa hakuna ukungu wala mvua.
Source: Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene
teh teh, lakini mvua ni baraka mkuu!vipi, ni mambo ya mzee wa panya au ni msimu wake!?
hahaha duh hii kali.Kwa hiyo huwa anayakwepa kila siku au walengaji hawana shabaha kila siku? Poleni sana kwa maumivu haya makali mnayoyapata
Machizi yamedoda, yameumbuka, yaweweseka.Kamanda Mungu anaendelea kutubariki machizi tunazidi kuwakimbiza mbaya
Simiyu Yetu yuko kifungo ila kuna id anatumia ina fanana leo sija muona ila Msonge yetu naye simuoniWapi sixgates na Kimbunga...??
Hawa jamaa 'walitabiri' kuwa ziara ya Dr. Slaa isingefanikiwa, na ingeahirishwa..!!
Wapi 'utabiri' huo ...??
Sijamuona dada Simiyu Yetu...!!
Aibu iliyo kuu i juu yao.Wapi sixgates na Kimbunga...??
Hawa jamaa 'walitabiri' kuwa ziara ya Dr. Slaa isingefanikiwa, na ingeahirishwa..!!
Wapi 'utabiri' huo ...??
Sijamuona dada Simiyu Yetu...!!
Nimepata taarifa kutoka kigoma Dr Slaa ana hutubia watu wasio zidi 100! Hii ni kutokana na mvua au hakukufanyika matangazo ya kutosha ya mkutano??????
pathetic ccm's don't want to hear me, nyie mende wa chadema mnaosujudia uchaga nanyi hamtaki kuniona.
unajua kwa nini??????!!!!
naisimamia nchi yangu na nitasimama sambamba na yeyote mwenye dhamira safi kama yangu. kama unadhani mimi ni mfuasi wa hivyo vyama vyenu vinavyotunza uozo na funza basi umekosea sana.
you are so cheap BEN, no wonder you are slaving for pathetic mangis. you and your masters are not fit to be called tanzanians. you don't belong us.
i will.... OMG i will fight against any unholy movements under your TRIBAL SACCOS or under CCM. but to fight your SACCOS is more than JIHAD, far more than CRUSADE and we are determined to stop you no matter what.
this country is soo good n sweet to be left to DOGS. we can let you bark.... yes!! you can bark for as long as you like. but dogs will never set feet on the red carpets of STATE HOUSE. take it and choke with it!!!!!!!!!!!
wewe kazi yako ni ipi.
Hapa ndiyo utajua watumia tumbo kufikiri......aaaaahaaaaa ama kwel CCM uozo
Nikumbuke nini nyie magamba.mmeipata.Dr atawatoa nyongo mtabaki na Zito...Sahau kuhusu picha.