Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

Kama "majini" ulimaanisha Majinni, wala hujakosea. Ukiwa Rais wa nchi unakuwa pia ni Rais wa binaadam na viumbe vyote vilivyopo nchini kwako, labda uwe huna akili ndio usijuwe hilo.

Kumbuka, si Majinni tu, hata Malaika wanamlinda. Msome Mbowe anasemaje Kuhusu Rais wake;

"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya" Mtukufu Rais Jakaya Mrisho Kikwete - Freeman Aikaeli Mbowe
teh teh, kwa hiyo una unga mkono rais kulindwa na majini na mapepo? Badala ya mwenyezi mungu na vyombo vya usalama?
 
You're an unredeemably a terrible person.

You're done,retard!
pathetic ccm's don't want to hear me, nyie mende wa chadema mnaosujudia uchaga nanyi hamtaki kuniona.
unajua kwa nini??????!!!!
naisimamia nchi yangu na nitasimama sambamba na yeyote mwenye dhamira safi kama yangu. kama unadhani mimi ni mfuasi wa hivyo vyama vyenu vinavyotunza uozo na funza basi umekosea sana.
you are so cheap BEN, no wonder you are slaving for pathetic mangis. you and your masters are not fit to be called tanzanians. you don't belong us.
i will.... OMG i will fight against any unholy movements under your TRIBAL SACCOS or under CCM. but to fight your SACCOS is more than JIHAD, far more than CRUSADE and we are determined to stop you no matter what.
this country is soo good n sweet to be left to DOGS. we can let you bark.... yes!! you can bark for as long as you like. but dogs will never set feet on the red carpets of STATE HOUSE. take it and choke with it!!!!!!!!!!!
 
zitto akiwa mwenyekiti wa chadema hatimaye rais wa nchi hii utahamia nchi gani?
Hiyo ni sawa na ngamia kupita katika tundu la sindano haitakaa itokee. Hata hivyo kuota ndoto ni haki yako.
 
zitto akiwa mwenyekiti wa chadema hatimaye rais wa nchi hii utahamia nchi gani?

Ikiwa hivyo, itakuwa bora KAMANDA ahamie ahera au hata kuzimu, maana nchi mikononi mwa msaliti, SIPATI PICHA.
 
Mkutano umeshafunguliwa na Mkiti Issa Kibaba. Waitara amemkaribisha Mratibu wa Kanda ambaye amezungumzia namna Kanda inavyojipanga kuhudumia wanachama na wananchi kwa ujumla.

Sasa anapanda Mkiti wa Kanda Shaaban Mambo, anazungumza kidogo kwa sbb ya dalili ya mvua kubwa. Sasa amepanda Dkt. Slaa.


Source: Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene
haya wazee wa Udini na Ukabila njooni mtufafanulie hapa
 
Unataka kumfananisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete na kijidokta cha kanoni kilichoshindwa kuongoza kondoo na badala yake kudandia wake za watu? Unanchekesha!

Ajuza
expired stori
 
Mungu hiki ndo chama pekee na tumaini la wanyonge Dr Slaa mungu endelea kumutia nguvu aikomboe hii nchi amee😛eopleeee's
 
Akili zako na mawazo yako yanafanana na kile unachopeleka washroom.
Endelea kutumiwa kama yale madude yanayosambazwa na TACAIDS.

Huna mchango wowote wa maana zaidi ya vijembe. Hustahili kutumia picha ya huyo aliyeko jamaa kwenye avatar yako kwa sababu intestines unomwaga humu ndani haziakisi akili na uwezo wa huyo jamaa.
 
Back
Top Bottom