Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

Umenena Mkuu. Tunatakiwa sasa tujipange kikomandoo kwa kila hatua ya mabadiliko chanya na tupeane nyenzo za kutosha kuweza kuangamiza huu ukoo wa panya na baadhi ya mende wa siasa, ili tuwe na taifa la watu wenye akili timamu, wenye hofu ya Mungu, wanaoenzi maisha ya kila Mtanzania katika nyanja za elimu, umiliki wa uchumi wetu, rasilimali, nidhamu, uwazi na uwajibikaji. tupo pamoja wanamageuzi tumeshajiweka tayari,na sasa ni kwamba, 'LET US WALK TOGETHER FOR THE LIBERATION OF ALL TANZANIANS who are in need of improved livelihoosS.

Pamoja kamanda.

Solidarity forever more.
 
Watu walio na mahitaji ya kweli ya mabadiliko hawapati tatizo kuhusu kinachoendelea CDM.Wapo pamoja na wanaendelea kuwabaini wasaliti moja baada ya mwingine.Wanaopinga na wanaotoa matamko ni dhahiri wanapandikizwa na CCM.
Nawasifu viongozi/wanachama watiifu wa chandema ambao hawaja tetereka na vuguvugu hili la usaliti ambao ndio ilikuwa silaha ya CCM kuiangamiza CDM,ambayo ni dhahiri imeshindwa.Sina hakika kama wamebakiwa na silaha zingine,lakini kwa muda uliobakia kuelekea uchaguzi mkuu kama wataendelea na mchezo huo hakika watashindwa vibaya maana hila zao zimegundulika pia upande wa pili hali za maisha za Watanzania ninazidi kuwa ngumu kutoka na usimamizi duni wa uchumi,wao wamekalia kuidhoofisha CDM. "TIME WILL TELL"
 
mtu aliyeharibu mpaka kanisani kweli unathubutu kumwitta anahekima kama kweli kashindwa kufanya kazi kanisani hadi kafukuzwa hekima zake ziko wapi mkuu kwa nini usiwe mkweli tujifunze kuujua ukweli na kuukubari pia.
Uvumilivu kwa watu wa.jinga kama nyie unaanza kuniishia. Mkoje nyie? Hata akili kidogo hamuwezi kuzitumia? Mkuu wa kanisa Katoliki nchi Kadinali Pengo alishamjibu Wassira kuhusu kulihusisha kanisa na utumishi wa Slaa.
Alimjibu kuwa Dr Slaa alifanya utumishi uliotukuka akiwa katibu mkuu wa TEC na aliondoka kwa kufuata kanuni zote za Kanisa na zilipata baraka za Papa. Sasa nyie kuhusisha propaganda zenu na kanisa Katoliki hamuoni munalikosea adabu hilo kanisa? Na hivi hamujui kuwa hata ndani ya CCM wako wakatoliki?
Hizo ndio dalili kuwa huyo anayewalipa (wengi wanamtaja Nape) hajatumia akili kwani hajawapa hadidu za rejea katika kazi hii muifanyayo hapa JF ila analipa kulingana na wingi wa post bila kuwa na ubora. HUO NI UZUZU
Wekeni urguments zenye mashiko ili mijadala iwe bora na ya kuvutia kama ile iliyokuwepo kabla nyie hamjapata ajira hii na kuharibu sifa ya JF
 
Wako wapi wale wagonjwa wa akili waliokodishwa na kina Zitto na wenzake Maccm?Chadema ni mpango wa Mungu hakuna chama kingine kama Chadema.Dr Slaa inalindwa na Mungu sio kama Mccm na rais wao ati analindwa na MAPEPO kwani yule mzee Mchawi aliyasema hayo wakati wa uchaguzi ule mwaka 2010 lakini watu kama kina RITZ,SIMIYU YETU,ZEMARCOLPOLO,FAIZAFOX,MSALANI hawawezi kukumbuka kwa kuwa wao ni miongoni mwao wanaofaidika na ulinzi wa MAPEPO lakini kwa wale Watanzania wengine ambao wanamtegemea Mungu wanakumbuka kuwa Jakaya Kikwete mwenyekiti wa Maccm analindwa na MAPEPO.
 
Uvumilivu kwa watu wa.jinga kama nyie unaanza kuniishia. Mkoje nyie? Hata akili kidogo hamuwezi kuzitumia? Mkuu wa kanisa Katoliki nchi Kadinali Pengo alishamjibu Wassira kuhusu kulihusisha kanisa na utumishi wa Slaa.
Alimjibu kuwa Dr Slaa alifanya utumishi uliotukuka akiwa katibu mkuu wa TEC na aliondoka kwa kufuata kanuni zote za Kanisa na zilipata baraka za Papa. Sasa nyie kuhusisha propaganda zenu na kanisa Katoliki hamuoni munalikosea adabu hilo kanisa? Na hivi hamujui kuwa hata ndani ya CCM wako wakatoliki?
Hizo ndio dalili kuwa huyo anayewalipa (wengi wanamtaja Nape) hajatumia akili kwani hajawapa hadidu za rejea katika kazi hii muifanyayo hapa JF ila analipa kulingana na wingi wa post bila kuwa na ubora. HUO NI UZUZU
Wekeni urguments zenye mashiko ili mijadala iwe bora na ya kuvutia kama ile iliyokuwepo kabla nyie hamjapata ajira hii na kuharibu sifa ya JF

Watu wenye ubongo sawa na ngombe hawatakuelewa kamwe kwasababu hawataki kuelewa....
 
Hata baba yoa kawaambia, kazi yao kulalamiaka tu, pamoja na kushika dola.
 
Dah maccm wanafiki leo wako wapi au hajapewa za kiroba leo ha ha Dr..Slaa songa mbele raisi wetu maccm kiama kimeshakaribia
 
Back
Top Bottom