Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

Dr Slaa atingisha Kigoma Kaskazini

hizi hekaya zinazidi kuwadhalilisha. uzuri ni kwamba JF inawafikia watu wachache sana hapa tanzania na wale wengi wanaoipata JF akili zao zina uwezo wa kuchanganua mambo walau kidogo.
propaganda za kitoto haziwezi kuubadilisha ukweli na kamwe ZZK hawezi akalinganishwa na mangi yeyote wala kibaraka yeyote wa mangi ndani ya chadema.
let him shake his tail(slaa) and leave behind the shit trail. when ZZK comes, he will wipe it off and for good. mnamtuma babu mzinzi kwenda kupima kina cha bahari kwa kutummbukiza miguu yote miwili!!! he is sinking and he will never make it...
after all, you chagaz are using him(slaa) and when the test of his flesh is no longer, you will dump him.

'''' mtumwa mzuri ni yule asiyefahamu kuwa yeye ni mtumwa""

You're an unredeemably a terrible person.

You're done,retard!
 
Huyu molemo ni muongo tena ni muongo kweli hakuna msafara wowote uliopita kigoma mjini hivi uongo huo uwongo unakisaidia nini chama kwanza hakuna barabara yoyote inayotoka wilaya yoyote ianaingilia kigoma mjini, mods futa hii thread

Leta habari sahihi.Otherwise,nyamaza kabisa.
 
siku hizi mtu akizomewa na kufurumushiwa mawe anakuwa katikisa safi sana.
 
M4C we have God we have Power! Dr. Slaa hazuiliki kabisaaa! Kigoma iko Shwari vibaraka wamenywea!
 
Vipi mipango ya kumdhuru Alex Kitumo imefikia wapi?

Mnajitekenya na kucheka wenyewe. Poleni sana.

Eleza mlivyopanga kujidhuru wakati mnatekeleza mission yenu.Wewe upo Dar unawasiliana nae na kupanga mipango ya kitoto.Hata wewe binafsi unajua unafiki wako unavyokumaliza.

Ni pigo beyond recovery!
 
Msafara wa Dkt. Slaa ndo unakatiza hapa Kigoma mjini, ishara ya vidole viwili inatanda kila mahali na maneno ya ''Dkt. Slaa huyo huyo...Chademaaaa....Chademaaaa''.

Msafara unaelekea Jimbo la Kigoma Kaskazini Mkutano wa Kwanza utakuwa Nyarubanga, kisha utaelekea mkutano wa pili.

Updates.....

Ndo twawasili Nyarubanga hapa. Akina mama wamejipanga barabarani pembeni kdg ya uwanja wanaimba kumpokea Katibu Mkuu Dkt. Slaa. Msafara umeshaingia uwanjani.

Red Brigade wako imara kweli kweli leo hapa. Wananchi wanasogea sogea. Naona ngoma hapa inachezwa na akina mama.

Updates No 2:

Dkt. Slaa anaingia kucheza ngoma na wenyeji hapa. Ngoma hii inachezwa na kikundi cha ngoma cha akina mama wa CHADEMA kuhamasisha wananchi kujiunga na CHADEMA hasa akina mama na vijana.

Naambiwa inaitwa Denga. Wananchi wanashangilia kumuona Dokta anaungana na akina mama kucheza Denga!

Source: Afisa Habari Mkuu CHADEMA Tumaini Makene

Ahsante kwa updates makamanda, picha muhimu kuweka pia. Naona 6gates atakuwa amepanda ungo kuja huko kwa kazi maalum aliyopewa Lumumba maana jana alikuwa Dar, kwenye kongamano la bavicha
 
Kongo ndasu we ndio unasikitika mipango yenu kutofanikiwa,vvvaaaa Chadema.
 
Huyu molemo ni muongo tena ni muongo kweli hakuna msafara wowote uliopita kigoma mjini hivi uongo huo uwongo unakisaidia nini chama kwanza hakuna barabara yoyote inayotoka wilaya yoyote ianaingilia kigoma mjini, mods futa hii thread

Mkigoma Umeumbuka unabishana hadi na TV asubuhi pia walionesha Dr. Slaa akichezewa ngoma ndani ya Kigoma nayo unabisha, Jana Dr. Slaa akaingia kwa msafara mkubwa wa kihistoria ndani ya Kigoma mjini, nayo ukabisha, leo yuko ndani ya Kigoma Kaskazini bado unabisha tu, aibu imewakumba, waacheni Chadema wafanye maamuzi kuhusu chama chao msijifanye kiherehere kuingilia nyie CCM mmeshindwa, mlisema waliochagulia kwa rushwa mtawaondoa Mangula kakaa kimya hadi leo! Mlisema mtawavua gamba akina Nape na wenzao wamenywea wamekaa kimya hadi leo! CCM acheni unafiki Nchi imewashinda kuongoza mnahangaika na Dr. Slaa na Chadema! mkigoma uwe na aibu! 2014/2015 watanzania tunaisubiri kwa hamu tutoe hukumu yetu!
 
Last edited by a moderator:
Kama amepata shida sana si ndio ingekua furaha yenu? Kuna sababu gani ya kutoa ushauri ambao utazima furaha yako na wenzio?
Maneno makubwa hayo, wenye busara tu ndo wanasoma na kuelewa. Hawa hawaelewagi MaCCM. Kazi kwelikweli Ben!
 
Unataka kumfananisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete na kijidokta cha kanoni kilichoshindwa kuongoza kondoo na badala yake kudandia wake za watu? Unanchekesha!
jk ni rais anayelindwa na majini!
 
mtu aliyeharibu mpaka kanisani kweli unathubutu kumwitta anahekima kama kweli kashindwa kufanya kazi kanisani hadi kafukuzwa hekima zake ziko wapi mkuu kwa nini usiwe mkweli tujifunze kuujua ukweli na kuukubari pia.

Mkuu weka picha basi,

maana si unajua maneno matupu hayajengi ghorofa?
 
Huyu molemo ni muongo tena ni muongo kweli hakuna msafara wowote uliopita kigoma mjini hivi uongo huo uwongo unakisaidia nini chama kwanza hakuna barabara yoyote inayotoka wilaya yoyote ianaingilia kigoma mjini, mods futa hii thread

Pole sana mkuu.Polepole mtatuelewa tu.
 
Si bora yeye kuliko yule aliyejaladia hadi ulinzi wa majini kwenye kampeni za urais 2010? Nimekumbuka jinsi Kiongozi wa Brigedia ya ulinzi wa Majini alivyotishia hadi wagombea urais wengine kuwa atakayempinga JK atakufa ghafla......

Hapo kwa red:Halafu akafa mwenyewe!!

Anyway- all in all, TAIFA KWANZA, vyama baadae!
 
hizi hekaya zinazidi kuwadhalilisha. uzuri ni kwamba JF inawafikia watu wachache sana hapa tanzania na wale wengi wanaoipata JF akili zao zina uwezo wa kuchanganua mambo walau kidogo.
propaganda za kitoto haziwezi kuubadilisha ukweli na kamwe ZZK hawezi akalinganishwa na mangi yeyote wala kibaraka yeyote wa mangi ndani ya chadema.
let him shake his tail(slaa) and leave behind the shit trail. when ZZK comes, he will wipe it off and for good. mnamtuma babu mzinzi kwenda kupima kina cha bahari kwa kutummbukiza miguu yote miwili!!! he is sinking and he will never make it...
after all, you chagaz are using him(slaa) and when the test of his flesh is no longer, you will dump him.

'''' mtumwa mzuri ni yule asiyefahamu kuwa yeye ni mtumwa""
hate in your heart will consume you too,sio kosa la wachaga kuwa mkoa na kabila lako mko nyuma kielimu na maendeleo
 
Eleza mlivyopanga kujidhuru wakati mnatekeleza mission yenu.Wewe upo Dar unawasiliana nae na kupanga mipango ya kitoto.Hata wewe binafsi unajua unafiki wako unavyokumaliza.

Ni pigo beyond recovery!

Ben Clever ni hatari wakuu, Maana Jamaa kawa threat sana kwa pro-MM na Lumumba project.
 
...
Jamani mwenye sifa tumpe sifa yake wakuu, Mimi toka nimefatilia kwa karibu hekima, maarifa na siasa za Dr.Slaa, ninathubutu kusema huyu Mzee ni miongoni mwa Simba(Wakombozi) wa Africa, Dr.Slaa ni mwanasiasa hasa, Ni jemedari na Kamanda mpiganaji aliye jasiri mithili ya Steve Biko na mwenye muono mithili Cout Camilo cavour wa Italy.

Mungu ampe maisha marefu sana Kamanda wetu na hakika Historia itakuandika na kukumbuka kama shujaa wa haki mwenye ujasiri na kweli aliyeshuka zama hizi....

..well noted Kamanda!!!!

hakina wote tuseme 'CHADEMA ni mkombozi wa wanymge!'
 
Back
Top Bottom